18/12/2022
pekee haitoshi. BALI NI KUFANYA DETOXIFICATION. (KUONDOA TAKAMWILINI/SUMU, NDIO MUHIMU).
Mwili unapokuwa na UCHAFU (takamili) nyingi, hufanya Defence mechanism ya kutengeneza mafuta ya kuzunguka baadhi ya Organ's (Viungo) kwenye mwili na pia kutokana na vyakula tunavyokula ndio maana hata k**a ukipungua kwa mazoezi bila kuondoa TAKAMWILI/UCHAFU baada ya muda fulani unajikuta tena umeongezeka uzito kupita kiasi. Lakini usiwe na hofu, maana ntakutambulisha kwenye program iitwayo "FIT", ambayo ndani INA "C9 & F15" zipo kwenye mfumo wa lishe na virutubisho vya vyakula vya kutusaidia kuondoa Uchafu uliozidi mwilini na pia zitusaidia kupunguza uzito. Zikiambatana na MAZOEZI, UNYWAJI WA MAJI YA KUTOSHA, LISHE (KULA VYAKULA VINAVYOENDANA NA KUNDI LAKO LA DAMU/BLOOD GROUPS. .
Ni njia salama kwa kiafya na ni rahisi kuitumia k**a unapenda kuwa na muonekano mzuri na kujiepusha na maradhi ambayo hujui lini yatakufika tafadhali mimi nakushauri utumie hizi program. .
Kwa maelezo zaidi na ushauri tafadhali, wasiliana nasi kwa Whatsapp/Calls/messages ➕ 255754851517
Karibu upate ushauri, HUDUMA HII ITAKUFIKIA POPOTE PALE ULIPO TANZANIA.