BLN-HealthCare

  • Home
  • BLN-HealthCare

BLN-HealthCare Ninawasaidia Wanawake kuondoa changamoto zao za kiafya Kwa Program Maalum

Karibu Nikuhudumie...

Sifa za Ambazo Ukiwa nazo siyo Rahisi Kushika Mimba___________________________👉 K**a Mzunguko wako hubadilika ni Wa badi...
19/07/2025

Sifa za Ambazo Ukiwa nazo siyo Rahisi Kushika Mimba
___________________________
👉 K**a Mzunguko wako hubadilika ni Wa badilika bila mpangilio

👉 K**a Unapata Maumivu makali sana wakati wa Hedhi

👉 Una umri wa zaidi ya miaka 30 lakini hujawahi kupata mtoto- Lakini Hedhi zako Hazina mpangilio

👉 K**a Una mtoto mmoja tu na sasa una zaidi ya miaka 35- Lakini Hedhi Yako inavurugika

👉 Una maumivu ya tumbo ya mara kwa mara hasa wakati wa hedhi

👉 K**a Una historia ya PID au uvimbe kwenye kizazi

👉 K**a Hupati ute wa uzazi wenye afya siku za ovulation (Ute Ute wa Ovulation)

👉 Unapata hedhi chache sana au nzito sana kupita kiasi, damu ya mabongembonge na Hedhi zinapishana

Hizi zote ni dalili zinazoashiria kuwa mwili wako haupo kwenye hali nzuri ya kushika mimba kirahisi.

Ili Kutatua changamoto hizi Wasiliana nasi Haraka 0693786875

_“PID si homa ya kawaida – ni bomu kimya linalosambaratisha afya ya uzazi polepole bila kelele.”_Ukiiona dalili k**a:👆Ma...
06/05/2025

_“PID si homa ya kawaida – ni bomu kimya linalosambaratisha afya ya uzazi polepole bila kelele.”_

Ukiiona dalili k**a:

👆Maumivu ya tumbo la chini,

👆Uchafu usio wa kawaida ukeni,

👆Maumivu wakati wa tendo la ndoa,

👆Homa au uchovu wa mara kwa mara…
halafu ukakaa kimya, unampa PID nafasi ya kuharibu mirija ya uzazi (fallopian tubes), kusababisha mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi, maumivu ya kudumu ya nyonga, na hata utasa.

_Kuchelewa ni hatari – kuchukua hatua mapema ni kujilinda na kujiokoa._

Mwanamke makini husikiliza mwili wake na hachukulii dalili za PID k**a kawaida.

Piga 0693786875 Kupata suluhisho...

Usijali, Hutakufa—Utaishi Kusimulia Matendo Makuu ya Mungu! Ila Utanyooka Kidogo...Kuna wakati unahisi mwili wako unakut...
29/01/2025

Usijali, Hutakufa—Utaishi Kusimulia Matendo Makuu ya Mungu! Ila Utanyooka Kidogo...

Kuna wakati unahisi mwili wako unakutesa—PID inakupa maumivu makali, harufu mbaya inakufanya ujisikie vibaya, na hata confidence yako inaporomoka. Unajiuliza, _“Mbona awali nilikuwa sawa?_ Kwa nini sasa nahangaika hivi?”

Usijali! Changamoto hizi hazikuui, lakini zinakuhitaji kufanya jambo fulani ili upate suluhisho.

✅ Hatua ya Kwanza: Hautakufa!
Hii hali ni ngumu, lakini usiruhusu hofu ikufanye ukate tamaa. Shusha pumzi, relax! Hii ni changamoto k**a nyingine, na suluhisho lipo.

✅ Hatua ya Pili: Tafakari Ulipotoka
_Ulianza kuona dalili zipi kwanza?_ Je, kuna tabia au vyakula ulivyobadilisha? Uliwahi kutumia matibabu ambayo yalikusaidia, lakini ukaacha? Review your past! Mara nyingi tunapopata nafuu, tunasahau kilichotufanya tuwe na afya njema hapo awali.

✅ Hatua ya Tatu: Tafuta Msaada wa Mtaalamu
Ukiona unafanya kila kitu unachojua, lakini hali haibadiliki—tafuta macho ya nje. _Usiwaze uchawi_ 😁, tatizo lako lina suluhisho.

Kuna MTAALAM anayeelewa tatizo lako na anaweza kukuonyesha njia sahihi ya kulitatua. Wengine walipitia hali k**a yako, wakapata msaada, na sasa wanafurahia maisha yao bila PID, bila harufu mbaya, bila maumivu. Na wewe unaweza kuwa mmoja wao!

📌 Kesho nitakupa mfano wa dada aliyekuwa na PID sugu na harufu mbaya kwa miaka mingi, lakini sasa ana furaha na afya bora.

Fanya maamuzi leo, njia ya kutoka ipo—na iko mikononi mwa wale wanaojua suluhisho.

Uwe na siku njema, SUPER WOMAN 💪🔥

Je, Changamoto Zako za Uzazi Zimekuwa Kikwazo Kwa Furaha Yako?✅ Unahangaika Kupata Ujauzito lakini kila Jaribio Limegong...
16/01/2025

Je, Changamoto Zako za Uzazi Zimekuwa Kikwazo Kwa Furaha Yako?

✅ Unahangaika Kupata Ujauzito lakini kila Jaribio Limegonga Mwamba?
✅ Umeshika Mimba lakini Mara kwa Mara Zimeharibika na Hujui Sababu?
✅ Mfumo Wako wa Hedhi Hauko Sawa, Hauuelewi Wala Haujui Kuanza Wapi?
✅ Umechoshwa na Uchafu, Miwasho, na Harufu Mbaya Ukeni Inayokufanya Ukose Kujiamini?
✅ Maumivu Wakati wa Tendo la Ndoa Yamekufanya Usiweze Kufurahia Ndoa Yako?
✅ Maumivu Wakati wa Hedhi Yamekuwa Mazoea, na Hujui Suluhisho?
✅ Unapata Hedhi kwa Siku Chache Sana (Chini ya 3) au Siku Nyingi Zaidi ya 7 na Hujui Utafanyaje?

HATUA NDOGO LEO, MABADILIKO MAKUBWA KESHO!

Usiishie tu kutamani mabadiliko. Suluhisho la changamoto zako liko mikononi mwako. Kupitia Programu Maalum ya Tiba, unaweza kurejesha afya yako ya uzazi, kurudisha tabasamu usoni mwako, na kufurahia maisha kwa uzuri wake wote.

🌿 Kwa nini uchague tiba hii?

🎯Inalenga chanzo cha tatizo, si dalili tu.

🎯Salama na haina kemikali.

🎯Inaimarisha mfumo wa uzazi na kurejesha usawa wa homoni.

👉 Nisihi Leo!
Tuma ujumbe kupitia WhatsApp au piga simu moja kwa moja kupitia +255 693 786 875 kwa maelezo zaidi na ushauri wa kitaalam.

Afya Bora Ni Haki Yako – Usisite Kuchukua Hatua Leo!

Taarifa Mbaya  Kuhusu P.I.D Tanzania (Pelvic Inflammatory Disease):"Maambukizi ya muda mrefu ya PID yanaathiri takriban ...
04/01/2025

Taarifa Mbaya Kuhusu P.I.D Tanzania (Pelvic Inflammatory Disease):

"Maambukizi ya muda mrefu ya PID yanaathiri takriban wanawake milioni 4 kila mwaka, huku wengi wao wakiwa hawajui dalili za awali k**a vile maumivu ya tumbo chini ya kitovu, uchafu wa rangi isiyo ya kawaida, na maumivu wakati wa tendo la ndoa. Kutotibiwa kwa PID Muda Muafaka huongeza hatari ya mirija ya uzazi kuziba, ugumba wa kudumu, mimba zinazotunga nje ya kizazi, na maumivu ya muda mrefu ya nyonga."

Wanawake wanaochelewa kutibu PID (Pelvic Inflammatory Disease) hukabiliwa na athari Mbaya
Ugumba (Infertility): PID isipotibiwa husababisha uharibifu wa mirija ya uzazi (fallopian tubes), hali inayozuia yai kusafiri hadi kwenye mfuko wa uzazi.
Mimba nje ya kizazi (Ectopic Pregnancy): Uharibifu wa mirija ya uzazi huongeza hatari ya mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi, hali ambayo ni hatari kwa maisha ya mama.
Maumivu ya kudumu ya nyonga: Maambukizi ya muda mrefu husababisha makovu katika nyonga, hali inayoweza kusababisha maumivu ya mara kwa mara kwa maisha yote.
Maambukizi ya mara kwa mara: PID isiyotibiwa huongeza hatari ya kupata maambukizi mengine kwa urahisi, hasa ikiwa kinga ya mwili ni dhaifu.
Saratani ya kizazi: Kuchelewa kutibu PID kunaweza kuchangia mabadiliko ya seli na kuongeza hatari ya saratani ya kizazi.
Kifo: Katika hali mbaya, maambukizi ya PID yanaweza kusambaa hadi kwenye damu (sepsis) na kusababisha kifo ikiwa haitatibiwa haraka.

Ni muhimu kwa wanawake wanaoshuku kuwa na PID kutafuta matibabu ya haraka ili kuepuka athari hizi mbaya.

Usicheze Na P.I.D Hatari yake Si ya Kitoto utajuta Baadae piga 0693786875 upate Suluhisho Popote ulipo...

Ni Kweeli wala usithubutu kuacha uvimbe ukakua saana Maana Matokeo yake ni Operation Na baada ya Operation Mara nyingi u...
17/10/2024

Ni Kweeli wala usithubutu kuacha uvimbe ukakua saana Maana Matokeo yake ni Operation

Na baada ya Operation Mara nyingi uvimbe hurudi Tena unajua changamoto ni Nini??

Chanzo Cha tatizo kinakuwa hakijaondolewa...

Nini ufanye??

Upate program Maalum ya tiba yenye uwezo wa Kuondoa Uvimbe na Chanzo chake...

Ni kweli kwamba kupata virutubisho vyote muhimu kwa ajili ya mfumo mzuri wa homoni kwa mwanamke inaweza kuwa changamoto,...
17/10/2024

Ni kweli kwamba kupata virutubisho vyote muhimu kwa ajili ya mfumo mzuri wa homoni kwa mwanamke inaweza kuwa changamoto, hasa katika mazingira k**a ya Tanzania ambapo hali ya kiuchumi, upatikanaji wa chakula bora, na mwamko wa lishe bora huathiri uwezo wa kupata virutubisho hivi kwa urahisi.

Changamoto za Kupata Virutubisho vya Lishe Asili:
🎯. Upatikanaji wa Chakula:
Vyakula vingi vyenye virutubisho muhimu, k**a samaki wenye mafuta (Omega-3), mbegu za chia, na mafuta ya mlozi, si rahisi kupatikana kwa wingi nchini Tanzania. Bei ya vyakula hivi inaweza kuwa ghali kwa mwananchi wa kawaida, na mara nyingi vyakula vinavyopatikana kwa bei nafuu havina virutubisho vingi.

🎯. Ubora wa Chakula: Mazingira yetu pia yanaathiri ubora wa chakula. Kwa mfano, mboga na matunda yanayolimwa na kutumia mbolea au kemikali za viwandani yanaweza kukosa virutubisho vya asili kwa kiwango sahihi. Hii inafanya kuwa vigumu kwa mtu kupata kiwango kamili cha virutubisho anavyohitaji kupitia chakula pekee.
Mazingira ya Kazi na Maisha:
Mazingira ya maisha yenye msongamano wa shughuli, haswa kwa wanawake wanaofanya kazi nyingi za kila siku, hufanya vigumu kufuata lishe bora. Mara nyingi wanakula vyakula vya haraka ambavyo havina thamani ya lishe inayohitajika.

Umuhimu wa Kutumia Virutubisho Lishe Vilivyoandaliwa na Kampuni Zinazokubalika:

Virutubisho vilivyoandaliwa tayari kwa njia ya vidonge, unga, kimiminika au mafuta ni mbadala muhimu kwa wanawake wanaopata changamoto ya lishe kamili. Kampuni bora za afya zinafanya utafiti wa kina na kuzalisha virutubisho hivi vikiwa na viwango sahihi vya kila kirutubisho kwa ajili ya afya bora ya mwili. Umuhimu wa kutumia virutubisho bora unajumuisha:

🌹. Upatikanaji wa Virutubisho Kamili kwa Pamoja:
Virutubisho hivi vimetengenezwa kwa kuzingatia uhitaji halisi wa mwili wa mwanamke, na kwa hivyo ni rahisi kupata viinilishe vyote muhimu kwa usawa wa homoni bila kutegemea vyanzo tofauti vya chakula.

🌹. Ubora na Uhakika: Kampuni zenye hadhi nzuri hutumia viwango vya juu vya uzalishaji, vikiambatana na tafiti za kisayansi pamoja uasili wa virutubisho kuhakikisha virutubisho vinatengenezwa kwa usafi, usalama, na ubora.

Mwanamke Bila Maumivu Ukeni INAWEZEKANA....
17/10/2024

Mwanamke Bila Maumivu Ukeni INAWEZEKANA....

Mrejesho baada ya Huduma...
17/10/2024

Mrejesho baada ya Huduma...

_*UNAJUA SABABU KWA NINI WANAWAKE MIAKA 20-40 WANAKABILIWA NA P.I.D ZAIDI??*__Wanawake wenye umri wa miaka 20 hadi 40 wa...
03/10/2024

_*UNAJUA SABABU KWA NINI WANAWAKE MIAKA 20-40 WANAKABILIWA NA P.I.D ZAIDI??*_
_Wanawake wenye umri wa miaka 20 hadi 40 wanakabiliwa na changamoto zaidi ya PID kwa sababu Zifuatazo:_

🫂. *Shughuli za kijinsia*: _Wako katika kilele cha shughuli za kijinsia, hivyo wana hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa k**a chlamydia na gonorrhea, zinazochangia PID._
🤷‍♀️. *Mabadiliko ya homoni*: _Huweza kupunguza kinga ya mwili, kuruhusu bakteria kusambaa kwenye viungo vya uzazi._
🪡. *Vifaa vya uzazi wa mpango*:
_Matumizi ya IUD yanaweza kuongeza hatari ya PID._
🫄👩‍🍼. *Mimba na kujifungua*:
_Uingiliaji katika viungo vya uzazi baada ya kujifungua au utoaji mimba unaweza kusababisha PID._
👌. *Kuchelewa kutafuta matibabu*:
_Dalili za awali za PID zinaweza kupuuzwa, kuongeza madhara zaidi._

_Kuwa na tahadhari ni muhimu ili kuepuka athari za PID._

_Kwa Ushauri zaidi unaepukaje P.I.D piga +255693786875_

"K**a  bado hujachukua hatua kuhusu dalili za Pelvic Inflammatory Disease (PID) ulizo nazo , Tafadhali, usichukulie hili...
03/10/2024

"K**a bado hujachukua hatua kuhusu dalili za Pelvic Inflammatory Disease (PID) ulizo nazo , Tafadhali, usichukulie hili kirahisi.

PID inaweza kusababisha madhara makubwa, k**a vile;

°ugumba,

°maumivu makali ya Tumbo muda mrefu,

°matatizo mengine ya afya ya uzazi.

Ninakushauri sana uanze matibabu haraka iwezekanavyo ili kuepuka athari hizi mbaya.

Afya yako ni ya kwanza!"

_🌹Je, unajua kwanini unaendelea kupata uchafu wenye harufu mbaya ukeni licha ya kutumia dawa nyingi?__📌Ni rahisi, fuatil...
23/08/2024

_🌹Je, unajua kwanini unaendelea kupata uchafu wenye harufu mbaya ukeni licha ya kutumia dawa nyingi?_

_📌Ni rahisi, fuatilia kwa makini..._

_Hivi ndivyo inavyotokea👇_

_♻️Uchafu wenye harufu mbaya hutokana na majeraha na wadudu kwenye mfumo wako wa uzazi._

_🤔...Dawa unazotumia, k**a antibiotics, huua wadudu lakini huwa haziponyeshi majeraha._

_🤦Baada ya kumaliza dawa, majeraha haya huruhusu wadudu wapya kuingia na tatizo hurudia._

_😭Sasa suluhisho ni nini?_

_🥰Hakikisha unapata tiba inayofanya yafuatayo:_

_1️⃣ Kuua wadudu._
_2️⃣ Kuponya majeraha._
_3️⃣ Kubalance pH ya uke._
_4️⃣ Kukaza na kusafisha kizazi._
_5️⃣ Kubalance homoni zako._

_🌹Kwa ushauri zaidi, wasiliana nami: 0693786875._

Address


Opening Hours

Tuesday 08:00 - 12:00
Wednesday 08:00 - 12:00
Thursday 08:00 - 12:00
Sunday 08:00 - 14:00

Telephone

+255693786875

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BLN-HealthCare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to BLN-HealthCare:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share