AFYA CARE

AFYA CARE Afya Care Tunatoa Elimu juu ya magonjwa mbali mbali na Tiba yake/zake.

HIZI NDIO FAIDA 10 ZA KUTUMIA BIDHAA ZETU ZA UG CARE PLUS STEMCELL1. Suluhisho kwa magonjwa zaidi ya 2002. Kulinda seli ...
28/09/2022

HIZI NDIO FAIDA 10 ZA KUTUMIA BIDHAA ZETU ZA UG CARE PLUS STEMCELL

1. Suluhisho kwa magonjwa zaidi ya 200
2. Kulinda seli shina za ngozi na mionzi hatari ya UV
3. Kuchelewesha kuzeeka kwa ngozi
4. Kuondoa sumu mbalimbali mwilini
5. Hulinda au kupunguza hatari ya uharibifu wa macho
6. Kuongeza kinga ya mwili na kuwa imara
7. Huongeza afya ya mfumo wa moyo
8. Huimarisha mishipa, viungo na mmeng'enyo wa chakula
9. Kuweka sawa mzunguko wa damu na cholesterol
10. Husaidia kuongeza damu kwenye mwili kwa wale wenye shida ya upungufu wa damu

Wengi wamepata matokeo ndani ya siku 21 mpaka 90

Usiendelee kuteseka wala kuona ndugu yako anateseka, mjulishe hizi habari njema na siku 1 atakuja kukushukuru

Tunafanya Delivery popote ulipo Dar es Salaam na mikoani tunatuma kwa uaminifu (FREE DELIVERY)

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi 0699476685
https://wa.me/message/2XETJSFSP44YL1

Tunaendlea kugusa maisha ya watu kila siku ..kupitia Stem cell therapy..magojwa sugu ni historia.
27/09/2022

Tunaendlea kugusa maisha ya watu kila siku ..kupitia Stem cell therapy..magojwa sugu ni historia.

Umehangaika huku na kule kuwaza wapi unaweza kupata suluhu juu ya changamoto ya kupooza hii ni habari njema,Yaani wa kwa...
15/09/2022

Umehangaika huku na kule kuwaza wapi unaweza kupata suluhu juu ya changamoto ya kupooza hii ni habari njema,Yaani wa kwanza ni Mungu na kinachofuata ni stem cell kwa ajili ya kukuzalishia seli mpya na kukarabati ambazo zina changamoto au dhaifu
Karibu sana
AFya Care. Kwa mawasiliano 0699476685

Tunaendelea kugusa maisha ya watu kila iitwapo leo Tunatuma stem cell ndani na nje ya nchi Karibuni sana tuweze kusaidia...
13/09/2022

Tunaendelea kugusa maisha ya watu kila iitwapo leo
Tunatuma stem cell ndani na nje ya nchi
Karibuni sana tuweze kusaidia wengi. Kwa mawasiliano zaidi 0699476685

Bado tunaendelea kugusa maisha ya watu kwa kuwasaidia katika changamoto za Afya mbali mbali.Karibu kwa matibabu ya Uhaki...
12/09/2022

Bado tunaendelea kugusa maisha ya watu kwa kuwasaidia katika changamoto za Afya mbali mbali.

Karibu kwa matibabu ya Uhakika Nafuu na ya Haraka zaidi. Tunatuma Stemcell ndani na nje ya nchii kwa uaminifu mkubwa

Tupigie 0699476685
https://wa.me/message/2XETJSFSP44YL1

FAHAMU AINA ZA MAGONJWA YA MOYOMagonjwa ya moyo ni magonjwa yanayo ambatana na kuathiri moyo. Mara nyingi magonjwa ya mo...
11/09/2022

FAHAMU AINA ZA MAGONJWA YA MOYO

Magonjwa ya moyo ni magonjwa yanayo ambatana na kuathiri moyo. Mara nyingi magonjwa ya moyo yanaambatana na mishipa ya damu kuwa na tatizo ambapo moyo hushindwa kufanya kazi, moyo hutegemea damu ambayo hubeba oxygen, madini, vitamins, kinga ya mwili, joto, homoni na vingine vingi

Zaidi ya theluthi ya vifo vyote vinavyotokana na ugonjwa wa moyo na mishipa ya damu hutokea ndani ya nchi zenye uchumi wa chini na uchumi wa kati

AINA ZA MAGONJWA YA MOYO

1. Ugonjwa wa moyo unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu (Coronary artery disease) Hili ni tatizo linalowakuta watu wengi, mishipa ya damu hupasuka na kuharibika hii hutokana na mishipa ya damu kuwa na uchafu na mafuta mengi na kufanya damu isipite vizuri

2. Mapigo ya moyo kwenda tofauti (Heart Arrhythmias) Hii hutokea pale mapigo ya moyo kwenda taratibu isivyo kawaida au kwenda haraka isivyo kawaisda, pia mapigo ya moyo kwenda ovyo. Hii ni hatari sana na huua sana

3. Moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure) Hii ni hali moyo hushindwa kufanya kazi yake k**a kupampu na kusambaza damu, kusambaza oxygen. Hii inaweza kutokea kwa mtu mwenye magonjwa k**a ugonjwa wa moyo wa misipa kuathirika, Shinikizo la damu, na magonjwa mengine

4. Magonjwa ya moyo ya kuzaliwa (Congenital heart disease) Haya ni magonjwa ambayo wengi huzaliwa nayo, yanaweza kuwa ni baadhi ya kasoro katika mwili k**a baadhi ya chemba za moyo kuziba au kupasuka, oxygen kupita kwa shida na vinginevyo

5. Ugonjwa wa valvu na misuli ya moyo (Heart Valve Disease & Cardiomyopathy (Heart Muscle Disease)) Katika moyo kuna chema nne nazo zinapitisha damu na oxygen kutoka kwenye mapafu, valvu hufunguka na kufunga. Valvu na misuli ikiwa imepasuka na kuharibika husababisha tatizo la moyo

6. Moyo kutanuka. Hii hutokea pale damu ikiingia ndani ya moyo harafu mishipa ya kutoa damu ikiwa na tatizo ikashindwa kutoa damu nje ya moyo moyo utaanza kutanuka siku hadi siku

Je, wajua Ug care plus stemcell ni suluhisho kwa aina zote za magonjwa ya moyo? maelezo zaidi wasiliana nasi 0699476685
https://wa.me/message/2XETJSFSP44YL1

Kwa wateja wetu waliopo Nje ya Dar es salaam yaani Mikoani. Kuna aina 3 za utaratibu ambazo unaweza kuchagua moja ambayo...
11/09/2022

Kwa wateja wetu waliopo Nje ya Dar es salaam yaani Mikoani. Kuna aina 3 za utaratibu ambazo unaweza kuchagua moja ambayo unaona utakua na Amani na kuridhika nayo.
1: Unaweza kutembelea ofisi zetu zilizopo Dar es salaam Mwenge.
2: Unaweza kumuagiza mtu wa kukuwakilisha kuja kuchukua dozi yako ambaye yupo Dar es salaam
3: Unaweza kutumia Namba zetu za simu kufanya malipo au Account no yetu ya CRDB halafu sisi tukusafirishie mzigo wako Mpaka ulipo bila gharama yoyote(Free delivery)

Bado tunaendelea kugusa maisha ya watu na kurejesha Tabasamu katika Nyuso zao
wasiliana nasi 0699476685
https://wa.me/message/2XETJSFSP44YL1

TATIZO LA FIGO: Moja ya tatizo sugu linalosumbua watu wengi katika jamii yetu hata kupelekea vifo na kuwafanya watu kuis...
11/09/2022

TATIZO LA FIGO: Moja ya tatizo sugu linalosumbua watu wengi katika jamii yetu hata kupelekea vifo na kuwafanya watu kuishi vibaya na kupoteza fedha nyingi kwa ajili ya kupata tiba ni tatizo la FIGO

Kwa mujibu wa tafiti unaambiwa palipo na mkusanyiko wa watu 10 ni lazima mtu mmoja kati yao awe mwathiriwa au muhanga wa tatizo hili la FIGO

Tatizo la FIGO husababishwa haswa na ongezeko la sukari mwilini, shinikizo la damu, unene kupitiliza, kuwa na mafuta kuzidi mwilini na kuwa sababu ya kuongezeka umajimaji wa creatin ndani ya damu na kwa sababu hiyo hupelekea figo kusinyaa na kufeli kufanya kazi inavyotakiwa

Dalili za tatizo hili ni pamoja na kuvimba miguu, uso, tumbo, kushindwa kula au kukosa hamu ya kula, kupanda kwa shinikizo la damu na hata kukosa damu, kuwa na hali ya udhaifu pamoja na kupata matatizo kwenye njia ya mkojo

Ikiwa una tatizo la FIGO au kujiona una dalili zote za haya tulioyataja hapa tafadhali usisite kututafuta mapema tukupatie bidhaa zetu za stemcell

Ugcare plus Stemcell ni bidhaa zitakazo kuondoa kwenye kadhia hii na kubakia salama na mzima kabisa. Bidhaa hizi ni 100% NATURAL na 100% HALAL

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi 0699476685
https://wa.me/message/2XETJSFSP44YL1

Bado tunaendelea kugusa maisha ya watu kwa kuwasaidia katika changamoto za Afya mbali mbali.Karibu kwa matibabu ya Uhaki...
09/09/2022

Bado tunaendelea kugusa maisha ya watu kwa kuwasaidia katika changamoto za Afya mbali mbali.

Karibu kwa matibabu ya Uhakika Nafuu na ya Haraka zaidi. Tunatuma Stemcell ndani na nje ya nchii kwa uaminifu mkubwa

Tupigie 0699476685

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255699476685

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA CARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share