05/10/2020
Wengine wanasema k**a hudaiwi huna akili, (ni msemo tuu)
kwa wastaafu madeni hayafai yanafupisha maisha,
punguza matumizi yasiyo ya lazima.
Ni wakati wa kuhakikisha unafanya matumizi ya lazima zaidi.
Ridhika na ulivyo navyo.
Pangia matumizi ya pesa kwa vipaumbele usitake au asifanye kila kilicho mbele yako
Mithali 22:7 Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
Usijiweke utumwani epuka madeni, k**a unayo yamalize mapema
Jinyime kiasi ili ulipe uwe huru