Beatrice afya care

Beatrice afya care Ijali,itunze afya yako Kwa kizazi chako Cha baadee

Hatua 6 za Kujikinga dhidi ya Harufu Mbaya Ukeni.1.Vaa nguo za ndani za pamba, zisizobana sana.Nguo zilizoabana zinazuia...
19/12/2022

Hatua 6 za Kujikinga dhidi ya Harufu Mbaya Ukeni.

1.Vaa nguo za ndani za pamba, zisizobana sana.

Nguo zilizoabana zinazuia kupita kwahewa safi kuelekea ukeni na hivo kusababisha unyevunyevu ambao ni mbolea kwa bacteria na fangasi wanaoleta harufu mbaya kwenye uke. Hakikisha unabadilisha chupi kila baada ya masaa 12 inasaidia kuzuia kukua kwa bacteria wabaya.

2.Badili Nguzo zako Kila Baada ya Kufanya Mazoezi.

Nguo zenye unyevu ni mbolea nzuri kwa ukuaji wa bacteria hivo hakikisha unavaa nguo zilizokauka na kubadilisha kila baada ya kutoka mazoezini.

3.Punguza uzito k**a inawezekana
Uzito mkubwa na kitambi vinakufanya utokwe na jasho kwa wingi zaidi hasa kwenye uke.

Na k**a tulivojifunza pale juu, jasho na unyevunyevu inaleta fangasi na bacteria wabaya. Chagua kula lishe nzuri na kufanya mazoezi ili kurekebisha mwili wako. Unaweza kutuma kifurushi chetu cha weight loss package ili upunguze uzito wako vizuri pasipo kujinyima kula.

4.Epuka Kuflash Uke Kila Mara (Douching).

Kusafisha uke kila mara hasa kwa kutumia kemikali na sabuni inaharibu mazingira ya bacteria wazuri. Bakteria hwa ni walinzi, na hivo kuacha nafasi kwa uke kushambuliwa na bacteria wabaya pamoja na fangasi wa candida.

5.Epuka Kutumia Spray na Marashi Ukeni.

Ukweli ni kwamba ngozi ya uke ni laini sana kwa hiyo inanyonya kwa urahisi kemikali zilizopo kwenye spray kuingia kwenye damu. Usiingie kwenye mtego huu, kumbuka miili yetu imeumbwa kujisafisha yenyewe, Pale unapoongeza kitu cha ziada basi unaharibu normal flora na kuharibu kinga ya mwili.

6.Epuka Baadhi ya Vyakula Ambavyo ni Adui wa afya yako.

Kuna aina nyingi ya vyakula ambavyo vianweza kukuathiri wewe k**a mwanamke kwenye swala la uzazi. Vyakula hivi vinaharibu mazingira ya uke, kuua bacteria wazuri na kubadili PH. Vyakula vyenye sukari, Pombe, ngano na vyakula vilivyosindikwa huchochea ukuaji wa fangasi wa Candida.

K**a umesumbuliwa/una ndugu yako anaesumbuliwa na tatizo la harufu mbaya ukeni nmekuandalia makala fupi itakayokuelekeza namna ya kuondokana nachangamoto hiyo.

Hiyo makala nitakutumia kwenye Whatsapp yako....unachotakiwa kufanya chukua namba hii0626925538............... Save kwa jina la ... Beatrice afya care .......alafu nitumie meseji MAKALA kupitia Whatsapp namimi nitakutumia makala hiyo.

Au piga namba 0626925538.........

Njia Rahisi Ya Kutokomeza Harufu Mbaya Ukeni Ndani Ya Kipindi Kifupi.Hakuna kitu kinakera kwa wanawake k**a kutokwa na h...
18/12/2022

Njia Rahisi Ya Kutokomeza Harufu Mbaya Ukeni Ndani Ya Kipindi Kifupi.

Hakuna kitu kinakera kwa wanawake k**a kutokwa na harufu Mbaya ukeni

Tatizo hili limewafanya wanawake wengi kushindwa hata kujumuika na wenzao kwenye masherehe, harusini na hata misibani.

Mbaya Zaidi limewaondolea hari ya kujiamini kwa wenzao na kujiona k**a ni wanawake wasiokamilika.

Cha kusikitisha zaidi endapo tatizo hili litaambatana na uchafu kutoka ukeni, wengi wanashindwa kufurahia tendo la ndoa na hata kuhatarisha usalama wa mahusiano yao.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suruhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba ya antibiotics hospitalini inayoua hata bakteria walinzi wanaolinda uke na ndomana baada ya Muda mfupi tatizo hujirudia tena.

K**a na wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo

Basi Nina habari Nzuri kwako.

Nimekuandalia Makala Maalum itakayokuonyesha njia rahisi na salama hatua kwa hatua jinsi ya kutokomeza tatizo hili kwa kipindi kifupi tu, hata k**a ushahangaika kwa muda mrefu bila mafanikio.

Na hii Makala Nitakutumia kwenye WhatsApp yako.

Ili kupata Makala hii Sasahivi kwa urahisi save hii namba0626925538 ..........(Madam BEATRICE.....) kwenye simu yako kisha tuma ujumbe WhatsApp (Makala) na utatumiwa Makala yote Bila gharama yeyote.

P.S Tangazo hili halitokuwepo hewani Muda wote, Ili upate njia rahisi na salama ya kutokomeza tatizo la harufu ukeni Sasahivi Save namba hii 0626925538......... (MadameBEATRICE ....) kwenye simu yako Kisha tuma ujumbe WhatsApp (Makala) na utatumiwa video mala moja.!


Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255626925538

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Beatrice afya care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Beatrice afya care:

Share