10/01/2026
JE, UNATUMIA VIRUTUBISHO (SUPPLEMENTS) KWA USAHIHI? π§π
Watu wengi wananunua supplements mtandaoni kwa sababu tu wameona tangazo au kusikia sifa kutoka kwa rafiki. Lakini ukweli ni kwamba: Siyo kila supplement ni salama kwako.
Mwili wa kila mtu una mahitaji tofauti. Kunywa supplements bila mpangilio kunaweza:
β Kusababisha madhara kwenye ini au figo.
β Kuingiliana vibaya na dawa nyingine unazotumia sasa.
β Kuwa ni upotezaji wa pesa kwa kitu ambacho mwili wako tayari unacho cha kutosha.
Usibahatishe afya yako! π‘οΈ
Tumia Quiz yetu ya bure iliyoandaliwa na wataalamu wa dawa (Wafamasia) ili upate muongozo sahihi wa nini mwili wako unahitaji hasa.
π Anza Quiz hapa sasa:
π https://afyadepot.co.tz/quiz/?v=73bb4387b307
Afya yako ni dhamana, chukua hatua sahihi leo.