
12/08/2021
PUNGUZA UZITO NA KITAMBI NA PROGRAM YA C9 👇👇👇👇
Ni program ya siku 9 yenye virutubisho vya aina ( 5 ) ALOE VERA GEL, GARCINIA, VANILLA, FOREVER THERM NA FIBER.
Hii program inakupatia Vitamin A, B,C,D & E, Madini ya Calcium, Zinc, Iron, Copper, Magnesium, Sodium & Potassium na Protein ya kutosha.
FAIDA YA KUTUMIA C9
1. Husaidia kupunguza Sumu na Mafuta Mabaya mwilini.
2. Huboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, Misuli na Mifupa.
3. Hurekebisha joto la mwili, husaidia kukaza Misuli pamoja na Ngozi unapoanza kupungua ngozi isijikunje na Kutepeta.
4.Husaidia kuupa mwili Nguvu na Stamina pia kudhibiti hamu ya Kula hovyo hovyo.
5. Unauweka mwili kuwa mwepesi, kutochoka choka na muonekano mzuri.
Utaelekezwa na kuongozwa namna ya kutumia hii program, aina ya mazoezi na vyakula vya kula wakati wa program.
Ushauri na maelezo zaidi gusa link hapa chini njoo WhatsApp inbox.
https://wa.me/+255692410689?text=Naomba%20maelezo%20kuhusu%20C9%2B%20na%20matumizi