MAry na Uzazi

MAry na Uzazi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MAry na Uzazi, Medical and health, Dar es Salaam.

Heri ya mwaka mpyaaa wadau wangu wa  πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸŽ‡πŸŽ‡πŸŽ‡βœ¨βœ¨
31/12/2023

Heri ya mwaka mpyaaa wadau wangu wa πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸŽŠπŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸŽ‡πŸŽ‡πŸŽ‡βœ¨βœ¨

AHSANTE SANA MUNGU KWA KUNIPA KIBALI CHA KUGUSA MAISHA YA WATU β€β€πŸ’πŸ’πŸ₯°πŸ₯°NAWAPENDA MNOOO WADAU WANGU WA  USIKUBALI KUFUNGUA ...
31/12/2023

AHSANTE SANA MUNGU KWA KUNIPA KIBALI CHA KUGUSA MAISHA YA WATU β€β€πŸ’πŸ’πŸ₯°πŸ₯°
NAWAPENDA MNOOO WADAU WANGU WA
USIKUBALI KUFUNGUA MWAKA UKIWA BADO NA TATIZO LILE LILE.......AMINI TU KWAMBA MUNGU WETU NI MWAMINIFU NA TAKUTENDEA TU πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
2024 UKAWE NI MWAKA WA MAJIBU YAKO

Unaweza Kujiuliza Imekuwaje? Imewezekanaje? Lakini Huyu Ndio Mungu Ashangazaye! πŸ™Œ Wakati Ukifika, Umefika!
31/12/2023

Unaweza Kujiuliza Imekuwaje? Imewezekanaje? Lakini Huyu Ndio Mungu Ashangazaye! πŸ™Œ Wakati Ukifika, Umefika!

Baadhi ya wanawake imekuwa ni vigumu kutambua siku ambazo  zinaweza kuongeza uwezekano wa kushika Mimba  hasa wale wenye...
31/12/2023

Baadhi ya wanawake imekuwa ni vigumu kutambua siku ambazo zinaweza kuongeza uwezekano wa kushika Mimba hasa wale wenye mzunguko wako siku28 au chini ya hapo
Mzunguko wa hedhi tunaanza kuhesabu siku ya kwanza kabisa ambayo unaanza kutoa damu ya hedhi
Siku unayoanza kuona bleed tunaipa namba moja
Kuanzia hapo ili kujua ni siku zpi za hatari
Kuna watu wanajitahd kushiriki tendo la ndoa wakijua wapo kwenye kutafuta mtoto,
Kumbe wanashiriki siku ambazo si za uzazi, unatakiwa utambue kuhesabu
Kuna baadhi ya viashiria unavyoweza kuviona na kutambua kwamba upo kwenye siku za uzazi (1)UTE
ute mwepesi sehem yako ya uke(ovulation)
na hamu ya tendo la ndoa kuongezeka
Pia unaweza ukapata viashiria na usipate mimba
πŸ“ž/WhatsApp
#0784884306

Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichocheo katika mwili wa mwanamke.DALILI- Ukavu u...
31/12/2023

Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichocheo katika mwili wa mwanamke.

DALILI
- Ukavu ukeni
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
- Uchovu wa mara kwa mara
- Hasira za mara kwa mara
- Kukosa usingizi
- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
- (Allergie), kuchagua chagua vyakula
- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
- Maumivu ya viungo
- Upungufu wa nywele kichwani.
- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
- Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
- Kusinyaa na kupauka kwa
ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
- Maumivu ya kichwa mara kwa mara
- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
- Kutokupata choo kwa wakati

MADHARA

Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi k**a yafuatayo:
-Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
-Mimba kuharibika mara kwa mara
-Kukosa mtoto au Ugumba
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
-Kuzeeka mapema
-Kuziba kwa mirija ya uzazi
-Uvimbe (Fibroids and Cysts

πŸ“ž/WhatsApp
#0784884306

OFA maalum kuelekea msimu wa  MWAKA MPYA  ❀️ nataka kusaidia wanawake 10 TU watakao pata punguzo la 50% hii haijirudii w...
28/12/2023

OFA maalum kuelekea msimu wa MWAKA MPYA ❀️

nataka kusaidia wanawake 10 TU watakao pata punguzo la 50% hii haijirudii watu 10TU
wahi
πŸ“žpiga 0784 884306 tuma neno TIBA kwenda whatsApp 0784 884306
ukiona haujajibiwa kwa wakati piga simu moja kwa moja
πŸ“Œkumbuka madhara ya PID
➑️ugumba
➑️kansa ya shingo ya kizazi
➑️uvimbe
➑️ovarian cyst
➑️homone imbalance

wahi ofa yako piga simu moja kwa moja punguzo 50%
πŸ“žπŸ“ž0784 884306
πŸ“žπŸ“ž0784 884306

Posted  β€’  OFA maalum kuelekea MWAKA MPYA  ❀️ nataka kusaidia wanawake 10 TU watakao pata punguzo la 50% hii haijirudii ...
28/12/2023

Posted β€’ OFA maalum kuelekea MWAKA MPYA ❀️

nataka kusaidia wanawake 10 TU watakao pata punguzo la 50% hii haijirudii watu 10TU
wahi
πŸ“žpiga 0784 884306 neno TIBA kwenda whatsApp 0784 884306
ukiona haujajibiwa kwa wakati piga simu moja kwa moja
πŸ“Œkumbuka madhara ya PID
➑️ugumba
➑️kansa ya shingo ya kizazi
➑️uvimbe
➑️ovarian cyst
➑️homone Imbalance

wahi ofa yako piga simu moja kwa moja punguzo 50%
πŸ“žπŸ“ž0784 884306
πŸ“žπŸ“ž0784 884306

Hongera sana kipenz changu baada ya kuteseka kwa muda mrefu zaid ya miaka 4 hatimae leo umebeba uzao wako katika tumbo l...
28/12/2023

Hongera sana kipenz changu baada ya kuteseka kwa muda mrefu zaid ya miaka 4 hatimae leo umebeba uzao wako katika tumbo lako ni jambo la baraka sana πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹familia yetu ya inazid kuongezeka jmn suluhisho lipo haijalishi UMETESEKA KWA MUDA GANI
Tupigie 0784 884306

 tunathamini afya yako
28/12/2023

tunathamini afya yako

Furaha ya ndoa ni watoto Hapo anatoka babe gel mwenye rangi fulani hivi amazing πŸ˜‹πŸ˜‹β€β€β€
28/12/2023

Furaha ya ndoa ni watoto
Hapo anatoka babe gel mwenye rangi fulani hivi amazing πŸ˜‹πŸ˜‹β€β€β€

Mimba sio ugonjwa endapo utatumia tu  parckage yang ya wahawazito 😘😘
28/12/2023

Mimba sio ugonjwa endapo utatumia tu parckage yang ya wahawazito 😘😘

K**a wewe ni mjamzito timia salmon oil kwa afya yako, na ya mtoto akiwa tumboni kwani;Kwa mama 🌱Utakuwa na ngozi nzuri a...
28/12/2023

K**a wewe ni mjamzito timia salmon oil kwa afya yako, na ya mtoto akiwa tumboni kwani;
Kwa mama
🌱Utakuwa na ngozi nzuri angavu
🌱Kuondoa uchovu
🌱 Miguu kuvimba
Kwa mtoto alieko tumboni
🌱Kuzuia magonjwa ya kurithi

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255629706312

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAry na Uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to MAry na Uzazi:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram