
15/08/2022
Kukosa hamu ya kula husababishwa na mambo mengi kiafya hasa uchovu uliokithiri, kushiba kupita kiasi, madawa ya kulevya, wasiwasi, hofu, mawazo, majonzi, ulevi, magonjwa na saratani. Hali hii inaweza kusababisha kukonda na kupungua uzito pamoja na kushuka kwa kinga ya mwili hivyo kushambuliwa na maradhi.
Pamoja na kuwepo na tiba ambazo hutolewa hosipitali sambamba na mazoezi tatizo ili linaweza tibiwa kwa mawasiliano zaidi piga namba 0769053407 au tuma ujumbe whatsapp 0769053407 au gusa link https://wa.me/message/ZI6IXHOIXU2EP1