Afya Leo

Afya Leo Tunasaidia kuondokana na magonjwa yasio ya kuambukizwa kwa kutumia teknolojia ya shina seli

Watu wamekuwa wakifanyiwa operation kuondoa uvimbe lakini badae uvimbe hurudi na kuhitaji kufanyiwa operation tena.Pia k...
08/08/2023

Watu wamekuwa wakifanyiwa operation kuondoa uvimbe lakini badae uvimbe hurudi na kuhitaji kufanyiwa operation tena.

Pia kuna wengine anakua na saratani anafanyiwa matibabu ya chemotherapy au mionzi lakini badae saratani huamia sehemu nyingine ya mwili.

Mf wa magonjwa hayo na mengineyo mengi yanayotutesa, suluisho lake ni kutumia Rocenta stem cell

Hii ukipona tatizo lako ndo limeisha moja kwa moja maana hii hujikita kwenye mzizi wa tatizo.

Piga simu namba 0748681830 au 0624901642 kupata mwongozo zaidi

💢*HAKUNA KINACHO SHINDIKANA*💢🌈Umesumbuliwa na *MARADHI MBALIMBALI*🌈💦Kwa mda mrefu,✔Umemeza Vidonge ✔Umechoma Sindano✔ Um...
06/08/2023

💢*HAKUNA KINACHO SHINDIKANA*💢

🌈Umesumbuliwa na *MARADHI MBALIMBALI*🌈

💦Kwa mda mrefu,
✔Umemeza Vidonge
✔Umechoma Sindano
✔ Umetumia MITISHAMBA

💦Kwa mda mrefu Bila Mafanikio,🤷🏽‍♂
✔Umekua ukirudiwa rudiwa na Magonjwa

🇹🇿 Dar es salama
☎ +255748681830
✅ Whatsapp
✅ calls
✅ txt sms
✅ telegram

💥*Yawezekana Una Magonjwa yafuatayo*💥

🌈Maumbile madogo(uuume mdogo).
🌈upungugu wa NGUVU za kiume.
🌈Kinga ya mwili.
🌈Fangasi Sugu.
🌈Kisukari.
🌈Presha.
🌈Vidonda Vya Tumbo.
🌈Maumivu ya Tumbo wakati wa Hedhi.
🌈Kupata Hedhi kwa mda Mrefu na kutoshika. 🌈mimba.
🌈Kutopata Hedhi.
🌈 Kupooza.
🌈Matatizo ya Macho.
🌈Matatizo ya meno.
🌈Matatizo ya Mifupa .
🌈Pamoja na maradhi mengine mengi amabayo haujayataja.

💎*Pamoja na Magonjwa sugu yote ya Binadamu*💎

🌱*Je kwanini Utumie Stem Cell*

🌱Tuna Madaktari Bingwa wa Stem cell
🌵Dawa zetu zimeshika Daraja la kwanza katika Soko La Tiba Duniani.
DAWA za Stem Cell zimekua Pendwa Duniani kwa Sasa kutoka na kutibu Maradhi Sugu pamoja na kutibu magonjwa ya *UVIMBE* k**a
✔Tezi Dume
✔Uvimbe katika Kizazi
N.k

💦Pia unasababu 1000 za kutumia DAWA za Stem cell na 💦

🌵Kwamba hazina madhara kwa Mtumiaji,,🌵

🔊Pia una kila sababu ya kutumia dawa zetu Kwani Zina dili na Kiini cha Tatizo na kuondoa Tatizo lako*🍎

🌵*TIBA ASILI & STEM CELL*🌵

🇹🇿Tunapatikana Dar es salaam na Moshi

Tupigie kwa namba 0748681830 au 0624901642

TUNATOA HUDUMA 🌏DUNIA NZIMA

Kwanini Unapata Hedhi Nyeusi?Wanawake wengi wanaanza hedhi baada ya kuvunja ungo miaka 12 na 13, ikiwa hakuna tatizo lol...
21/07/2023

Kwanini Unapata Hedhi Nyeusi?
Wanawake wengi wanaanza hedhi baada ya kuvunja ungo miaka 12 na 13, ikiwa hakuna tatizo lolote la kiafya. Hedhi ni damu inayotoka kila mwezi baada ya ukuta wa kizazi kubomoka, endapo mimba haikutungwa. Rangi na mwonekano wa hedhi yako ni kiashiria kikubwa kuhusu mwenendo wa afya yako ya uzazi.

Kwenye makala hii utajifunza

chanzo cha hedhi kuwa nyeusi
tiba ya tatizo na
lini unatakiwa umwone daktari
Mabadiliko Ya Rangi Ya Hedhi
Rangi ya hedhi yako inaweza kubadilika kutoka kwenye nyekundu ya kungaa, chungwa, brown na pia nyeusi. Ni muhimu kutambua kwamba hedhi nyeusi, siyo kwamba inakuwa nyeusi hasa hapana. Ni ile hali ya weusi usiokoleak**a vile damu ilopigwa na upepo ikaganda.

Sometime hedhi nyeusi yaweza kuashiria changamoto fulani ya kiafya na ndiomaana tumeandika makala hii ujifunze.

Chanzo Cha Hedhi Nyeusi
Damu nyeusi ya period inachukua muda mrefu sana kutoka nje ya kizazi, na hivo kupitiwa na hewa. Kitendo huitwa oxidation, yani damu kuachanganyika na hewa na kuifanya iwe nyeusi au ya brown, sawa na rangi ya kahawa.

Hedhi nyeusi na na kutokwa uchafu ukeni mara nyingi siyo ishu kubwa ya kukuletea mawazo. Uke unajisafisha kila siku na hedhi yaweza kutokea ukapata nyeusi mara chache. Pamoja na hivo unatakiwa kufatilia afya yako na aina za uchafu unaotoka ukeni.

Kwa leo tuishie hapa kesho tutaendelea na somo letu
Kwa huduma ya ushauri na matibabu wasiliana nasi kwa 0748681830 au 0624901642

Makosa Ya Kuepuka Unapotatua Changamoto Za UzaziUzazi imekuwa ni changamoto kwa mataifa mengi hasa barani Afrika Niliand...
20/07/2023

Makosa Ya Kuepuka Unapotatua Changamoto Za Uzazi
Uzazi imekuwa ni changamoto kwa mataifa mengi hasa barani Afrika

Niliandika kitabu(ebook) changu cha kutumia tiba mbadala ukiwa nyumbani kinachoitwa "KUA MAMA KWA KUTUMIA TIBA MBADALA"

Lengo kuu lilikuwa ni kuwasaidia akina mama na Dada wenye changamoto za uzazi ili kumaliza shida zao wakiwa nyumbani

Tanzania sasa inakadiriwa kuwa na asilimia 85% ya wanawake kuwa na shida za uzazi na hawajui namna sahihi ya kuondokana na shida hizo

Moja ya makosa makubwa ambayo wanawake wengi hufanya ni kutumia kila dawa watakayoelekezwa hasa huku mtandaoni na mwishowe kukomaza tu changamoto zao

Pia wengi hawana Elimu na uelewa wa kutosha juu ya uhusiano wa uzazi na lishe au vyakula

Ndio maana nikakuandalia kitabu hiki kiwe mkombozi kwako mwanamke

Yaweza kuwa umetumia dawa nyingi lakini imeshindikana. Leo ni k**a bahati kwako kwani baada ya maamuzi ya kupata kitabu hiki utakuwa kwenye hatua nzuri ya Afya ya Uzazi

Fanya sasa uwekezaji mdogo kwa Afya yako ya uzazi kwa gharama ya "Tsh 9,999 Tu"
Nimeandika uwekezaji sababu Afya yako ya uzazi inaenda kurejea kwenye ubora mara tu utakapoanza kufanyia kazi kilichoandikwa humo

Baada ya kulipia kitabu utajiunga na group la VIP la kujifunza zaidi Afya ya uzazi kwa vitendo zaidi hatua kwa hatua

Nafasi zilizotolewa ni 20 tu na tayari nafasi 10 zimechukuliwa bado nafasi 10.
Mwishowa kulipia ni jumamosi saa sita usiku

K**a umetumia madawa mengi bila mafanikio acha kukomaza shida yako lipia sasa Tsh 9,999 tu kwenda namba

0748681830 M-pesa
Jina: Zawadi Nziku

Kisha nitumie ujumbe WhatsApp ili nikutumie kitabu chako na kukuunga kwenye group la mafunzo na utapata bonus ya kitabu kimoja bure cha uzazi chenye gharama ya Tsh 15,000

Chaguo ni lako uendelee kutumia madawa bila mafanikio au ufanye maamuzi ya kupata ebook hii sasa hivi

Kwanini Utumie Bidhaa za  Stemcells Kwa Ajili Ya KUJIKINGA na KUJITIBU hasa Magonjwa sugu ya Binadamu?Ni Kwasababu Ya Ut...
05/07/2023

Kwanini Utumie Bidhaa za Stemcells Kwa Ajili Ya KUJIKINGA na KUJITIBU hasa Magonjwa sugu ya Binadamu?

Ni Kwasababu Ya Utajiri Wa Kiafya Uliopo Ndani Yake!

Matumizi yake ni rahisi sana Na Inayeyuka Kwa Asilimia 100%, Huingia Moja kwa Moja Kwenye Mishipa Na Damu Pasipo Kusubiri Kwenda Kufanyiwa Umeng'enywaji Tumboni k**a ilivyo kwa virutubisho Lishe yaani ( Suppliment ), Hii Husaidia Kutoa Matokeo Ya Haraka Sana Katika Matibabu Ya Tatizo Lolote Mwilini.

👉 Inaondoa Uchovu wa Mwili.
👉 Inapandisha Cd4 Kwa Haraka Kwenye Damu Hivyo Kusaidia Wenye HIV/ AIDS
👉 Inaongeza Kinga Ya Mwili.
👉 Inaondoa Madhara Ya Mionzi (Chemotherapy).
👉 Inaboresha Mfumo Wa Chakula.
👉 Inaboresha Mzunguuko Wa Damu Katika Mishipa Mikubwa Na Midogo.
👉 Tiba Ya Tezi Dume
👉 Inazuia Na Kutibu Matatizo Ya Moyo.
👉 Inatibu Mishipa Ya Fahamu.
👉 Inasaidia Mfumo Wa Upumuaji.
👉 Inasaidia Mfumo Wa Ngozi Na Kuondoa Mizio (Allergy).
👉 Inalinda Na Kusaidia Figo Na Kufanya Ifanye Kazi Vizuri.
👉Ni Imara Kushindana Na Virusi, Fungus, Bacteria Na Wadudu Wengine Mwilini
👉 Inaondoa Vimbe Za Aina Zote Mfano Sinus, Fibroids, Cheloids
👉 Inasaidia Kuondoa Sukari, Na Kutibu Kongosho
👉 Inafanya Damu Iloganda Iyeyuke.
👉 Inatibu Tatizo La Kiharusi
👉 Inaondoa Sumu Mwilini.
👉 Inasaidia Wenye Matatizo Ya Upungufu Wa Damu.
👉 Inaweka Sawa Afya Ya Mwili.
👉 Ni Nzuri Kwa Kuzuia Kansa Kusambaa Mwilini (Metastasis) Kutibu Tatizo La Saratani Na Madhara Kando.
👉 Inatibu Matatizo Ya Watoto Ya Utindio Wa Ubongo Na Matatizo Mengine Ya Kiafya.

TUMIA BIDHAA STEM CELL KUTIBU TATIZO LA KINGA ZA MWILI NA KUONGEZA CD4 KWA HARAKA bila madhara yeyote yale.

BIDHAA HII HAIONGEZI KINGA TU, BALI PIA HUZUIA NA KUTIBU MARADHI ZAIDI YA 280 MWILI KWA WAKATI MMOJA.

Hii ndio suluhisho kwa matatizo ya kisukari, presha, saratani, kiharusi, matatizo ya Moyo, Uzazi, Ngozi , Figo, Ini, Vidonda vya tumbo n.k kuipata na kwa Maelezo Zaidi kuhusu Elimu hii ya Upandikizwaji wa Seli shina Mwilini Bonyeza kitufe chenye alama ya WhatsApp au….

Whatsapp Nambari +255748681830

Happy new month new healthDeal with confidence
02/07/2023

Happy new month new health

Deal with confidence


Je,unafahamu kuwa kadri umri unavyokwenda ndivyo seli zako za mwili zinavyozidi kupungua...?Na je ulikuwa unafahamu kuwa...
28/06/2023

Je,unafahamu kuwa kadri umri unavyokwenda ndivyo seli zako za mwili zinavyozidi kupungua...?

Na je ulikuwa unafahamu kuwa seli ndio kinga pekee ya kupambana na maradhi yako....?

Kupitia teknolojia ya juu ya shina seli inayouwezo wa kupambana na maradhi yako yote

Hakikisha unapata bidhaa hii kuokoa uhai wa Afya yako sasa......

Ili kupata bidhaa hii nitumie ujumbe kwa namba 0748681830 au 0624901642 sasa

[BURE] Hatua Za Kuondokana Na Maumivu Ya Mifupa Na Maungio......K**a umekuwa ukisumbuliwa na maumivu ya mifupa na viungo...
23/06/2023

[BURE] Hatua Za Kuondokana Na Maumivu Ya Mifupa Na Maungio......

K**a umekuwa ukisumbuliwa na maumivu ya mifupa na viungo kwa muda mrefu basi ujumbe huu ni maalumu kwaajili yako......

Kabla ya kujua hatua hizo hapo chini ndani ya dakika moja ijayo ni vyema pia ukaingia Darasani sasa kwa kugusa hapa chini

https://chat.whatsapp.com/Gmo2C1DAw6u0SBA29CwUXN
.....Kwa sababu ya kukosa Elimu ya masuala ya namna ya kutatua changamoto za mifupa na maungio,watu wengi wameshindwa kumaliza shida hizi na kushindwa kufurahia maisha.

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za Afya Duniani Zinasema asilimia kubwa ya changamoto hizi huwa kumba watu kuanzia umri miaka 30 na kuendelea......

Ili kuondokana na changamoto hizi za mifupa na maungio ni lazima upate Elimu sahihi na ya kutosha ya namna ya kuondokana na changamoto hizi......

Hatua namba 5; MAZOEZI..... Mazoezi husaidia katika kuimarisha viungo. Kufanya mazoezi sahihi kutakusaidia kupata unafuu wa kumaliza shida hizi. Watu wenye maumivu ya viungo na mifupa wanaweza kufaidika na shughuli k**a vile Aerobic za maji.....

Tambua sio kila mazoezi yatakusaidia kutatua changamoto hizi unapaswa kufanya mazoezi sahihi....
....Je,ungependa kujifunza hatua zote na namna ya kufanya mazoezi sahihi na kupata matibabu sahihi ya kumaliza shida za maungio na mifupa? K**a ndio......

Nimekuandalia Darasa maalumu kwa njia ya WhatsApp utajifunza hatua zote na matibabu sahihi za kuondokana na changomoto hizi

Darasa hili hufanyika mara moja kwa mwaka hivyo gusa linki sasa k**a kiu yako ni kumaliza shida tuma ujumbe WhatsApp kwenda namba 0748681830

Tukutane Darasani sasa

*Madhara ya Kutoa Mimba*Ni muhimu kufahamu matokeo mabaya kiafya yanayoweza kujitokeza siku za mbele baada ya kufanya ki...
19/05/2022

*Madhara ya Kutoa Mimba*

Ni muhimu kufahamu matokeo mabaya kiafya yanayoweza kujitokeza siku za mbele baada ya kufanya kitendo hichi, hasa kwenye swala zima la uzazi.

*Nini kinatokea Baada ya Kutoa Mimba?*

Wanawake wengi hupata dalili hizi siku chache baada ya kutoa mimba, dalili ambazo zinaweza kuchukua mpaka siku 21 kuisha

1. kutokwa damu kwa week 2 mpaka 4
2. muumivu ya nyonga
mwili kukosa nguvu na kusinzia ovyo
kutapika na kizunguzungu

*Madhara Makubwa yanayoweza Kujitokeza Baada ya Kutoa Mimba ni pamoja na*

1. majeraha kwenye mlango wa kizazi na kizazi kutokwa damu kupita kiasi mpaka kuishiwa damu
2.mimba kushindwa kutoka yote(incomplete abortion) na hivo kuhitaji upasuaji mwingine
3. maambukizi sugu kwenye via vya uzazi(PID)
4. makovu kwenye tumbo la uzazi
kufanyika kwa mashimo ndani ya kizazi
5. mgonjwa kufariki

*Madhara ya Muda mrefu Baada ya Kutoa Mimba*

1. kujifungua mtoto kabla ya muda wake kutimia(pre-term deliveries)

2. kutoa mimba husababisha kulegea kwa mlango wa kizazi na hivo kuongeza hatari ya mimba zijazo kutoka ama kujifungua kabla ya wakati yaani chini ya week 37.

endapo mtoto atazaliwa chini ya muda wa week 37 anaweza kupata madhara ya kiafya k**a matatizo ya ubongo.

3. saratani ya matiti: Tafiti zinasema kwamba kutoa mimba kunaongeza hatari ya mwanamke kupata saratani ya matiti.
4. kuugua magonjwa sugu k**a chlamydia na PID
5. kupata magonjwa ya akili: tafiti zinasema kwamba waawake wengi hupata matatizo ya akili baada ya kutoa mimba na dalili k**a
▶️kujutia kutoa mimba
▶️sonona na msongo mkubwa wa mawazo
▶️kupata wasiwasi k**a je watashika tena ujauzito mwingine
▶️kuona aibu na kujihisi wakosaji
▶️kupata mawazo ya kujiua

*K**a ulitoa mimba na unaanza kupata dalili hizi hapa juu, chukua hatua mapema,* onana na mtaalamu wa afya ya akili kupata ushauri wa kina.

Kushindwa Kushika Ujauzito kwa Siku za Baadae baada ya Kutoa Mimba
Kutokana na athari ya magonjwa k**a PID kwenye kizazi na mirija, inaweza kupelekea mwanamke kushindwa kushika mimba kwa siku za baadae.

VYAKULA VISIVYOFAA KWA AFYA YA MJAMZITO..Licha ya Vyakula vingi kuboresha afya ya mjamzito, vipo baadhi ya Vyakula vinaw...
19/05/2022

VYAKULA VISIVYOFAA KWA AFYA YA MJAMZITO..

Licha ya Vyakula vingi kuboresha afya ya mjamzito, vipo baadhi ya Vyakula vinaweza kuathiri afya ya mjamzito na pia afya ya mtoto aliye tumboni.

Vyakula hivyo ni:-

1. Mjamzito asitumie vyakula vya baharini vyenye sumu ya Zebaki, dayoksini, na PCBs.

2. Mjamzito asitumie nyama isiyoiva, mayai yasiyoiva, nyama ya kuku na nyama ya samaki isiyopikwa vizuri.

3. Mjamzito asitumie mboga mboga na matunda ambayo hayajaoshwa na kuandaliwa katika hali ya usafi.

4. Mjamzito asitumie kinywaji cha kahawa kwa wingi.

5. Mjamzito asitumie pombe.

6. Mjamzito asitumie chai za miti shamba ( herbal tea ).

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Leo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram