Alhas Polyclinic Tz

  • Home
  • Alhas Polyclinic Tz

Alhas Polyclinic Tz Health Solution, Specialist Doctor’s, Consultation Services, Reproductive and Child Health (RCH)

18/08/2025

Kutoka idara ya Maabara Alhas polyclinic
Fahamu kuhusu rangi ya mkojo na maana yake katika afya ya mwili wa mwanadamu

14/08/2025

Kwa huduma bora ya kinywa na meno karibu sana ALHAS POLYCLINIC . Huduma zitolewazo ni pamoja na;
-Ushauri
-Matibabu ya meno kwa watoto
-Upasuaji mkubwa na mdogo
-Kung'oa meno
-Kuziba meno yaliyotoboka
-Kung'arisha na kusafisha meno
-Kuweka urembo
-Kupanga meno
-Kuondoa harufu mbaya
-Matibabu ya fidhi
-Kuweka meno bandia.

karibu sana ALHAS POLYCLINIC kwa huduma bora na za kisasa za kinywa na meno.

WEKA MIHADI SASA KUPITIA
0756610726
0656880818

12/08/2025

Kutoka idara ya Waganga na wauguzi elimu kwa njia ya uhuishaji...fahamu aina za makundi ya damu na kundi Gani la damu linaweza kuchangia ama kupokea katika kundi lingine

Karibu Alhas polyclinic kwa huduma Bora za afya
Karibu ukutane na madaktari wazoefu na madaktari bingwa kuhusu Elimu ya afya na matibabu

Wasiliana nasi kupitia
0756 610 726
0656 880 818

Uongozi na wafanyakazi wa ALHAS POLYCLINIC Tunakutakia wewe na familia yako Heri ya maadhimisho ya  siku kuu ya wakulima...
08/08/2025

Uongozi na wafanyakazi wa ALHAS POLYCLINIC Tunakutakia wewe na familia yako Heri ya maadhimisho ya siku kuu ya wakulima(Nane nane)

Tunapenda kuwataarifu kuwa huduma katika kituo chetu zinaendelea k**a kawaida na wagonjwa wetu wa kliniki za Madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake, mfumo wa mkojo, watoto na moyo, macho na meno pia zinaendelea.
Asanteni na mapumziko mema

wasiliana nasi kwa namba
0756 610 726
0656 880 818

13/06/2025

FAHAMU KUHUSU HOMA YA DENGUE
Homa ya dengue husababishwa na mojawapo ya virusi vinne vinavyohusiana kwa karibu (DEN-1, DEN-2, DEN-3, na DEN-4) ambavyo hujirudia baada ya kuingia kwenye mkondo wa damu. Kiumbe hiki cha microscopic hudhoofisha mfumo wa kinga, na kusababisha hisia ya ugonjwa.
Katika homa kali ya dengu au hemorrhagic, virusi huambukiza sahani (seli zinazounda damu na kutoa muundo wa mishipa ya damu), na kusababisha damu ya ndani. Kwa kuwa hakuna sahani za kutosha kuzuia uvujaji wa ndani wa damu, hii inaweza kusababisha mshtuko, kushindwa kwa chombo, na hata kifo.

Dalili za homa ya dengue
Ni 80% tu ya visa vya homa ya dengue ndio dalili. Asilimia 20 iliyobaki haonyeshi dalili au dalili za ugonjwa huo. Dalili zinapotokea, hutokea na magonjwa mengine k**a mafua. Dalili kawaida huanza siku nne hadi kumi baada ya kuumwa na mbu aliyeambukizwa. Mgonjwa anaweza kupata dalili zifuatazo:
• Homa kali(104 F)
• Kuumwa kichwa
• Maumivu ya misuli, mifupa au viungo
• Kutapika
• Maumivu nyuma ya macho
• Vipu vya kuvimba
• Kichefuchefu
• Upele
Kawaida, watu walio na kinga thabiti hupona ndani ya wiki moja au siku 10, lakini kwa watu walio na mfumo dhaifu wa kinga, dalili huzidi na zinaweza kuwa mbaya. Hii inaweza kusababisha dengu kali, homa ya dengu ya kuvuja damu, au ugonjwa wa mshtuko wa dengu.
Dalili kawaida huanza siku moja au mbili baada ya homa kupungua na zinaweza kujumuisha:
• Kutokwa na damu kwenye ufizi au pua
• Damu kwenye mkojo, kinyesi au matapishi
• Kutokwa na damu chini ya ngozi ambayo inaweza kuonekana k**a michubuko
• Maumivu makali ya tumbo
• Kutapika
• Upungufu wa maji mwilini
• Uvivu au kuchanganyikiwa
• Mipaka ya baridi au ya clammy
• Kupunguza Uzito Haraka
• Kutotulia
• Uchovu
Ikiwa mtu atagundua dalili zozote zilizotajwa hapo juu, inashauriwa kutafuta matibabu mara moja kabla hajachelewa.
KWA USHAURI NA MATIBABU KARIBU ALHAS PLYCLINIC UKUTANE NA MADAKTARI WETU BINGWA NA WABOBEZI.
WASILIANA NASI KUPITIA
0756 610 726
0656 880 818

Uongozi na wafanyakazi wa ALHAS POLYCLINIC unakutakia wewe na familia yako EID AL- ADHATunapenda kuwataarifu kuwa huduma...
06/06/2025

Uongozi na wafanyakazi wa ALHAS POLYCLINIC unakutakia wewe na familia yako EID AL- ADHA

Tunapenda kuwataarifu kuwa huduma katika kituo chetu zinaendelea K**a kawaida na wagonjwa wetu wa kliniki za Madaktar bingwa wa magonjwa ya wanawake,mfumo wa mkojo,watoto na moyo,Macho na meno pia wanaendelea.EID MUBARAK

Asanteni sana,Unaweza wasiliana nasi kwa namba

0756 610 726
0656 880 818

aktari bingwa wa  magonjwa ya wanawake kutoka hospitali ya taifa muhimbili (GYNECOLOGIST) , Atakuwepo leo  kituoni kwetu...
26/05/2025

aktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kutoka hospitali ya taifa muhimbili (GYNECOLOGIST) , Atakuwepo leo kituoni kwetu kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 1 usiku

pia kukiwa na dharura na ukihitaji kuonana nae kwa special appointment anapatikana siku yoyote katika week usisite kupiga simu
kwa magonjwa sugu ya kina mama ,pamoja na afya ya uzazi
karibu Alhas polyclinic kwa huduma bora na za kisasa weka mihadi sasa kupitia

0756 610 726
0656 880 818

25/05/2025

Kutoka wizara ya afya ,Ujumbe kwa jamii kuhusu Magonjwa Yanayoenezwa na Mbu k**a vile Malaria na Homa ya Dengue.Tafadhari uonapo dalili za homa fika kituoni ukutane na madaktari na waatalam wetu wa maabara kwaajili ya vipimo ,upate ushauri na tiba sahihi

Daktari bingwa wa  magonjwa ya wanawake kutoka hospitali ya taifa muhimbili (GYNECOLOGIST) , Atakuwepo leo  kituoni kwet...
19/05/2025

Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kutoka hospitali ya taifa muhimbili (GYNECOLOGIST) , Atakuwepo leo kituoni kwetu kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 1 usiku

pia kukiwa na dharura na ukihitaji kuonana nae kwa special appointment anapatikana siku yoyote katika week usisite kupiga simu
kwa magonjwa sugu ya kina mama ,pamoja na afya ya uzazi
karibu Alhas polyclinic kwa huduma bora na za kisasa weka mihadi sasa kupitia

0756 610 726
0656 880 818

Alhas polyclinic tunatoa huduma ya kuwasiliana na madaktari wetu,(online services)tunatoa huduma hii bure, popote ulipo,...
15/05/2025

Alhas polyclinic tunatoa huduma ya kuwasiliana na madaktari wetu,(online services)tunatoa huduma hii bure, popote ulipo,muda wowote unaweza ukahudumiwa na daktari umtakaye ,zungumza na Daktari upate kuweka mihadi yako ya matibabu kutoka kwa madaktari bingwa na wabobezi katika huduma ya afya
Wasiliana nasi kupitia namba
0756610726
0656880818

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alhas Polyclinic Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Alhas Polyclinic Tz:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram