04/05/2022
IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME
Ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.
Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu
HATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUME
Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili k**a ifuatavyo :
Hatua ya kwanza, ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu k**a msumari.
Na hatua ya pili ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua zote mbili zinapo kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND LONGER ER****ON
JINSI HATUA ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.
1. HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA KWA KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME NA KUUFANYA UUME KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.
Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyopo kwenye ubongo, hupeleka ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo, ambayo nayo hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa ya uume. Taarifa inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya mishipa hiyo ku-relax na hatimaye kufanya mishipa ya ateri kufunguka na kutanuka. Mishipa ya ateri inapo tanuka na kufunguka, huruhusu damu kuingia kwa kasi ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya huume kusimama.
Ni muhimu kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax hupelekea kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa ya vena iliyo karibu na mishipa ya uume na hivyo kuiondolea uwezo wa kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka sehemu nyingine za mwili.
N.B: Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume.
2. HATUA YA PILI :
DAMU KUENDELEA KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA UUME UENDELEE KUDUMU KATIKA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU.
Uume ulio simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka katika mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo za mwili. .
Mishipa ya Vena ndio inayo husika na kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kupeleka sehemu nyingine za mwili. Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa hii ya vena iwe imezibwa. Ili iweze kuzibwa ni lazima misuli laini ya kwenye uume iwe - ime relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena kushindwa ku nyonya damu kutoka kwenye uume.
Endapo mishipa ya vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu yote kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama na kuipeleka sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume huo ulio simama na utasinyaa mara moja.
Mambo Muhimu Katika Kuufanya Uume Usimame na Kuendelea kudumu katika kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Ili uume uweze kusimama imara k**a msumari na uendelee kusimama imara na kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa, ni lazima mambo yafuatayo yawepo.
1. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema.
2. Mfumo mzuri wa damu katika mwili mzima.
3. Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.
4. Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume.
Ili mwanaume aweze kuwa imara katika tendo la ndoa, ni lazima mambo manne niliyo yataja hapo juu yawe sawa sawa bila hitilafu yoyote. Kinyume chake, mwanaume hawezi kuwa na nguvu za kiume.
VIASHRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;
1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
2. Uume kusimama ukiwa legelege
3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege
5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano k**a unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.
TIBA JUU YA TATIZO HILI
kumekuwepo aina mbali mbali za tiba juu ya tatizo ambapo watu hutumia madawa ya hospitalin wengine hutumia madawa ya kichina je unafaham madhara yake? Pole sana k**a utakuwa tiali umetumia vitu hivyo maana utaona matokeo kwa mda tu baadae ni kilio
Njoo ufundishwe namna ya kutumia vilutubisho yaani lishe itokanayo na vitu vya asili ambavyo inaweza kukupa tabasam na uwanaume wako 💪💪💪
kwa Maoni/ Maswali/ Ushauri na tiba karibu.
WhatsApp na kawaida 0746748192