fursa ya biashara

fursa ya biashara I Help you Change your Lifestyle|Connect to new People|Find Better Version of yourself |Meet Your Financial Goal|TRAVEL
THE WORLD

25/08/2025

Mwanamke mwenzangu,I’m not just here to inspire you Niko hapa kukuonyesha kwa vitendo jinsi ya kujenga biashara yenye msingi imara, hata k**a una kazi ya kuajiriwa au tayari unafanya biashara nyingine.✅ Nitakushika mkono✅ Nitakufundisha hatua kwa hatua✅ Nitakusaidia kufikia uhuru wa kifedha na afya bora kwa ukaribuK**a upo tayari kuinuka nitafute whatsap sasahivi 0746106632

Inawezekana ukaona hapo ndio maisha yako yalivyo ila nikuhakkikishie bado unaweza kubadilisha maisha yako.....hakuna mtu...
10/01/2025

Inawezekana ukaona hapo ndio maisha yako yalivyo ila nikuhakkikishie bado unaweza kubadilisha maisha yako.....hakuna mtu aliumbwa afanikiwd au asifanikiwd wewe ndo unaamua uweje maamuzi yako ya siku moja yanaweza kubadilisha maisha yako kabisaa
Project ya kumsaidia mwanamke imeweza kusaidia wanawaks wengi kubadilisha maisha yao na kuwasimamia kujenga biashara zao.....k**a huyu dada zawadi ameweza kurudisha maisha yake kwenye mstari hata wewe unaweza zaidi

Mungu amenipa kibali cha kusaidia wanawake kumiliki biashara zao na kubadilisha kipato chao.....nipo na team ya wanawake...
10/01/2025

Mungu amenipa kibali cha kusaidia wanawake kumiliki biashara zao na kubadilisha kipato chao.....nipo na team ya wanawake wengi ambao wameweza kubadilisha maishaa yao kabisaa...wanawake wsngi ambao wamekua. Sio. Tegemezi tena.....kuna wanawaks ambao wanawasomesha watoto wao shule nzuri sanaa🙏 MWAKA 2025 LENGO NI KUSAIDIA WANAWAKS WENGI KUJUA THAMANI YAO KWAMBA WANAWEZA KUMILIKI UCHUMI MKUBWA BILA KUMTEGEMEA MTU YEYOTE

Sifa mojawapo ya mwanamke ni kufanya kazi na kupambania maisha yake imagine hawa wamama wanamiaka 60 nakuendelea...ila w...
10/01/2025

Sifa mojawapo ya mwanamke ni kufanya kazi na kupambania maisha yake imagine hawa wamama wanamiaka 60 nakuendelea...ila wananguvu ya kutokutaka kupewa kila kitu na watoto......nipoo kujenga nao biashara afya zao zimekua imara (TUNA BIDHAA NZURI SANA ZA AFYA) Wanasafiri ndani na nje ya Tanzania wapo excited na wanamatumaini.....inawszekana kuna mwanamke hapa anamiaka 40 ameshakata tamaa ya maisha🙌 unanafasi kubwa ya kuanza tena na kujipambania

Kwenye kutafuta mafanikio kuanguka ni sehemu ambayo inakusaidia kujua ufanye nini sahihi... anaitwa Amina ni mama na wat...
10/01/2025

Kwenye kutafuta mafanikio kuanguka ni sehemu ambayo inakusaidia kujua ufanye nini sahihi... anaitwa Amina ni mama na watoto wawili Yupo TANGA alikua anafanya biashara ya kuuza iriki kutoka Tanga kuzileta KARIAKOO dar es salaam alikutana na hii biashara kipindi ambacho biashara yake imekwama wakati wa korona 2020 na alikua na madeni vikoba zaidi ya MILION 10
Kwenye kila changamotoo mungu anakupa na pakutokea....inawezekana kuna mwanamke hapa anapitia changamoto hajui afanyaje ndo akakutana na hii biashara

Huyu mama anaitwa MERCY ni mama ambaye alishafanya biashara nyingi alishakua na restaurant ya kuuzia chakula lakin ilifi...
10/01/2025

Huyu mama anaitwa MERCY ni mama ambaye alishafanya biashara nyingi alishakua na restaurant ya kuuzia chakula lakin ilifika wakati madeni yakamzidia kuliko faida anayopataalirusi nyuma kimaishaa baada ya kukutana na hii biashara akaanza upya....ndipo maisha yake yakaanza kubadilika......UZURI WA HII BIASHARA KUFANIKIWA NI LAZIMAA nimeona wanawake wengi ambao wameanzia chini na maishaa yao yameweza kubadilika kabisa

Wanawake wengi wamekuwa wakitamani kufanya biashara lakini hawajui wafanye biashara ganiWengi wanajaribu kufanya biashar...
10/01/2025

Wanawake wengi wamekuwa wakitamani kufanya biashara lakini hawajui wafanye biashara gani
Wengi wanajaribu kufanya biashara wanakwama wanaishia njiani
Wengine wanafanya biashara hawana watu wa kuwasimamia wanashindwa kujua namna sahihi ya kufanya?

Vitu vyakuzingatia kufanya biashara
1. Bidhaa unazohusiana nazo ziwe zinatumika na kuhitajika kwenye maisha kila siku
2.biashara yako iwe na uwezo wa kujiendesha yenyewe hata wakati unakua haupo kwa wakati huo
3.iwe na uhakika na faida unazipata muda wote yan isiwe biashara ambayo mwezi fulani inatokaa sana mwezi fulani inakataa
4.lakin pia zingatia kuwa na mtu wakukusimamia kufanya hiyo biashara unahitaji ambaye amekuzidi uelewa wa biashara hiyo

Waajiriwa wengi wanapata changamoto sana kwenye kufanya biashara sababu muda mwingi anatumia kazin kwenye biashara anamuweka mtu mwingine

Nipo na waajiriwa ambao wanafanya hii biashara serious bila kuathiri majukumu yao ya kazi

WASOMI WALIO VERY SERIOUS KUJENGA HII BIASHARABIASHARA HII INAKUPA FAIDA MBALIMBALI🔥Unachagua ufanye biashara na nini k*...
10/01/2025

WASOMI WALIO VERY SERIOUS KUJENGA HII BIASHARA

BIASHARA HII INAKUPA FAIDA MBALIMBALI
🔥Unachagua ufanye biashara na nini k**a inaamua udeal na bidhaa za afya,usafi, kilimo, bidhaa za ngozi au za kupunguza uzito unaenda kutengeneza pesa kwasababu

➡️Bidhaa zetu ni matumizi ya watu ya kila siku

Mama mwenye suti anadeal na bidhaa za usafi
Amejenga nyumba kupitia kuuza hizi bidhaa
🔥🔥🔥🔥

Mwenye gauni anauza bidhaa za afya ameweza kununua gari yake ya pili, anasesha watoto wake kupitia hii biashara

Matajiri wote duniani wanatengeneza pesa na sisi tuna njia tatu za kupata pesa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Project ya kumsaidia mwanamke kumili biasharaMwanamke anasaidiwa na mwanamkeHawa ni wanawake ambao wanshirikiana katika ...
09/01/2025

Project ya kumsaidia mwanamke kumili biashara
Mwanamke anasaidiwa na mwanamke
Hawa ni wanawake ambao wanshirikiana katika kujenga biashara zao
Wanapata nafasi ya kujifunza mbinu mbalimbali za kujenga biashara

Kila mmoja anabiashara yake lakin wanafanya biashara kwa pamoja
Mbali na kutengeneza pesa wanapata pia nafasi ya kusafiri sehemu tofauti tofauti pamoja
Na wewe ni mmoja wa wanawake ambao wanatamani kufanya biashara kwa kushirikiana na wanawake hawa
Unaweza kujifunza zaidi mawasiliano
Piga simu 0752541194

JE, wewe ni mwanamke unaetamani kubadilisha maisha yako 2025Wewe ni muajiriwa mshahara hautoshi Au mfanyabiashara faida ...
05/12/2024

JE, wewe ni mwanamke unaetamani kubadilisha maisha yako 2025
Wewe ni muajiriwa mshahara hautoshi
Au mfanyabiashara faida unayopata ndogo
Au mama wa nyumbani unajiuliza biashara ya kufanya?

Darasa la kufundisha wanawake biashara limefunguliwa rasmi huu mwezi
Tuna mikakati mikubwa ya kusaidia wanawake kubadilisha maisha yao kiuchumi

K**a unatamani kubadilisha maisha yako 2025
Tuma neno BIASHARA kwenda namba +255 755 914 252
Darasa ni bure kwa watu 50 wa mwanzo

Mafunzo Maalum ya Biashara kwa KWA WANACHUO NA WAHITIMU WA VYUOmama wa nyumbani, waalimu, wafanyabiashara waajiriwa, na ...
07/06/2024

Mafunzo Maalum ya Biashara kwa
KWA WANACHUO
NA WAHITIMU WA VYUO
mama wa nyumbani,
waalimu, wafanyabiashara
waajiriwa,
na wanawake wote kwa ujumla

Wasiliana nami Whatsapp: +255 752 541 194

Ninafundishaa biazhara kwa kukuonyesha ni jinsi unaweza kwenda kutengeneza pesa na kumiliki biashara yako kwa mtaji mdog...
29/03/2024

Ninafundishaa biazhara kwa kukuonyesha ni jinsi unaweza kwenda kutengeneza pesa na kumiliki biashara yako kwa mtaji mdogo kabisaa
Kwa waajiriwa wanachuo mama wa nyumbani graduate

Nahitaji watu 10 tu serious
Tuma neno BIASHARA kwenda namba 0752541194

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255752541194

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when fursa ya biashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram