
15/07/2025
🧠 Unajua tofauti ya maumivu ya muda mfupi vs muda mrefu?
Kuelewa hii tofauti ni hatua muhimu kuelekea kwenye matibabu sahihi.👇
🔹 Maumivu ya Muda Mfupi (Acute Pain)
✅ Hutokea ghafla
✅ Hujieleza vizuri (kwa mfano: jeraha, kuungua)
✅ Hutoweka baada ya muda mfupi
🔸 Maumivu ya Muda Mrefu (Chronic Pain)
❌ Huchukua muda mrefu (miezi 3 au zaidi)
❌ Huathiri maisha ya kila siku
❌ Huhitaji matibabu endelevu (usipopata Tiba sahihi) na uangalizi maalum
📌 Usipuuze maumivu yanayodumu muda mrefu. Tafuta msaada wa kitaalamu mapema.
👨⚕️ Dr. Sam
+255782714546