Afya na virutubisho

Afya na virutubisho *KARIBU USAIDIWE.* Changamoto za afya ya uzazi. Uzito /Unene. Urembo.nk, kwa kutumia virutubisho tiba visivyokuwa na kemikali, Kwa ushauri zaidi. Link.

Tuma neno AFYA YANGU. kupitia WatsApp. https://bit.ly/3zwf3tr. Wahi mapema usaidiwe mapema.. "MUHIMU.""Kumbuka, ili mifumo yote ya mwili ili ifanye kazi vizuri, inahitaji vitutubisho muhimu kama vile madini na vitamini mbalimbali , kila kimoja kikiwa na kazi yake katika mwili.Virubisho vya asili ni vizuri kwa afya ya binadamu kuliko vile vinavyotengenezwa kwa kemikali za viwandani, ambazo huleta madhara baadae kwa mtumiaji. Virutubisho vya asili wakati mwingine hufanya kazi taratibu ukilinganisha na kemikali za viwandani ,maana wakati mwingine vitahitajika kubadili mifumo ya mwili kama vile vimengenyo(Enzymes), homoni (Homones) nk. Mabadiliko tarajiwa yanategemewa ndani ya siku 30 za kwanza, baada ya mtu kuanza kutumia bidhaa za asili kulingana na tatizo la kiafya alilonalo mtumiaji.Mara nyingi, virutubisho vya asili huleta mabadiliko ya kudumu ukilinganisha na kemikali za viwandani.

***IMEWASAIDIA WENGI***๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ชMultimaca inatokana na  mmea unaoitwa Maca. Mmea huo unapatikana Nchini Peru.  mmea huo husagw...
19/08/2022

***IMEWASAIDIA WENGI***๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Multimaca inatokana na mmea unaoitwa Maca. Mmea huo unapatikana Nchini Peru. mmea huo husagwa na kuwa ungaunga. Kisha unga wake unasindikwa kiuasilia kabisa ili kuweka kwenye shepu ya vidongelishe. Multimaca Moja Ina vidonge Lishe 60. Na uwezo wake ni mkubwa sana katika kuimarisha afya ya uzazi/nguvu za kiume. Unaweza kuanza na hii kwanza wakati unaendelea kujipanga,
MADHARA..
Kadri unavyozidi kukaa na tatizo. Ndivyo tatizo linaongezeka na Tezi dume inaharibika. Wengi Tezi zao huaribika bila wenyewe kujua. Hatimae tatizo linakuwa kubwa sana kadri ya siku zinavyokwenda na tatizo linazidi kutawala na kuwa sugu!!. Then unajikuta unapoteza pesa nyingi sana apo baadae,,

SULUHISHO..

Karibu tukusaidie. Kabla ya tatizo halijazidi kuwa tatizo!! Anza leo na Multimaca au Naturemin. OFA bado ipo,

KWA MAELEZO ZAIDI..

Wasiliana nasi Kupitia +255 678049083:WhatsApp /Call๐Ÿ“ž or Sms
Karibu sana

Hakika tunakujali
08/08/2022

Hakika tunakujali

TANGAWIZI , ni nzuri kwa tumbo lako . Mzizi wa mmea wa tangawizi una misombo inayoitwa gingerols . Huzuia vipokezi kweny...
28/07/2022

TANGAWIZI , ni nzuri kwa tumbo lako . Mzizi wa mmea wa tangawizi una misombo inayoitwa gingerols . Huzuia vipokezi kwenye njia yako ya usagaji wa chakula vinavyosababisha kichefuchefu . Itumie kutibu ugonjwa wa masuala ya tumbo na baada ya upasuaji . Tangawizi huja katika aina nyingi , ikiwa imekauka , mbichi , iliyochujwa , ya unga au kusagwa .

KWANINI MWILI UNAHITAJI ZINKI NA JINSI YA KUPATA ZINKI NI IPI.?Ni madini ambayo seli zako zinahitaji kupigana na bakteri...
27/07/2022

KWANINI MWILI UNAHITAJI ZINKI NA JINSI YA KUPATA ZINKI NI IPI.?

Ni madini ambayo seli zako zinahitaji kupigana na bakteria na virusi na kutengeneza nyenzo za kijenetiki, zinazoitwa DNA, ambazo huambia mwili wako jinsi ya kufanya kazi inavyopaswa. Inakusaidia kuponya majeraha, husaidia hisi zako za kunusa na kuonja, na ni muhimu kwa watoto wachanga na watoto wanapokua.

KOROSHO
Vipi kuhusu vitafunio vyenye zinki?

,,KARIBU TUKUSAIDIE,, Tuma Neno AFYA kupitia +255 678049083 WatsApp/Call /Sms,,Wahi usaidiwe mapema.
25/07/2022

,,KARIBU TUKUSAIDIE,,
Tuma Neno AFYA kupitia +255 678049083 WatsApp/Call /Sms,,
Wahi usaidiwe mapema.

24/07/2022
*HABARI NDUGU WAPENDWA. Leo naomba niwatambulishe kirutubisho hiki muhimu kwa afya viungo na mifupa.Tumia kirutubisho hi...
10/07/2022

*HABARI NDUGU WAPENDWA.

Leo naomba niwatambulishe kirutubisho hiki muhimu kwa afya viungo na mifupa.
Tumia kirutubisho hiki leo naamini kitakwenda kukusaidia sana na utanishukuru baadae.
K**a wewe unasumbuliwa na changamoto mbalimbali za viungo basi hii maalum kwako, karibu sana tukusaidie.
Kwa mawasiliano zaidi piga sim no +255 67804 9083 au tuma neno "AFYA" kupitia WhatsApp/SMS, kwa namba iyo iyo, Karibu tukusaidie

**JE UMEATHIRIKA NA UPIGAJI PUNYETO WA MUDA MREFU NA UNAHITAJI SULUHISHO.??**Athari za kujichua mara nyingi hujitokeza k...
27/06/2022

**JE UMEATHIRIKA NA UPIGAJI PUNYETO WA MUDA MREFU NA UNAHITAJI SULUHISHO.??**

Athari za kujichua mara nyingi hujitokeza kwa hali ya kutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine. Kuna baadhi ya watu huweza kuanza kuona athari zake mapema zaidi na baadhi yao huchelewa.

Hivyo basi ni vyema kuondoa athari hizo mapema ili kuepuka madhara makubwa zaidi kwa baadae. K**a saratani ya tezi dume.

Zipo program bora na salama sana za kukusaidia kuwa na Afya njema na kuwa imara katika tendo.

SULUHISHO,,

Tuma Neno AFYA kupitia WatsApp /Call /Sms.
+255 678049083,, Karibu tukusaidie Ahsante.

"TUMIA KIRUTUBISHO HIKI LEOInafaida nyingi na ni muhimu katika kujenga afya ya mwili,Pata kirutubisho hiki leo kikusaidi...
19/06/2022

"TUMIA KIRUTUBISHO HIKI LEO

Inafaida nyingi na ni muhimu katika kujenga afya ya mwili,
Pata kirutubisho hiki leo kikusaidie. Ili kupata, Tuma neno AFYA kupitia WatsApp /Call /Sms. namba
+255 678049083 Karibu tukusaidie Ahsante

"๐Ÿ‘‰ SULUHISHO LA MATATIZO YA NGOZI.,"๐Ÿ‘‡Muhimu kwa wenye matatizo yote ya ngozi. Kuungua moto. Chunusi kubwa. Kuondoa muwas...
13/06/2022

"๐Ÿ‘‰ SULUHISHO LA MATATIZO YA NGOZI.,"๐Ÿ‘‡

Muhimu kwa wenye matatizo yote ya ngozi. Kuungua moto. Chunusi kubwa. Kuondoa muwasho na uvimbe. Makovu ya vidonda katika ngozi ya mwili

*. OKOA PESA ZAKO.*๐Ÿค”
Hautasumbuka tena kutafuta dawa za tatizo lako
Kwani kirutubisho hiki kinaenda kumaliza changamotoyako๐Ÿ‘

*. KUWA BEAUTIFUL ZAIDI. *๐Ÿค”

Ng'arisha ngozi yako kuwa soft. Bila ya chemical yeyote ile.,
"ILI KUPATA HUDUMA YETU"
Tuma Neno " AFYA" kupitia namba +255 678049083
WatsApp /Sms /au piga tukusaidie., Ahsante

'' JE.. " unajiisi vipi unapokosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Na kutomridhisha mwenza wako!!๐Ÿค”๐Ÿค” Bas k**a uliangaika sa...
02/06/2022

'' JE.. " unajiisi vipi unapokosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Na kutomridhisha mwenza wako!!๐Ÿค”๐Ÿค” Bas k**a uliangaika sana bila ya kupata suluhisho,, basi sema ''Ahsante mungu๐Ÿ™,, Tumia package hii leo ikupe nguvu na hamu ya kufanya tendo la ndoa.๐Ÿ‘๐Ÿ‘,, Tutafute kupitia.+255 678049083 WhatsApp/sms/ au piga simu "" Tukusaidie..

๐Ÿ‘"SAHAU KUUSU MAUMIVU YA VIUNGO.!!" -Afya ya viungo/matatizo ya viungo k**a kwa wanamichezo,watu wazito  ;hutunza/hurudi...
02/06/2022

๐Ÿ‘"SAHAU KUUSU MAUMIVU YA VIUNGO.!!"
-Afya ya viungo/matatizo ya viungo k**a kwa wanamichezo,watu wazito ;hutunza/hurudisha maji katika viungo(lublicating fluid) k**a magoti , kuondoa kuvimba na maumivu.๐Ÿค” Kwa nini uendelee kuteseka.!!?
Kwa maelezo Zaidi.. WatsApp no. +255678049083
Au piga simu tukusaidie Ahsante..

Address

Makumbusho Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na virutubisho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram