Dr. Essau xavier

Dr. Essau xavier TUNATATOA USHAURI KWA WENYE TATIZO LA KIAFYA KUPATA UFUMBUZI HARAKAI

NANI anapenda kuwa mgonjwa? Hakuna anayependa, kwa kuwa ugonjwa ni kikwazo na ni chanzo cha gharama. Unapokuwa mgonjwa, ...
08/03/2026

NANI anapenda kuwa mgonjwa?

Hakuna anayependa, kwa kuwa ugonjwa ni kikwazo na ni chanzo cha gharama.

Unapokuwa mgonjwa, huhisi tu vibaya bali pia huenda ukashindwa kwenda kazini au shuleni, kutafuta pesa, au kuitunza familia yako.

Huenda hata ukahitaji mtu fulani akutunze, na huenda ukahitaji kulipia gharama za dawa na matibabu.

Kuna msemo usemao “Kinga ni bora kuliko tiba.”

Baadhi ya magonjwa hayaepukiki.

Hata hivyo, bado kuna mambo mengi unayoweza kufanya ili kupunguza au hata kuzuia kuanza kwa ugonjwa.

Fikiria mambo matano unayoweza kufanya ili kuwa na afya bora

1 DUMISHA USAFI

njia moja bora zaidi ya kujikinga na ugonjwa na kuepuka kueneza ugonjwa” ni kunawa mikono. Ni rahisi kupata homa au mafua k**a utagusa pua au macho yako huku mikono yako ikiwa na viini. Njia bora ya kujilinda na maambukizi ni kunawa mikono yako kwa ukawaida. Kudumisha usafi kunaweza pia kuepusha kuenea kwa magonjwa hatari k**a vile, nimonia na magonjwa ya kuharisha, ambayo kila mwaka husababisha vifo vya watoto zaidi ya milioni mbili, walio chini ya umri wa miaka mitano.

Hata kuenea kwa ugonjwa hatari wa Homa ya ini, kunaweza kupunguzwa kwa kuwa na kawaida ya kunawa mikono.

2 TUMIA MAJI SAFI

3 KULA CHAKULA KINACHOFAA

4 FANYA MAZOEZI

BILA kujali umri wako, unahitaji kufanya mazoezi kwa ukawaida ili uwe na afya nzuri. Watu wengi leo hawafanyi mazoezi ya kutosha. Kwa nini ni muhimu kufanya mazoezi? Kwa sababu kufanya mazoezi kunaweza kukusaidia:

Kulala vizuri.

Kuweza kutembea kwa wepesi.

Kuwa na mifupa na misuli yenye nguvu.

Kudumisha au kuwa na uzito wa mwili unaofaa kiafya.

Kupunguza hatari ya kuwa na ugonjwa wa kushuka moyo.

Kupunguza hatari ya kufa mapema.

Ikiwa haufanyi mazoezi, huenda ukapatwa na:

Ugonjwa wa moyo.

Ugonjwa wa kisukari aina ya 2.

Kupatwa na shinikizo la damu.

Mwili kuwa na kiwango cha juu cha kolesteroli.

Kupatwa na kiharusi

5 LALA VYA KUTOSHA

KIASI kinachohitajika cha usingizi kinatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine. Watoto wengi wachanga hulala saa 16 hadi 18 kwa siku, watoto kuanzia umri wa mwaka mmoja hadi mitatu hulala saa 14 na wale wenye umri wa miaka mitatu hadi minne hulala saa 11 au 12 hivi. Watoto walio na umri wa ku

06/03/2026



01/03/2026
28/02/2026

NAMNA U.T.I INAVYOUA WATU KIMYAKIMYA KWA KUHARIBU MFUMO WA DAMU

27/02/2026

PRESHA NA KISUKARI SI MAGONJWA YA WAZEE PEKEE YAO

27/02/2026

SI WAZEE PEKEE, BLI HATA VIJANA KUUGUA KISUKARI NA PRESHA



26/02/2026

Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara ni taarifa ya mchafuko wa damu na mfumo wa faham kwa ujumla

UGONJWA WA KUKOJOA DAMU (HAEMATURIA)Ugonjwa wa kukojoa damu ambapo kwenye mkojo kunakuwa na chembechembe za damu nyekund...
12/02/2026

UGONJWA WA KUKOJOA DAMU (HAEMATURIA)

Ugonjwa wa kukojoa damu ambapo kwenye mkojo kunakuwa na chembechembe za damu nyekundu (red blood cells), kitaalam huitwa haematuria.

✍🏻Kukojoa damu ni dalili ya kuonesha kuwa mtu huyo anayekojoa damu ana magonjwa katika mfumo wake wa mkojo k**a vile magonjwa ya kichocho au magonjwa mengine yanayoshambulia kibofu cha mkojo au kwenye figo, jambo ambalo ni hatari kwa anayeugua.

SABABU ZA UGONJWA HUU

▶U.T.I
▶Magonjwa ya zinaa hasa kwa wanawake
▶Vijidudu k**a staphylococcus saprophyticus
▶Mawe kwenye figo (kidney stone)
▶Kuvimba kwa tezi zinazozalisha manii kwa wanaume.
▶Kupata ajali na kuumia sehemu za mfumo wa mkojo (trauma)
▶Kupata magonjwa ya kansa ya kibofu cha mkojo.
▶Mtu kuugua magonjwa ya upungufu wa damu mwilini maarufu k**a sickle cell, anemia na magonjwa ya figo k**a vile nephotic syndrome

kwa kufuatilia ukurasa wetu wa Afya, share ujumbe huu uwafikie watu wengi.

I Mshauri Tiba +255655432791

Piga Simu au tuma sms

“JIFUNZE na Chukua Hatua Juu Ya Afya Yako”.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 18:30
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 10:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Essau xavier posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr. Essau xavier:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram