08/03/2023
Onyo!! Muhimu Saana..
Unatakiwa Kujua hiki kitu , Kabla Ya kubeba Ujauzito wako. (Kushika Mimba)
Ni ukweli usiopingika kuna Ka Furaha (feeling) furani hivi , mtu inapotokea unapokuwa mtu wako au ikitokea ukapata ujauzito, mimba yako ukailea vizuri, ukajifungua salama, mtoto mwenye Afya Njema na sasa unaanza kuitwa Mama.. Waahoo.๐คฑ๐ป๐ผ๐ฝ๐ซ
Ni Vyema kujua ni Wakati Gani Sahihi Unapaswa Kuanza Kutumia Virutubisho vyenye Folic Acid Ndani yake na
Madhara Ya Ukosefu wa kutotumia Virutubisho hivyo.
Kikawaida viungo vya mwili wa mtoto au kiumbe tumboni, huwa vinatengenezwa ndani ya miezi mitatu ya mwanzo( 1 st Trimester ).
Ubongo na uti wa mgongo na mapafu hivi hutengenezwa kati ya siku ya 20 hadi 25 mpaka 30, Matatizo katika utengenezwaji wa ubongo na viungo vingine hutokea ndani ya siku 28 za ujauzito.
Na kipindi hiki mjamzito anakua bado hajafahamu k**a ni mjamzito wengi wao uanza kujigundua baada ya mwezi mmoja.Mama wengi huanza clinic wakiwa na umri wa mimba wakiwa na miez mitatu kuendelea na hapo ndipo wanaanza kutumia folic acid.Kwa hiyo kipindi hiki tayari k**a kuna matatizo yamesatokea na folic acid hazimsaidii tena, labda kwenye swala la kuongeza damu.
USHAURI.
Kutokana na matatizo haya kutokea kabla ata mtu hajajigundua ni mjamzito ni muhimu sana k**a wewe ni Mmama au Mdada Na unatafuta watoto ni vema kuanza kutumia virutubisho vyenye folic acid ndani yake au kupata folic acid miezi mitatu kabla ya Ujauzito,Yaani pale Unapoamu kuwa upo tayari kubeba mimba unaanza kula vyakula vyenye folic acid kwa wingi au kutumia Virutubisaho vyenye folic acid ndani yake.
Hii itakusaidia wewe Pale , ikatokea mimba nyingine kuja bila kupangwa , basi mwanamke yeyote alio kwenye umri wa kupata Ujauzito na yuko tayari kubeba Mimba anapaswa kupata au kula vyakula vilivyojumuisaha virutubisho vyenye folic acid ya kutosha.
Madhara Ya Upungufu Ya Folic Acid Au Virutubisho Vyenye Folic Acid Kwa Mama Mjazito.
Ijulikane kuwa yapo madhara Mengi ambayo mama mjamzito asipotumia virutubisaho vyenye folic acid ndani yake , baadhi yake ni -:
โฆ๏ธMama na mtoto kuwa na upungufu wa damu. ( anaemia)
โฆ๏ธMtoto kuzaliwa mgongo wazi / kuzaliwa na uvimbe mkubwa mgongoni (spinal bifida)
โฆ๏ธMtoto kuzaliwa na kichwa kikubwa kuzidi umri wake na kumwelemea .
โฆ๏ธMtoto kuzaliwa mdomo wa sungura
โฆ๏ธMtoto kuzaliwa na kichwa chenye mapungufu kinakuwa na umbo k**a la chura
โฆ๏ธ Lakini piya kupelekea Mimba kuharibika (Miscarriage)
โฆ๏ธMtoto kuzaliwa njiti.
โฆ๏ธKuleta ulemavu wa miguu na viungo vingine kwa mtoto. n.k
NB:
Hivi Ni Baadhi Ya Vyakula Vyenye Vyanzo Vya Folic Acid Ndani Yake.
Mama anaweza kupata virutubisho folic acid kupitia vyakula na matunda k**a
Vile.
ยถ Machungwa au ndimu
ยถ Parachichi
ยถ Papai
ยถ Nyanya
ยถ Bamia
ยถ Viazi vitamu
ยถ Dagaa
ยถ Maharagwe meusi/ -Njegere
ยถ Mayai
ยถ Pasta / tambi ndefu
ยถ Broccoli
ยถ Spinaches
MUHIMU.
Nimekutana na changamoto , ambayo wengi wao wamekuwa wakikutana nayo ,kabla ya Ujauzito au baada , kushindwa kutumia folic acid zinawashinda ,
Tunayo solution ya pekee kwa sasa juu ya tatizo lako.
Tuma ujumbe kwenda namba 0764780422 kwa ushauli zaidi au kupata msaada.
Bofya hapa kwenye Link itakupeleka moja kwa moja whatsapp
https://bit.ly/3V9JfDg
Imeandaliwa na ( Dr.Ray ) mwanzilishi wa jukwaa la Health and Medical Content.
Asante kwa kuendelea kufatilia page yetu Share kwa Wingi , Like na Kucoment Ili tuwafikie wengi zaidi na zaidi , na wao waweze kupata msaada. https://free.facebook.com/Health-and-Medical-Content-102738154543697/