Health_CareTz

  • Home
  • Health_CareTz

Health_CareTz Nawasaidia watu wenye matatizo mbalimbali ya kiafya kwa mfano UTI SUGU, FANGASI, HORMONAL, PID, n.k

ANATIC HERBAL ESSENCES SOAP..
06/04/2022

ANATIC HERBAL ESSENCES SOAP..

22/02/2022

P.I.D NINI,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.
P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC

WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
-Kupitia ngono zembe
-Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
-Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
-Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono
-Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
-Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba
-Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako
-Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)
- Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu

DALILI ZA P.I.D
-Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
-Uke kutoa harufu mbaya
-Kuwashwa sehemu za siri
-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
-Uke kuwa mlaini sana
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Homa, uchovu na kizunguzungu

MADHARA YA P.I.D
-Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi
-Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba
-Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi
-Ugumba kwa mwanamke
-kupata kansa ya shingo ya uzazi

JINSI YA KUEPUKANA NA P.I.D
Japo kuwepo na tiba za kujitibu lakini unashauriwa kinga ni bore kuliko tiba hivyo zingatia yafuatayo;-
-Epuka kufanya ngono zembe
-Usifanye mapenzi baada ya kujifungua au mimba kutoka
-Weka tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara
-Kuwa msafi na nguo zako za ndani na kula lishe bora
-Epuka kushare nguo za ndani..
P.i.d inatibika

Send a message to learn more

*FAIDA  ZA FEMICARE KATIKA   SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE/MFUMO WA  UZAZI:*-Hutibu tatizo la uke kuwa mkavu.- Hutibu U.T.I...
29/01/2022

*FAIDA ZA FEMICARE KATIKA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE/MFUMO WA UZAZI:*
-Hutibu tatizo la uke kuwa mkavu.
- Hutibu U.T.I sugu
- Hutibu tatizo la fungus ukeni
-Huzibua mirija ya uzazi iliyoziba
-Huondoa tatizo la uke kujaa maji mengi wakati wa sex/tendo la ndoa.
- Huondoa hali ya uke kupwerepeta
- Huondoa tatizo la mwanamke kukosa hisia ya mapenzi
- Huufanya uke kubana/kuwa mnato
- Huondoa harufu mbaya ukeni
- Hutibu tatizo la kutokwa uchafu wenye harufu mbaya ukeni
- Huondoa maumivu kipindi cha hedhi
- Hurudisha furaha na kuleta heshima ya ndoa kwa mwanamke.
- Huufanya uke kuwa mdogo na misuli kubana na huondoatatizo la misuli kulegea
na uke kuwa mpana/mkubwa sana. nk.
- Huua bacteria wanaosababisha magonjwa ukeni/uzazi
- Hutibu tatizo la ugumba
- Hutibu P.I.D ukitumia na YUNZHI.

*.FEMICARE HUTUMIWA ENDAPO HAUUMWI K**A KINGA,USAFI SEHEMU ZA SIRI,KUONGEZA HALI YA KUJIAMMINI ZAIDI MWANAMKE.*
INASHAURIWA MWANAMKE ATUMIE FEMICARE MARA KWA MARA ILI KUONDOA MAAMBUKIZI UKENI/KUUFANYA NA MFUMO WA UZAZI KUWA SALAMA NA IMARA ZAIDI.

uthamani wa hali ya juu uliopo ndani ndio k**a ulivyoelezwa hapo juu.

ZAMU YAKO AMBAYE HUJAIPATA HII HUJACHELEWA, HATA K**A HUUMWI.

This is Femicare😋😋😋😋😋

28/01/2022

DUMISHA MAPENZI YA NDOA
💔💔💔🌹💘💘💝💕💖❣

*NINI UFANYE MUME AKINUNA*?
*Akinuna mwanaume vua nguo uanze kucheza*
💕💕💕💕💕💕
*Akiwa anakufokea au anakutukana usimjibu kabla hajamalizia tusi muwahi umpe denda la nguvu mpaka umlegeze*
💋💋💋💋💋
*Na akitaka kukupiga hata ngumi vua hivyo hivyo halafu mwambie kwa sauti yakulegeza na jicho la kurembua muambie nipige popote Mume wangu utakapo nipo kwa ajili yako*
💕💕💕💕💕💕
*Humu mmejikausha kimya mtakuwa mmeshazoea ngumi kupigwa*
💕💕💕💕💕💕
*Ukiona haelewi somo mshike dude uanze kulichezea usikubali mumeo anune na wew upo*
💕💕💕💕💕💕💕
*Na hiyo Siku ukimshika hakikisha mechi wajua kuicheza sio kulala chali k**a wasubiria kufanyiwa operation*
💕💕💕💕💕💕💕
*Mwanamke kumtii mumeo sio hiyana nilazima sio waingia kwenye ndoa ndani hapafahamiki mwanaume nan mwanamke nani Bibi wewe hiyo aibu
💕💕💕💕💕💕💕💕
*Usimpe nafasi ya kuongea we mpe l nafasi ya mate na ulimi ili asahau kukupiga ngumi*l
💕💕💕💕💕💕
*Mapenzi ni Sanaa watakiwa ujue kuicheza uuvae uhusika lia kabisa Kwa mahaba huku wamtega wamuomba msamaha*
💕💕💕💕💕💕💕
*Mwanaume tamaa, mwanaume wivu upoo bibie, toka uolewe hujawahi shinda paja wazi masaa 34 magubigubi mume mpaka uvue masaa2 inahuu ndo mana wala vya nje sababu wakuta kanga moja chupi majaliwa hahaha inahuusu.sina maana kuwa ni halali Kwa nje.lakini waowanatushinda kwa ubunifu
💕💕💕💕💕💕
*Mume atokwa na kijasho aminana kutwa nzima kutafuta ridhiki arudi yuko hoi badala umpokee kwa mahaba wampokea kwa visunyo mwanamke wewe usiye na utu hata chembe inahuuusu*
💕💕💕💕💕💕💕
*Mwanamke utii mwanamke kujishusha, mume katoka kazini wamvizia getini wampokea kwa mabusu na maneno laini sio mume arudi nyumbani akukuta umenuna k**a andazi lililochacha inahuusu👌👌👌

🤫🤫🤫
💋💋💋💋

Send a message to learn more

Pelvic Inflammatory Disease (PID).Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingan...
18/11/2021

Pelvic Inflammatory Disease (PID).
Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- .
Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivy wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.

DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa 🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

MADHARA YA PID
•Ugumba •Kansa ya shingo ya kizazi •Mirija ya uzazi kuziba •Majeraha kwenye mirija ya uzazi

NB:

PID INATIBIKA.

*KARIBU KILA MWANAMKE, ANA HISTORIA YA KUWA NA MATATIZO YA HEDHI*Jifunze hapa kuhusu*HORMONE IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA H...
16/11/2021

*KARIBU KILA MWANAMKE, ANA HISTORIA YA KUWA NA MATATIZO YA HEDHI*

Jifunze hapa kuhusu

*HORMONE IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)*

:Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.

*VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE*
👉Utoaji wa mimba
👉Uwepo wa sumu mwilini.
👉kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.
👉Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone
👉mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.
👉uzito mkubwa
👉Msongo wa mawazo.
👉Kutofanya mazoezi.
👉Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango.
👉Kukoma kwa hedhi.

*Dalili za kuvurugika kwa homoni*
👉Maumivu wakati wa tendo LA ndoa.
👉Kutoshika mimba.
👉Mzunguko wa hedhi kubadilika.
👉Kuongezeka uzito.
👉Kupungua hamu ya tendo LA ndoa.
👉Kupoteza kumbukumbu.
👉Hasira za Mara kwa Mara.
👉Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge
👉Uke kuwa mkavu.
👉kutoka jasho jingi usiku.
👉maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
👉mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.

*Madhara ya kuvurugika kwa homoni*
👉kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.
👉Mimba kuharibika Mara kwa Mara.
👉Kuwa mgumba.
👉U.t.I Mara kwa Mara.
👉Uvimbe kwenye via vya uzazi wa mwanamke.(fibroids)
👉kuziba kwa mirija ya uzazi.
👉saratani.

*Hormone imbalance inatibika ondoa shaka,,jali afya yako*

*UGONJWA* *WA* *P.I.D*  Haya ni Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases a...
13/11/2021

*UGONJWA* *WA* *P.I.D*

Haya ni Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi (PID) ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake wengi duniani takribani asilimia 75%. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix) hali ambayo hujulikana k**a cervicitis, nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a salpingitis. Kwa ujumla wake tunaweza tukasema huu ndio ugonjwa mama katika mfumo wa uzazi wa mwanamke ambamo ndani yake kuna uti, fangas sugu, n.k
Hivyo ni bora tuwe makini sana na ugonjwa huu.

*Nini* **husababisha* *PID*

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria *Gonorrhoeae* pamoja na *Chlamydia* trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

*ni njia zipi huambukiza PID?*

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na;
✅Kufanya ngono isiyo salama.

✅Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)

✅Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)

✅Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango hasa matumizi ya piles P2 kwa mida mrefu.n.k

✅Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

**Dalili* *za* *PID*

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni :-

✅Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu

✅Kupata maumivu ya mgongo.

✅Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.

✅Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa.

✅Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.

✅Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi.

✅Kupata homa.

✅Wakati fulani kuhisi kichefuchefu naPia kutapika,
,tiba 0745722546

Address

Mliman City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health_CareTz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Health_CareTz:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram