Afya na Detox

Afya na Detox Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya na Detox, Medical and health, Dar es Salaam.

✨Ninasaidia kusafisha mwili kwa virutubisho vya mimea (AFYA DETOX PACKAGE) 🍆🍉🍋‍🟩🥑🍍

✨Tumia Afya Detox package kwa ustawi wa afya yako
+255766696494 kwa ushauri na tiba

ASANTENI KWA KUENDELEA KUNIAMININA KUPATA TIBA KUTOKA KWANGU KWA USHAURI NA TIBA ZAIDI069 827 8677
24/02/2024

ASANTENI KWA KUENDELEA KUNIAMINI
NA KUPATA TIBA KUTOKA KWANGU

KWA USHAURI NA TIBA ZAIDI
069 827 8677

ASANTE KWA KUNIAMINI NA KUPATA HUDUMA YANGU KWA UAMINIFU POPOTE UNATUMIWA MZIGO WAKO NDANI NA NJE YA NCHI
24/02/2024

ASANTE KWA KUNIAMINI NA KUPATA HUDUMA YANGU KWA UAMINIFU

POPOTE UNATUMIWA MZIGO WAKO NDANI NA NJE YA NCHI

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!KARIBUNI SANAPilly Omary Hemed Hemed, Racher Leuben
21/02/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!

KARIBUNI SANA

Pilly Omary Hemed Hemed, Racher Leuben

06/11/2023

KWA ELIMU NA AFYA NA MIFUPA UNGANA NAMI KUPITIA WHATSAPP CHANNEL YANGU KUPATA ELIMU NA TIBA YA MIFUPA UNGANA NAMI SASA

LISHE & AFYA YA MIFUPA."Kinacholeta tofauti kwenye afya ya mifupa ni LISHE. Si tu LISHE, bali ile yenye virutubisho vya ...
06/11/2023

LISHE & AFYA YA MIFUPA.

"Kinacholeta tofauti kwenye afya ya mifupa ni LISHE. Si tu LISHE, bali ile yenye virutubisho vya kutosha vya; Kalsiamu, Vitamin D na Protini navyo husaidia kujenga mifupa imara na kukukinga na mvunjiko".

K**a unahitaji dondoo mbalimbali za kukusaidia. Wasiliana nasi

TIBA SAHIHI YA MIFUPA BILA UPASUAJI
04/11/2023

TIBA SAHIHI YA MIFUPA BILA UPASUAJI

20/10/2023

TUMIA TIBA SAHIHI KUPONA CHANGAMOTO YAKO YA KUSAGIKA KWA MIFUPA YAKO

0766696494

ASANTE KWA KUNIANINI NA KUANZA RASMI TIBA YAKOPOPOTE MZIGO UNAKUFIKIA WA UAMINIFU ZAIDI.LEO NIMETUMA ODA YA MGONJWA WANG...
25/07/2023

ASANTE KWA KUNIANINI NA KUANZA RASMI TIBA YAKO
POPOTE MZIGO UNAKUFIKIA WA UAMINIFU ZAIDI.

LEO NIMETUMA ODA YA MGONJWA WANGU BAADA KUHITAJI DAWA NA ANAISHI MKOA WA MOROGORO NIMEFANIKIWA KUMTUMIA DOZI YAKE LEO HII

TIBA YA MATATIZO YA MIFUPA NAJOINTS(MAUMIVU,KUSAGIKA N.K)▫️Bila shaka umesha msikia ndugu yako,wewe mwenyewe, rafiki au ...
01/07/2023

TIBA YA MATATIZO YA MIFUPA NAJOINTS(MAUMIVU,KUSAGIKA N.K)

▫️Bila shaka umesha msikia ndugu yako,wewe mwenyewe, rafiki au mtu wako wa karibu wakilalamika kuugua tatizo la GAUTI, kuuma kwa MAUNGIO k**a MAGOTI(Knee Joint), NYONGA, BEGA(Shoulder Joint) KIUNO na MGONGO.

▫️Wako pia wanaolalamika maumivu ya maungio ya kisigino(Ankle Joint) Dunia nzima asilimia ya wagonjwa wenye matatizo haya wanawake ni 18% na wanaume ni 9.6%

▫️Kawaida katika MAUNGIO huwa kuna ute ute uitwao synonvial fluid ambao kazi yake ni kulainisha joints, pia kuna kitu k**a sponji kiitwacho cartilage (gegedu) ambayo Kazi yake ni kufanya mfupa na mfupa visisagane hivyo sponji hii na ute ute juu ndio vinavyofanya MAUNGIO yawe salama.

▫️TATIZO hili kitaalamu huitwa OSTEOARTHRITIS(OA) hutokea pale ambapo gegedu(cartilage) kuanza kulika pole pole na kusababisha mifupa ya kwenye MAUNGIO kusagana hii husababisha maumivu

CHANZO CHA TATIZO
▫️kula sana vyakula vyenye uric acid k**a nyama nyekundu
▫️Umri mkubwa
▫️Uzito mkubwa
▫️Kuumia Kwa Kupata ajali
▫️Kurithi (genesis)
▫️Wafanya mazoezi/wana michezo
Endapo usipotibu tatizo hili kuna uwezekano mkubwa wa kufanyiwa upasuaji na kuwekewa cartilage za bandia ambapo kimsingi ni gharama kubwa sana na si njia sahihi kwani unaweza kujihisi kilema

Tuna virutubisho organic 100% tena cold processed ni kibokoo kwa matatizo yote ya mifupa Kwa Ushauri na Tiba WhatsApp & Tupigie +255656377602

Maumivu ya viungo na mifupa kwa kias kikubwa huchangiwa na upungufu wa uteute (synovial fluid) na gegedu (articulate car...
01/07/2023

Maumivu ya viungo na mifupa kwa kias kikubwa huchangiwa na upungufu wa uteute (synovial fluid) na gegedu (articulate cartilage) katika maungio na kusababisha mifupa kukutana na kuweza kusagana na kupelekea mtu kuhisi maumivu makali sana.
Suluhisho lipo kwa kutumia TIBALISHE unapona bila kufanyiwa upasuaji.
+255693193670

Unaweza kupata maumivu makali ya baadhi ya maeneo kutokana na mgandamizo wa mshipa mkubww wa fahamu (sciatica nerve) msh...
19/05/2023

Unaweza kupata maumivu makali ya baadhi ya maeneo kutokana na mgandamizo wa mshipa mkubww wa fahamu (sciatica nerve) mshipa huu ukigandamizwa unaweza usafiri maumivu kwenye sehemu zilizo wekewa alama nyekundu na kupata madhara yafuatayo;

✔miguu kufa ganzi na kuwaka moto.

✓ kushindwa kutembea vizuri

✔maumivu makali ya kiuno na kushindwa kutembea vizuri

✓ wakati mwingi unaweza kupoiza kabisa na kushindwa kutembea.

K**a una hii changamoto hakikisha unaitafitia tiba badala ya kuendelea kuishi nayo kwasababu madhara yake ni makubwa kwa siku za usoni.

Karibu tukuhudumie.
Wasiliana na afya ya mifupa kwa msaada wa haraka zaidi
Nipigie 0656779983

Kupitia WhatsApp
👇👇👇👇👇👇👇

https://wa.me/message/BQUKKZI3XYT4M1

17/04/2023

Kupinda kwa mgongo ni hali ya kupinda kwa uti wa mgongo kunakosababishwa na sababu mbalimbali. Kupinda kwa mgongo (kibiongo) kunaweza kusababishwa na mkao usiofaa wa vijana wanaobalehe, kulika kwa mifupa wakati wa uzee, matatizo ya kano na tishu, uvimbe, au jeraha kwenye uti wa mgongo.

Wagonjwa wenye tatizo la Kupinda kwa mgongo (l) hupatwa na uchovu, maumivu ya mgongo, na kukaza kwa misuli ya mgongo. Kwa hali kali sana, tatizo hili linaweza kuathiri moyo na mfumo wa upumuaji, na kusababisha shida kupumua au maumivu ya kifua. Picha za uti wa mgongo zinaweza kusaidia kutambua sababu ya shida hii. Matibabu na matarajio hutofautiana kati ya mtu na mtu, kulingana na sababu.

NASAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO ZA AFYA YA MIFUPA KWA TIBALISHE

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Detox posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya na Detox:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram