Dr.kapile na afya

Dr.kapile na afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr.kapile na afya, Medical and health, Dar es Salaam.

SULUHISHO LA TEZI DUME .BILA KUFANYIWA UPASUAJI KABISA .:0747113069KUTANUKA KWA TEZI DUMEKutanuka kwa tezi dume ni tatiz...
27/08/2022

SULUHISHO LA TEZI DUME .BILA KUFANYIWA UPASUAJI KABISA .:0747113069
KUTANUKA KWA TEZI DUME
Kutanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo husababishwa na Ugonjwa wa Saratani (Kansa). Huwa ni Jambo la kawaida kwa karibu kila mwanaume mzee, miaka inavyoenda ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo, mkojo kutoka polepole.
DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
1. Kukojoa mara nyingi nyakati za usiku 3-9
2. Kulazimika, Mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka.
3. Mkojo kutiririka polepole, hukatika katika na hutumia nguvu kubwa
4. Mkojo kushindwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa
5. Mkojo kuendelea kutoka kidogo kidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani kuloa.
6. Kibofu hakiishi mkojo
MATATIZO YALETWAYO NA TEZI DUME KUTANUKA
1. Mkojo kushindwa kutoka kabisa
2. Madhara kwenye kibofu cha mkojo na figo
3. Maambukizi ya mawe kwenye kibofu na figo.
MATIBABU
)tunayo package maalumu itakayokusaidia kuondoa Uvimbe bila kufanyiwa upasuaji. Katika package hii tutakupatia dawa ambayo itaenda kuondoa Uvimbe kabisa na kuimarisha Kinga yako ya mwili. Pia kukupa dawa ambayo itaenda kutibu tezi dume na kurejesha Afya ya tezi dume.

MAWASILINAO

Wasiliana nasi kwa simu namba 0747113069 tukuudumie. Popote ulipo tutakuhudumia.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.kapile na afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram