ACID Reflux solution.

ACID Reflux solution. Tunawasaidia wenye changamoto za ACID NYINGI TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) kupitia mimea tiba na LISHE

03/05/2026
NGIRI YA KIFUA (HIATAL HERNIA) NA ACID REFLUX.NGIRI YA KIFUA (HIATAL HERNIA) ni tatzo ambapo sehemu katika tumbo la chak...
02/05/2026

NGIRI YA KIFUA (HIATAL HERNIA) NA ACID REFLUX.

NGIRI YA KIFUA (HIATAL HERNIA) ni tatzo ambapo sehemu katika tumbo la chakula (Stomach) husukuma kiwambo (diagram) kupitia eneo lenye udhaifu/tundu (hiatus) kutokana na sababu mbalimbali.

Miongoni vya visababishi vikubwa vya mtu kupata ngiri ya KIFUA ni kuwa na ACID REFLUX kwasababu Acid Reflux husababisha kudhoofika kwa kuta za tumbo karibia na koo la Chakula hali inayoweza kupelekea kutokea kwa ngiri ya kifua.

Mgonjwa wa ACID REFLUX anapopata ngiri ya kifua,dalili za Acid reflux huongezeka mara dufu na kuwa mbaya zaidi.

Ngiri ya kifua ni katika madhara ya ACID REFLUX pia.

WAHI MATIBABU MAPEMA KABLA HALI HAIJAWA MBAYA ZAIDI.

PANDEX HERBAL CLINIC
0656 198 441
pandexclinic@gmail.com
DAR ES SALAAM, ILALA

02/05/2026

Pandex Herbal Clinic
0656 198 441
DSM, ILALA

0656 198 441
01/05/2026

0656 198 441

UNA DALILI ZIPI KATIKA DALILI HIZI(GERD):⤵️⤵️DALILI NA VIASHIRIA VYA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-...
03/10/2025

UNA DALILI ZIPI KATIKA DALILI HIZI(GERD):⤵️⤵️

DALILI NA VIASHIRIA VYA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux

⚫Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🔗 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🔗 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🔗 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🔗 Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🔗 Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🔗 Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🔗 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🔗 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🔗 Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🔗 Kupata kikokozi kisichoisha
11.🔗 Kuvimba Tonsils/mafidofido mara kwa mara.
12.🔗 Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🔗 Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🔗 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🔗Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🔗 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🔗 Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🔗 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🔗 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🔗 Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🔗 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🔗Kichefuchefu na kutapika.
23.🔗 Sehemu za mwili kuchezacheza mfano chini ya macho
24.🔗 Masikio kuunguruma/kupiga kelele/kuwa mazito
25.🔗 Mwili kuwasha na ngozi kufifia rangi yake.
26.🔗 Kuhisi ganzi hasa kwenye vidole vya miguu na mikono.
27.🔗 Kupata kwikwi mara kwa mara.
28.🔗 Presha kupanda (temporary hypertension)
29.🔗 Kucheua majimJi machachu yenye rangi ya njano au kijani
30.🔗 Kuhisi jamii imekutenga na kukata tamaa ya kuishi.
31.🔗 Kuhisi vitu vinatembea mwilini.
32.🔗 Kuhisi umerogwa hali inayopelekea wengi kukimbilia kwa waganga wa mizimu.

KWA MSAADA NA USHAURI, WASILIANA NASI:⤵️⤵️

__________________________________
PANDEX HERBAL CLINIC
+255 656 198 441
pandexclinic@gmail.com
DAR ES SALAAM.
ILALA-PANGANI & UTETE STREET.
__________________________________

Address

ILALA-PANGANI & UTETE ST.
Dar Es Salaam
1000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ACID Reflux solution. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to ACID Reflux solution.:

Share