
26/12/2024
Menejimenti ya Hospitali ya Hafford inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi mwenzao Matilda Alphonce Mzolla aliyekuwa kitengo cha fedha kilichotokea tarehe 24 Desemba 2024 baada ya kuugua kwa muda mfupi
Mazishi yanatarajiwa kufanyika tarehe 27 Desemba 2024 kwenye makaburi ya Kongowe – Temeke. Mwili wa Marehemu utaagwa Hospitali ya Temeke saa 3 asubuhi kabla ya kuelekea mazishini.