Afya solutions

Afya solutions Tunatoa ushauri juu ya afya kwa ujumla kwa mawasiliano zaidi bonya WhatsApp link kupata msaada zaidi

☆Doc_J☆📞 0687620094 *Njia Rahisi Ya Kutokomeza Maumivu Ya Mifupa, mwili kupooza,  miguu kufa ganzi Na Maungio bila upasu...
01/07/2022

☆Doc_J☆
📞 0687620094
*Njia Rahisi Ya Kutokomeza Maumivu Ya Mifupa, mwili kupooza, miguu kufa ganzi Na Maungio bila upasuaji ni ku massage tu na healing oil*

Hakuna kitu kinakera kwa waliowengi k**a kupatwa na maumivu ya mifupa na maungio…

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu.

Mbaya Zaidi limewaondolea watu ule uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi.

Cha kusikitisha zaidi endapo tatizo hili usipolitibu mapema linaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a na wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari Nzuri kwako.

Nimekuandalia *healing* *oil* Tiba Maalum yakuondoa maumivu kwenye maungio ya mwili wako na kukuondolea kadhia yakuwa tegemezi uzeeni itakayokuwezesha kutatua changamoto yako pasipo upasuji.
Ukiwa ni mmoja wa wahanga wa changamoto hii naomba uje in-box kwa kutumia namba
📞 0687620094

Hello Viungo ni sehemu muhimu katika mwili
01/07/2022

Hello

Viungo ni sehemu muhimu katika mwili

Je umuhimu wa viungo unaujua vina Kaz nyingi sana ikiwemo kusaidia movement za miili yetu inasaidia kutengeneza balance ...
26/06/2022

Je umuhimu wa viungo unaujua vina Kaz nyingi sana ikiwemo kusaidia movement za miili yetu inasaidia kutengeneza balance ya miili yetu

Katika group hili tutakuwa tunatoa ushauri juu ya viungo vyakula vinavyotakiwa Kuliwa na namna gani mbili wako uufanyie mazoez yakutosha

Kwa mawasiliano zaidi 0687620094

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram