Afya yako na madam rose

Afya yako na madam rose UTI SUGU, PID, FANGASI AINA ZOTE, PRESHA
VIDONDA VYA TUMBO, BAWASIRI, TEZ DUME
HENIA, KISUKALI,

Magonjwa ya iniKuna aina mbalimbali za magonjwa ya ini (magonjwa ya ini) na hali. Ugonjwa huo unaweza kukimbia katika fa...
11/05/2023

Magonjwa ya ini
Kuna aina mbalimbali za magonjwa ya ini (magonjwa ya ini) na hali. Ugonjwa huo unaweza kukimbia katika familia (maumbile). Sababu nyingi zinazosababisha shida ya ini, ni k**a ifuatavyo.

Virusi, k**a vile Homa ya ini A, hepatitis B, hepatitis C na hepatitis E
Unywaji pombe kupita kiasi na Madawa ya kulevya
Uzito, Ulafi Ugonjwa wa kisukari mellitus,Ugonjwa wa hyperlipidemia (Magonjwa ya ini ya mafuta)
Magonjwa ya maumbile, k**a vile ugonjwa wa Wilson na hemochromatosis.
Ikiwa haijatibiwa, yote hapo juu yanaweza kusababisha Cirrhosis ya ini na HCC, kwa hivyo matibabu ya mapema yanaweza kuzuia ukali wa hali hiyo.

Ini iko upande wa kulia wa tumbo chini ya mbavu. Ini ni muhimu kwa usagaji chakula na kuondoa sumu mwilini kutokana na sumu hatari. Kiungo hutenganisha virutubishi vinaposonga kwenye mfumo wa usagaji chakula. Pia hutoa nyongo, majimaji ambayo husaidia katika usagaji chakula na kuondoa sumu mwilini.

kwa ushauri na huduma ya haraka nicheki whtp 0692 863501

SABABU YA UGONJWA HUU AU MAAMBUKIZI YA UGONJWA HUUUgonjwa huu wa Ascariasis hauambukizwi kati ya mtu na mtu. Badala yake...
11/05/2023

SABABU YA UGONJWA HUU AU MAAMBUKIZI YA UGONJWA HUU
Ugonjwa huu wa Ascariasis hauambukizwi kati ya mtu na mtu. Badala yake ugonjwa huu huenea kupitia mgusano na udongo au maji ambao umechanganyikana na kinyesi cha mwanadamu kilichokuwa na minyoo.

VISABABISHI
* Umri. Mara nyingi umri wa miaka 10 au chini ya hapo wapo hatarini kupata ugonjwa huu wa minyoo kwasababu wengi wao wanacheza katika mazingira machafu
* Katika hali ya hewa ya joto. Tafiti zimeonesha kuwa katika mazingira ya joto ugonjwa huu wa minyoo huenea zaidi na kuathiri kundi kubwa la watoto
* Mazingira machafu. Ascariasis huenea kupitia kinyesi hasa udongo uliochanganyika na kinyesi au maji yaliyochanganyika na kinyesi

MADHARA YA UGONJWA HUU
Mara nyingi minyoo michache tumboni haina athari zozote. Lakini k**a una minyoo mingi tumboni upo katika hatari kubwa ya kuathirika k**a ifuatavyo:
* Ukuaji duni. Kukosa hamu ya chakula na ufyonzaji hafifu wa chakula inawaweka watoto wengi katika kukosa virutubishi muhimu
* Kufunga na kutoboka kwa utumbo.

kwa Ushauri na huduma ya haraka piga simu ama nicheki whtp 0692 863501

*MADHARA YA KUTOONDOA SUMU KATIKA MWILI**(DETOXIFICATION PROGRAM)* Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi le...
27/04/2023

*MADHARA YA KUTOONDOA SUMU KATIKA MWILI*
*(DETOXIFICATION PROGRAM)*

Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao. Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi.

*VYANZO VYA SUMU*
Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;
1. Matumizi ya dawa mara kwa mara
2. Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara
3. Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia
4. Ukosekanaji wa lishe sahihi na diet nzuri
5.Matumizi ya madawa makali
6.Uzito mkubwa
7.Mitindo ya maisha
8.Njia za uzazi wa mpango za kisasa

*DALILI ZA KUWA SUMU NYINGI MWILINI*
1.Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi,vipele
2.kuwa na uzito wa kupindukia
3.kutokupata choo au choo kigumu
4.kukosa usingizi Na kujihis kuchokachoka
5.Kiichwa kuuma
6.Kupata miwasho
7.Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti
8.kuwa na hasira mara kwa mara.
9.Tumbo kujaa gesi



*MADHARA YAKE*
1.kuondoa hamu ya tendo la ndoa
2.maumbikizi ya figo
3.Maumbikizi ya Ini
4.Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
5.hupelekea uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke
6.Hupelekea matatizo ya pressure
7.Mvurugiko wa homoni

*SULUHISHO LA KUDUMU*

Kwa watu wenye changamoto hizo kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba.
Faida ya Kutumia kinywaji hiki;

• Huondoa sumu na uchafu katika Mwili .

•Huongeza Kinga ya Mwili kwa asilimia kubwa sana

•Husaidia kubalance presha

•Husaidia kubalance kiwango cha sukari katika Mwili.

•Hudhibiti virusi Na bacteria

•Huondoa uvimbe wa ndani Na nje.

•Husaidia katika kurekebisha mfumo wa mmengenyo wa Chakula.

•Husaidia katika kuondoa matatizo ya upataji choo kigumu au mtu anayekosa choo.

•Husaidia katika kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu na upumuaji katika Mwili.

• Husaidia katika kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke pale atakapoitumia na Bidhaa zetu nyingine.

• Husaidia kuongeza virutubisho na kuupa Mwili afya na kulainisha Ngozi na kuifanya Ngozi kuwa ng'avu na laini.

•Huondoa uchovu Na kuupa nguvu mwili

Kwa ushauri na huduma ya haraka piga simu ama nicheki whtp 0692 863501

26/04/2023

*Kuna Baadhi ya Wanaume Wanakuwa Na Hamu Kali ,Mwili Unachemka Mashine inasimama Kiasi Kwamba Anajiambia Kuwa Anaenda Kufanya Maangamizi Lakini Akifika Kwa Mwanamke Ni sekunde Chache tu Anamaliza Na Zile Hamu Zinapotea Mashine Inalala !!!*

*MASWALI YA KUJIULIZA*
*1 .Je umekuwa ukipitia hii hali?*
*2 .Je ushawai jiuliza Hilo tatzo lako linasababishwa na Nini*
*3 .kwanini likutokee wewe ...?*

*MAJIBU KWA UFUPI*
*Changamoto za nguvu za kiume zimegawanyika ktk aina kuu tatu japo watu wengi wanafaham kuwa lipo Moja na Hilo ndo tatzo linapo anzia na ndomaana unapewa dawa unatumia lakini tatzo haliishi .....je ungependa kujifunza zaidi bila MALIPO yoyote njoo Whatsapp*.
0692 863501

*K**a ndio karibu tukupe ushauri na suluhisho*

*SULUHISHO LA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME* *Nguvu za kiume ni nini..?* *✅Ni muunganiko wa vitu vingi saana ndan...
26/04/2023

*SULUHISHO LA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*

*Nguvu za kiume ni nini..?*
*✅Ni muunganiko wa vitu vingi saana ndani yake,ikiwa ni pamoja na kupoteza hamu ya mapenzi , kusimama kwa uume barabara na kuchelewa kufika kileleni ilikufurahia tendo landoa ,kupoteza wepesi na uchangamfu wa mwili wakati wa tendo la ndoa.*

*VISABABISHI VYA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
*1.magonjwa K**a kisukari na pressure.*
*2.punyeto(masturbation)*
*3.uvutaji wa sigara*
*4.unywaji wa pombe*
*5.madawa ya kulevya*
*6.kufanya kazi kupitakiasi*
*7.msongo wa mawazo*
*8.kutokunywa maji ya kutosha*
*9.kutokufanya mazoezi*
*10.kukosa mumda wa kupumzika*

*DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
*1.Uume kuwahi kulegea*
*2.Kuwahi kufika kileleni mapema baada ya* *kugusa mlangoni mwa uke*
*3.mwili kuchoka Sana baada ya tendo la ndoa huambatana na usingizi mzito*
*4.Kuhisi maumivu makali kwenye korodani baada ya tendo la ndoa.*
*5.kutokuwa na hisia za kimapenzi na mwenzi wako*

*MADHARA YA TOKANAYO NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*

*1.kuogopa kufanya tendo la ndoa na mwenzi wako kwa kuogopa kuaibika*
*2.msongo wa mawazo*
*3.Kuugua Tezidume*
*4.kutokuwa na amani katika Maisha yako yakimahusiano*

*Kwa msaada zaidi
*Ilikuepukana na Tatizo hili ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi nikuondoa chanzo ambapo chanzo chake ni cell au chembe hai za mfumo wa uzazi kushindwa kufanyakaziKwa walio athilika na ambao bado Wanatakiwa kutumia virutubisho sahihi*
*Tiba ni bora kuliko kinga*

*Kwa walio nachangamoto na unahitaji TIBA sahihi unaweza Wasiliana nasi kwa kupiga SIMU kawaida ama Whatsapp*
*0692 863501

Sababu ya kuota vipele sehemu ya nje ya ukeKuota kwa vipele sehemu ya nje ya uke kunaweza kuwa kutokana na sababu mbalim...
25/04/2023

Sababu ya kuota vipele sehemu ya nje ya uke

Kuota kwa vipele sehemu ya nje ya uke kunaweza kuwa kutokana na sababu mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya sababu za kawaida za kuota vipele sehemu ya nje ya uke:

Maambukizi ya kuvu (fungal infections): Maambukizi ya kuvu, k**a vile ugonjwa wa kuvu wa uke (vaginal candidiasis), yanaweza kusababisha vipele sehemu ya nje ya uke. Kuvu ni aina ya fangasi ambayo hutokea kawaida katika eneo la uke, lakini inaweza kuzidisha na kusababisha dalili k**a vile vipele, kuvimba, na kuhara.

Maambukizi ya bakteria (bacterial infections): Maambukizi ya bakteria, k**a vile vaginitis ya bakteria (bacterial vaginosis), yanaweza pia kusababisha vipele sehemu ya nje ya uke. Maambukizi ya bakteria hutokea wakati usawa wa bakteria wa kawaida katika uke unavurugika na kusababisha dalili k**a vile vipele, harufu mbaya, na kutokwa ukeni.

Herpes ya uke (ge***al herpes): Herpes ya uke ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na virusi vya herpes simplex. Dalili zake ni pamoja na vipele vidogo vyekundu au vyekundu vyenye maji ambavyo vinaweza kuota sehemu ya nje ya uke na kusababisha maumivu na kuchoma.

Allergic reaction (athari za mzio): Athari za mzio kwa sababu ya kutumia sabuni, lotions, au bidhaa nyingine za urembo katika eneo la uke zinaweza kusababisha vipele na kuvimba.

Matatizo ya ngozi: Matatizo ya ngozi, k**a vile dermatitis au eczema, yanaweza pia kusababisha vipele sehemu ya nje ya uke. Matatizo haya ya ngozi yanaweza kusababisha ngozi kuwa kavu, kuvimba, na kuota vipele.

Ni muhimu kukumbuka kuwa kwa sababu ya uke kuwa sehemu nyeti na yenye hisia nyingi

Kwa ushauri na huduma ya haraka piga simu ama nicheki whtp 0692 863501

*UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO*👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.👉Uume kusima...
20/04/2023

*UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO*

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujauzito

Kwa ushauri na huduma ya haraka piga simu ama nicheki whtp 0692 863501

PUNYETONi hali ya kujitomasa tomasa sehemu za siri  na kujisisimua hadi kufika kileleni na kuhisi raha k**a uko na mwana...
15/04/2023

PUNYETO
Ni hali ya kujitomasa tomasa sehemu za siri na kujisisimua hadi kufika kileleni na kuhisi raha k**a uko na mwanamke
*Bahati mbaya madhara ya punyeto hayaonekani kwa haraka

Madhara
*Kutanua misuli ya uume na kufanya uume kushindwa kusimama na kufanya kazi yake sawa sawa
*Hali hii ya misuli kuregea inapozidi hufanya mwanaume kushindwa kurudia tendo la ndoa ama kushindwa kabisa kushiliki tendo la ndoa na kusababisha damu kutokupita sawa sawa katika milija ya dawa kwenye uume

Na misuli inapozidi zaidi kutanuka, hufanya kusinyaa kwa uume na kuwa na maumbile madogo yaani {kibamia}

Hupelekea kupata mashambuliza ya haraka zaidi Katika kibofu cha mkoja,Na kuwa na UTI inayojirudia mara kwa mara
Na ni rahisi zaidi kuugua tezi dume

Haijalishi punyeto k**a ulifanyaga zamani na hukupata tiba sahihi ya kuimalisha misuli yako,
Bado tatizo hilo litakusumbua hata k**a uliacha kwa muda mrefu

Kwa ushauri na huduma ya haraka piga simu /sms/whtp 0692 863501PUNYETO
Ni hali ya kujitomasa tomasa sehemu za siri na kujisisimua hadi kufika kileleni na kuhisi raha k**a uko na mwanamke
*Bahati mbaya madhara ya punyeto hayaonekani kwa haraka

Madhara
*Kutanua misuli ya uume na kufanya uume kushindwa kusimama na kufanya kazi yake sawa sawa
*Hali hii ya misuli kuregea inapozidi hufanya mwanaume kushindwa kurudia tendo la ndoa ama kushindwa kabisa kushiliki tendo la ndoa na kusababisha damu kutokupita sawa sawa katika milija ya dawa kwenye uume

Na misuli inapozidi zaidi kutanuka, hufanya kusinyaa kwa uume na kuwa na maumbile madogo yaani {kibamia}

Hupelekea kupata mashambuliza ya haraka zaidi Katika kibofu cha mkoja,Na kuwa na UTI inayojirudia mara kwa mara
Na ni rahisi zaidi kuugua tezi dume

Haijalishi punyeto k**a ulifanyaga zamani na hukupata tiba sahihi ya kuimalisha misuli yako,
Bado tatizo hilo litakusumbua hata k**a uliacha kwa muda mrefu

Kwa ushauri na huduma ya haraka piga simu /sms/whtp 0692 863501

*VIASHIRIA VYA KUTOKWA NA UCHAFU*▪︎Maambukizi  katika via vya uzazi (PID)▪︎FANGASI sugu ukeni ▪︎UTI sugu ▪︎Uchafu wakati...
14/04/2023

*VIASHIRIA VYA KUTOKWA NA UCHAFU*
▪︎Maambukizi katika via vya uzazi (PID)
▪︎FANGASI sugu ukeni
▪︎UTI sugu
▪︎Uchafu wakati wa Hedhi

*MADHARA YA TATIZO HILI*
▪︎Kutoshika ujauzito
▪︎Harufu mbaya ukeni
▪︎Ukavu ukeni
▪︎ Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
▪︎Kuziba mirija ya uzazi
▪︎uvimbe kwenye kizazi

Pindi unapopata dalili ya kutokwa na uchafu ukeni kuwa makini sana na inatakiwa uchukue hatua za haraka sana ili kuzuia hatari ya madhara yake

Karibu kwa tiba na ushauri zaidi
Piga simu/sms/whpt 0692 863501

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255692863501

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako na madam rose posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram