Malopa Herbal Clinic

Malopa Herbal Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Malopa Herbal Clinic, Medical and health, Dar es Salaam.
(1)

MALOPA HERBAL CLINIC
✔ Tiba ya PID, Fangasi, UTI
✔ Kuchelewa kupata mimba / ugumba
✔ Matatizo ya nguvu za kiume
✔ HPV, Vipele & Malengelenge ya siri
📞 WhatsApp: +255 658 977 071

04/10/2025

Kwa tiba na ushauri juu ya Changamoto za Uzazi Wasiliana nami

+255 658 977 071

PID NI CHANZO CHA UGUMBA NA KUKOSA MIMBA KWA MWANAMKE MOJA KWA MOJAUshauri na tibaKwa tiba na ushauri juu ya Changamoto ...
11/09/2025

PID NI CHANZO CHA UGUMBA NA KUKOSA MIMBA KWA MWANAMKE MOJA KWA MOJA
Ushauri na tiba

Kwa tiba na ushauri juu ya Changamoto za Uzazi Wasiliana nami

+255 658 977 071

Hellow
16/09/2024

Hellow

14/05/2024

MWANAMKE NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU

Matatizo mengi sana ya wanawake yana dalili za kufanana, yana vyanzo vinavyofanana fanana (baadhi ya changamoto) na matokeo yake huwa yanaonekana kufanana na hiyo ndio sababu wanawake wengi hawaponi changamoto za mfumo wa uzazi kwani wanatumia dawa nyingi wakidhani wanafahamu changamoto zao vizuri lakini kumbe hawafahamu kabisa.

K**a mwanamke una changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi, karibu sana

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

👉 P.I.D
👉 Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
👉 Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
👉 Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
👉 Mvurugiko wa siku za hedhi
👉 Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
👉 Mimba kuharibika
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Mirija ya uzazi kuziba
👉 Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
👉 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉 Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

👉 KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.
Wasiliana nami kupitia namba hizo hapo chini
(+255693645358)

25/01/2024

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malopa Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Malopa Herbal Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram