
13/07/2023
Tezi Dume Inapatikana Wapi Katika Mwili?
Tezi dume inapatikana chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.
Kazi Za Tezi Dume Katika Mfumo Wa Uzazi:
kutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa) ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizotengenezwa kutoka kwenye korodani, ambapo wakati wa tendo la ndoa, mwanaume anapofika kileleni, tezi dume hukamulia majimaji (shahawa) ndani ya mrija wa mkojo na kutolewa pamoja na mbegu za kiume k**a manii (Semen). Pia husaidia mbegu za kiume kubaki na uhai kwa muda unaostahili.
Aina Za Magonjwa Ya Tezi Dume:
Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume ambazo ni;
1) Maambukizi ya bakteria (Prostatitis).
2) Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostate Hyperplasia-BPH)).
3) Saratani ya tezi dume.
TatiZo linatibika bila upasuaji
Wasiliana nasi tukusaidie 0768828357