
19/10/2022
MAUMIVU YA TUMBO NA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa binadamu, ambapo kuta za mfumo wa uchakataji wa chakula huchubuka. Ni vidonda vinavyopatikana ndani ya mfumo wa tumbo. Ugonjwa huu huathiri zaidi watu wazima na kwa kiasi kidogo sana kwa watoto wadogo.
VIASHIRIA vya kuwa kuna tatizo la vidonda ndani ya tumbo ni; Kuwa na maumivu makali hasa baada ya kula, Kuumwa tumbo baada ya kula vyakula k**a dagaa, maharage na pilipili, Kuumwa mgongo au kiuno, Kiungulia, Tumbo kujaa gesi, Tumbo kuwaka moto, Kukosa choo au kupata choo kwa shida, Kutapika nyongo, kichefuchefu na Kushindwa kupumua vizuri
Na Vidonda vya tumbo huweza kuwa;
-Ndani ya mfuko wa tumbo kuu la kuhifadhi chakula na vikiwa huko hufahamika k**a Gastric Ulcers
-Sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba na huitwa Duodenal Ulcers
-Sehemu ya mwisho/chini ya koromeo la chakula na huitwa Esophageal Ulcers
Vidonda vya tumbo husababishwa na; Tindikali (Acid) inayopatikana ndani ya tumbo, Kutokula chakula kwa wakati unaostahili, Msongo mkali wa mawazo, Kula vyakula vyenye tindikali (acid) nyingi mara kwa mara, Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori) bacteria hawa huanza kushambulia baada ya kuta za tumbo kuchubuliwa na acid, Uvutaji wa sigara na matumizi ya vilevi vikali.
Tatizo la vidonda vya tumbo lisipotibiwa hupelekea; Kupata haja kubwa iliyochanganyika na damu, Kuchoka bila sababu maalumu, Kupungua kwa nguvu za kiu-me, Kizunguzungu, Sehemu za mwili kupata ganzi,, Kusahausahau na hasira bila sababu, pia Kukosa hamu ya kula. Vikishamiri sana huweza kusababisha tatizo la bawasiri au mgoro kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa isipotibiwa inaweza kuwa na athari zaidi.
SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL ya mimea inayotibu changamoto ya vidonda vya tumbo kwa kuponyesha michubuko kwenye kuta za tumbo na kuondoa bacteria wanaochagiza tatizo la vidonda vya tumbo. Na dawa hii haina madhara hasi kwa mtumiaji.
DR KESSY 0762099754/0654278696