ommiefitness.tz

ommiefitness.tz Tunasaidia watu kupunguza uzito na kusafisha mwili kwa kutumia lishe na virutubisho lishe visivyo

Utanashati unaongezeka zaidi unapokuwa na mwili mzuri
06/02/2023

Utanashati unaongezeka zaidi unapokuwa na mwili mzuri

Obesity ama uzito uliokithiri ni changamoto ya kiafya ambayo hujitengeneza kwa muda mrefu na hii hutokana na lifestyle a...
06/02/2023

Obesity ama uzito uliokithiri ni changamoto ya kiafya ambayo hujitengeneza kwa muda mrefu na hii hutokana na lifestyle ama mitindo ya maisha tunayo iishi

Je utajuaje k**a uzito ulionao ni mkubwa

Uzito mkubwa au usiokupasa kuwa nao hupimwa kwa njia ya BMI index ambayo huonesha uwiano wa urefi ulionao pamoja na uzito na kukujulisha k**a wewe uko underweight, normal weight, overweight au obese

Kipimo kingine ni upana ama saize ya tumbo lako
Kwa mwanaume haikupasi kuzidi inch35 na kwa mwanamke inch 32 juu ya hapo hiini kiashiria ya kuwa kuna changamoto na inahitaji utatuzi mapema iwezekanavyo

Je wewe ni muathirika wa uzito uliokithiri na unahangaika kila kukicha kutafuta suluhisho la changamoto yako basi wasiliana nasi kupata muongozo sahihi na salama walishe na virutubisho ambavyo vitakusaidia kurekebisha uzito ulionao

Piga au tuma neno uzito kwenda Whatsapp namba 0678404516

Obesity na overweight ni changamoto ambayo huondoa kundi kubwa la watu kwa huu ndio mlango mkubwa wa changamoto nyingi z...
26/01/2023

Obesity na overweight ni changamoto ambayo huondoa kundi kubwa la watu kwa huu ndio mlango mkubwa wa changamoto nyingi za kiafya

Je ukiwa na unene uliokithiri unajiweka katika hatari yaa Maradhi gani
1️⃣Maradhi ya moyo yaani cardiovascular disease
2️⃣ Kisukari
3️⃣Ukosefu wa nguvu za kiume
4️⃣Maumivu katika maungio na nyonga
5️⃣Ugumba na utasa

Je wewe tayari ni muathirika wa changamoto hii na umetafuta suluhisho bila kukoma basi wasiliana nasi kupitia namba
0678404516

19/01/2023

Mabadiliko yanawezekana endapo tu ukiamua kubadilika

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255678404516

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ommiefitness.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram