rejesha_furaha_yako_tz

rejesha_furaha_yako_tz Nawasaidia wanao sumbuliwa na Vidonda vya tumbo na bawasiri kupona kwa kutumia tiba asilia zisizo na mazara yoyote bawasiri,vidondavyatumbo,tumbokujaagesi

Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha uume kulegea. Hapa kuna baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia tatizo hili:1. *...
24/04/2024

Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha uume kulegea. Hapa kuna baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia tatizo hili:

1. **Msongo wa Mawazo na Msongo wa Kihisia**: Wasiwasi, wasiwasi, au msongo wa mawazo unaweza kusababisha matatizo ya nguvu za kiume.

2. **Shinikizo la Damu**: K**a nilivyotaja awali, shinikizo la damu linaweza kusababisha uharibifu wa mishipa ya damu na kuzuia mtiririko wa damu kwenye uume.

3. **Magonjwa ya Kimwili**: Magonjwa k**a kisukari, magonjwa ya moyo, ugonjwa wa ini, au ugonjwa wa figo yanaweza kuchangia matatizo ya nguvu za kiume.

4. **Matumizi ya Dawa**: Baadhi ya dawa k**a antidepressants, dawa za shinikizo la damu, na dawa zingine zinaweza kuathiri uwezo wa uume kusimama vizuri.

5. **Mabadiliko ya Homoni**: Mabadiliko katika viwango vya homoni, k**a vile testosterone, yanaweza kusababisha tatizo la nguvu za kiume.

6. **Mazoezi Hafifu**: Uzee au ukosefu wa mazoezi yanaweza kusababisha kupungua kwa nguvu za kiume.

7. **Matumizi ya Pombe na Madawa ya Kulevya**: Matumizi ya pombe kwa wingi au madawa ya kulevya kunaweza kusababisha matatizo ya nguvu za kiume.

8. **Makosa ya Kihisia au Kisaikolojia**: Hali k**a kutojiamini, wasiwasi wa kihisia, au masuala ya kihusiano yanaweza kusababisha tatizo la nguvu za kiume.

K**a una wasiwasi wowote kuhusu tatizo la nguvu za kiume, ni muhimu kuzungumza na daktari wako. Daktari ataweza kukusaidia kutambua chanzo cha tatizo lako na kutoa msaada wa matibabu unaofaa.

USISAHU KUFOLLOW NA KULIKE
Kwa ushauri na tiba
Whatsapp au Piga 0743 705 846
:
:
;

X Power CoffeeBoresha tendo la ndoa kwa kutumia Xpower man Caspules na Xpower coffee bila kukuachia madhara yoyote kiafy...
23/04/2024

X Power Coffee

Boresha tendo la ndoa kwa kutumia Xpower man Caspules na Xpower coffee bila kukuachia madhara yoyote kiafya maana ni za asili hizi kutoka kwenye mitishamba na virutubisho vya matunda mchanganyiko.

FAIDA ZA X POWER COFFEE (KAHAWA) KWA MWANAUME

•>>Huongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume

• >>Hufungua mishipa midogo ya kwenye uume hivyo humfanya mwanaume kukaa muda mrefu kwenye tendo na kumridhisha mwenza wake

•>>Huondoa uchovu, maumivu ya mgongo, msongowa mawazo na humfanya mwanaume awe katika ubora wa hali ya juu wakati wa tendo la ndoa

• >>Huongeza uwezo wa uzalishwaji wa shahawa na huongeza mbegu za kiume na uwezo wa mbegu kuishi muda mrefu
:
:
:

Afya ya uzazi kwa mwanaume ni muhimu kwa afya yake yote kwa ujumla. Mambo muhimu ni pamoja na lishe bora, mazoezi, kuepu...
23/04/2024

Afya ya uzazi kwa mwanaume ni muhimu kwa afya yake yote kwa ujumla. Mambo muhimu ni pamoja na lishe bora, mazoezi, kuepuka uvutaji sigara na unywaji pombe kupita kiasi, na kupunguza msongo wa mawazo. Vizuri kufanya uchunguzi wa mara kwa mara ili kugundua mapema matatizo yoyote ya uzazi au magonjwa mengine.

MWANAUME MWISHO WA KUAIBIKA NI SASA PATA KWA PUNGUZO BADALA YA 100,000/= UNAPATA KWA 65,999/= TU , OFFER NI YA SIKU 5 TU...
22/04/2024

MWANAUME MWISHO WA KUAIBIKA NI SASA

PATA KWA PUNGUZO BADALA YA 100,000/= UNAPATA KWA 65,999/= TU , OFFER NI YA SIKU 5 TU KUTOKA LEO

Hii Ni Kahawa Iliiyotengenezwa Kwa Mchanganyiko Wa Vitu Vinne Yaani;

1. Fresh maca
2. Ginseng powder
3. Tongkat ali
4. Epimedium

Viambata hivi vimetoka nchi za
KOREA, CHINA, USA, INDIA, PERU.

FAIDA ZA KUTUMIA XPOWER COFFEE

✍️Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

✍️Kuupa mwili Nguvu zaidi

✍️Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

✍️Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

✍️Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

✍️Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari

✍️Kusafisha mishipa ya damu

HII KAHAWA NI YA ASILI NA NI SALAMA 100%
TUMIA KWA SIKU 8 MPAKA 16 TU

Kwa Ushauri na matibabu
Mawasiliano 0743705846

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846Whatsapp gusa Link pale juu kwenye BioUSISAHAU Kufollow,lik...
06/04/2022

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio

USISAHAU
Kufollow,like post hii,share na comment

:

DALILI ZA BAWASIRI>>Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa>>kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia>>kutoke...
22/03/2022

DALILI ZA BAWASIRI

>>Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
>>kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
>>kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
>>kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
>>kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI

>>kupata upungufu wa damu (anemia)
>>Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
>>hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
>>kuathirika kisaikolojia
>>kukosa moral ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali

MATIBABU YA TATIZO LA BAWASIRI

Matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia Virutubisho vya NOVEL DEPAL litaondoa tatizo Hilo bila kufanyiwa upasuaji.

JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI

Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia kula mbogamboga za majani, matunda, na nafaka zisizokobolewa, kunywa maji mengi angalau grass 6/12 kwa siku epuka kukaa chooni kwa muda mrefu

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio

USISAHAU
Kufollow,like post hii,share na comment

:
__

AINA ZA BAWASIRIKuna Aina mbili za bawasiri1) BAWASIRI YA NDANIAina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kub...
21/03/2022

AINA ZA BAWASIRI
Kuna Aina mbili za bawasiri

1) BAWASIRI YA NDANI
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili. Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa

Aina hii imegawanyika katika madaraja manne

i. DARAJA LA KWANZA
Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahal pale panapohusika

ii. DARAJA LA PILI
Hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyew ndani baada ya kujisaidia

iii. DARAJA LA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye
mwenywe

iv. DARAJA LA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na sababishi nyingi na huwa ngumu kurudi

2) BAWASIRI YA NNJE
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS

SABABU ZINAZOPELEKEA KUWA NA BAWASIRI
Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni k**a vifuatavyo

>>Kufanya mapenzi kinyume na maumbile
>>Kuharisha kwa muda mrefu
>>Tatizo la kutopata choo
>>Matatizo ya umri
>>Kukaa kitako kwa muda mrefu
>>Uzito kupita kiasi
>>Matumizi ya vyoo vya kukaa kwa muda mrefu

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio

USISAHAU
Kufollow,like post hii,share na comment

:
__

Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu ya kuelezea na kushindwa hata kwenda hospi...
21/03/2022

Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu ya kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba.

Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja
damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.

Ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika k**a piles, tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika
hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30-50.

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio

USISAHAU
Kufollow,like post hii,share na comment

:
:___

VISABABISHI/ SABABU ZA KUKOSA / KUPATA CHOO KIGUMU Kuna wakati unakaa zaida ya Massa 12 bila kupata choo kikubwa na huji...
24/01/2022

VISABABISHI/ SABABU ZA KUKOSA / KUPATA CHOO KIGUMU Kuna wakati unakaa zaida ya Massa 12 bila kupata choo kikubwa na hujiulizi kwanini? huku ukipata maumivu makali wakati wa kujisaidia? Kwa kiasi kikubwa Constipation husababishwa na mkusanyiko wa sababu ambazo ni pamoja na lishe yako, kiasi gani mwili wako unaushugulisha, na na jinsi unavocontrol stress/msongo wa mawazo. Sababu kubwa kabisa ikiwa ni ulaji wa vyakula vyenye kiwango kidogo sana cha kambakamba/fibers na matumizi kidogo ya maji .
👉 SOMA SABABU ZAKE HAPA
1: Afya/ Lishe mbovu ya chakula.
2: Msongo wa mawazo:
👉 Asilimia kubwa ya watu watu wanaopata msongo mkubwa wa mawazo huharibu mpangilio wa homone zao pamoja na kuathiri uzalishaji wa visambaza taarifa kwenye mwili na hivo kusababisha shida kwenye misuli, kupata /mpambano ndani ya mwili (inflammation) nakuathiri ufanyaji kazi wa enyzmes ambazo husaidia kumeng’enya chakula.
3: Uvivu/Kutoshughulisha mwili:
👉Kwa kiasi kikubwa sana mazoezi yanasaidia kuimarisha mzunguko wa damu kwenye mfumo wa chakula na kuimarisha misuli na hivo kurahisisha utolewaji wa kinyesi. Utafiti unasema watu wanaotumia mda mwingi wakiwa wamekaa hasa maofsini wanaongoza kwa kuapata matatizo ya kukosa choo kwa mda mrefu. 4: Matumizi ya baadhi ya vidonge:
👉 baadhi ya vidonge husababisha kukosa choo kwa muda mrefu na kupata choo kigumu, mfano dawa za kupunguza maumivu, dawa za kuconrtol stress, dawa za kulevya, virutubisho vya calcium na magnesium na antiacids. Ukuaji wa bacteria wabaya kwenye mfumo wa chakula

VISABABISHI/ SABABU ZA KUKOSA / KUPATA CHOO KIGUMU Kuna wakati unakaa zaida ya Massa 12 bila kupata choo kikubwa na huji...
15/12/2021

VISABABISHI/ SABABU ZA KUKOSA / KUPATA CHOO KIGUMU Kuna wakati unakaa zaida ya Massa 12 bila kupata choo kikubwa na hujiulizi kwanini? huku ukipata maumivu makali wakati wa kujisaidia? Kwa kiasi kikubwa Constipation husababishwa na mkusanyiko wa sababu ambazo ni pamoja na lishe yako, kiasi gani mwili wako unaushugulisha, na na jinsi unavocontrol stress/msongo wa mawazo. Sababu kubwa kabisa ikiwa ni ulaji wa vyakula vyenye kiwango kidogo sana cha kambakamba/fibers na matumizi kidogo ya maji .
👉 SOMA SABABU ZAKE HAPA
1: Afya/ Lishe mbovu ya chakula.
2: Msongo wa mawazo: 👉 Asilimia kubwa ya watu watu wanaopata msongo mkubwa wa mawazo huharibu mpangilio wa homone zao pamoja na kuathiri uzalishaji wa visambaza taarifa kwenye mwili na hivo kusababisha shida kwenye misuli, kupata /mpambano ndani ya mwili (inflammation) nakuathiri ufanyaji kazi wa enyzmes ambazo husaidia kumeng’enya chakula. 3: Uvivu/Kutoshughulisha mwili: 👉Kwa kiasi kikubwa sana mazoezi yanasaidia kuimarisha mzunguko wa damu kwenye mfumo wa chakula na kuimarisha misuli na hivo kurahisisha utolewaji wa kinyesi. Utafiti unasema watu wanaotumia mda mwingi wakiwa wamekaa hasa maofsini wanaongoza kwa kuapata matatizo ya kukosa choo kwa mda mrefu. 4: Matumizi ya baadhi ya vidonge: 👉 baadhi ya vidonge husababisha kukosa choo kwa muda mrefu na kupata choo kigumu, mfano dawa za kupunguza maumivu, dawa za kuconrtol stress, dawa za kulevya, virutubisho vya calcium na magnesium na antiacids. Ukuaji wa bacteria wabaya kwenye mfumo wa chakula: bacteria wazuri/normal

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linal...
15/12/2021

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito

👉CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;
>>Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
>>Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
>>Kuwa na mawazo mengi
>>Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
>>Kunywa pombe na vinywaji vikali
>>Uvutaji wa sigara
>>Kuto kula mlo kwa mpangilio

👉DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo vidonda vya tumbo vinadalili k**a
>> Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
>>Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
>>Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
>>Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
>>Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
>>Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
>>Kushindwa kupumua vizuri

👉JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO
>>Kunywa maji mengi
>>Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo
>>Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
>>Usivute sigara
>>Punguza au acha kunywa pombe
>>Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
>>Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

👉TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa Karibu tukuhudumie kwa kutumia virutubisho lishe vitakavyoenda kumaliza tatizo lako.

BAWASIRI ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospi...
15/12/2021

BAWASIRI ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

👉VISABABISHI VYA UGONJWA WA BAWASIRI. Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakija patikana ila kuna vitu ambavyo huwa upelekea kupata ugonjwa uwo ambavyo ni;
_Kufanya mapenzi kinyume na maumbile
_Kuarisha kwa muda mrefu
_Matatizo ya Umri
_Kukaa kitako kwa muda mrefu
_Uzito kupita kiasi
_Matumizi ya Vyoo vya kukaa kwa Muda mrefu

👉DALILI ZA BAWASIRI
_Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
_Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
_Kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu la haja kubwa
_Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya Sana.

👉MADHARA (ATHARI) YA BAWASIRI
_Kupata Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
_Kukosa morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu makali Sana
_Hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
_Kuathirika kisaikolojia na kupata tatizo la kuto weza kuhimili choo

👉JINSI YA KUZUIA BAWASIRI
_Kula mboga za majani na matunda na nafaka zisizokobolewa kwa wingi
_Kunywa maji mengi zisizo pungua lita mbili kwa siku na punguza kukaa kwa muda mrefu chooni bila kutoa choo

👉KWA MATIBABU YA BAWASIRI
_Pona Bila upasuaji kwa sababu wengi waliofanyiwa upasuaji ugonjwa umejirudia tena. Sasa unaweza pona bawasiri Bila upasuaji tumekuandalia tiba lishe asilia katika dozi inayotibu aina yoyote ya bawasiri Bila upasuaji. Unaweza pata tiba iyo ukiwa mkoa wowote hapa nchini

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio.

USISAHAU
like post hii,share na ifollow
:
:
:
:
:

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when rejesha_furaha_yako_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to rejesha_furaha_yako_tz:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram