Mwanaume na uzazi

Mwanaume na uzazi Mwanaume kamili ni yule anaefika fainali na mwenza wake usisubiri kuchekwa amka leo Uwe Baba rijali

NILIKUWA NAITWA MWANAMKE 😭😭Namshukuru Sana   men Health Huyu ni mshauri wa afya ya uzazi kwa WanaumeNakumbuka nili Athir...
16/03/2024

NILIKUWA NAITWA MWANAMKE 😭😭

Namshukuru Sana men Health Huyu ni mshauri wa afya ya uzazi kwa Wanaume

Nakumbuka nili Athirika na kujichua (punyeto ) tangu nikiwa Secondary lakini Baada ya kumuelezea Changamoto ya NGUVU ZA KIUME ambayo ilikuwa inanisumbua alinipa Ushauri niliufuata na Nimepona kabisa

Sina Haja ya kutumia vidonge wala kupaka mkongo Kwa Sasa Nina Furaha na Mwenza Wangu Hakuwahi Kunidharau tena

Kabla sijapata tiba alikuwa akinikejeli sana na Wakati Mwingine kuniita mwanamke kwa Maana tukilala sina Maajabu Hivyo alikuwa akisema analala na Mwanamke mwenzake iliniuma sana 😭😭

Kuna wakati Hata nikikaa na Marafiki wakikaa wakiongelea kuhusu habari za mapenzi najisikia vibaya sana

unawezakuta MTU ANAJISIFIA KUWA ANATEMBEA NA MKE WA MTU KWASABABU MUME WAKE HANA MAAJABU

Na mimi nilikuwa nikifikiria nikaona k**a wananisema Mimi vile

Kuna wakati Nilikuwa nikisema Mke wangu Ana dharau Nikasema nataka niwe na Mchepuko Lakini mchepuko bila Nguvu za kiume Si Naweza kumaliziwa pesa Tu NDIPO NIKAAMUA KUMTAFUTA men Health Amenisaidia na kwa sasa niko GOOD 💪

Wanaume wenye changamoto ya NGUVU ZA KIUME Wapo Wengi sana ila Kwakuwa Changamoto hii ninYa aibu watu wengi wanaficha (Kumbuka Ukificha mtaani utaumbuka kitandani Ni Bora Upate Tiba kwanza Uwe Rijali💪)

Nakushukuru Sana Leo hii Naheshimika Kwasababu naonesha Uanaume wangu Mbele Ya Mwenza wangu

Ndugu zangu Hata uwe na pesa Nyingi kiasi Gani Lakini K**A UNA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME wewe bado hujakamilika

Mtafute men Health Atakusaidia kwasababu anatumia Nia salama Kabisa Kuwatibu watu Wenye Changamoto ya NGUVU ZA KIUME

WhatsApp
0744280675

KWANINI KONGOSHO INAVIMBA / PANCREATITIS Uvimbe wa kongosho, maarufu k**a pancreatitis, ni hali inayojulikana kwa uvimbe...
15/03/2024

KWANINI KONGOSHO INAVIMBA / PANCREATITIS

Uvimbe wa kongosho, maarufu k**a pancreatitis, ni hali inayojulikana kwa uvimbe katika kongosho.

KUNA AINA MBILI KUU ZA PANCREATITIS.

📌 PANCREATITIS YA GHAFLA ( ACUTE PANCREATITIS ).

Aina hii ya pancreatitis hutokea ghafla na mara nyingi ni ya muda mfupi. Inaweza kuwa ya wastani au kali. Pancreatitis ya ghafla mara nyingi husababishwa na mawe ya kibofu au matumizi mabaya ya pombe, lakini pia inaweza kusababishwa na maambukizi, baadhi ya dawa, viwango vikubwa vya mafuta kwenye damu, na sababu nyingine.

📌 PANCREATITIS YA MUDA MREFU ( CHRONIC PANCREATITIS ).

Aina hii ya pancreatitis ni hali ya muda mrefu ambapo uvimbe na uharibifu kwenye kongosho unaendelea kwa muda. Pancreatitis ya muda mrefu mara nyingi husababishwa na matumizi mabaya ya pombe kwa muda mrefu, ingawa sababu nyingine zinaweza kujumuisha mambo ya kinasaba, magonjwa ya kingamwili ya mwili, au kurudia kwa mara kwa mara kwa pancreatitis ya ghafla.

Dalili za pancreatitis zinaweza kutofautiana kulingana na ukali na aina ya hali hiyo, lakini dalili za kawaida ni pamoja na:

👉 Maumivu makali ya tumbo, mara nyingi katikati ya tumbo na kusambaa kwenye mgongo.

👉Kichefuchefu na kutapika.

👉 Homa.

👉Moyo kugonga kwa kasi.

👉 Tumbo kuwa kubwa na laini.

UNAWEZAJE KUJISAIDIA.

✅ Kwa Kuanza Dozi ya Virutubisho Mapema

✅ Kwanza ili kuweza kusimamia inflammation lazima ubadili vyakula na kuanza kula matunda na mbogamboga zaidi ya 70% ya mlo wako kila siku.

✅ Ondoa vyakula vyenye asidi maana huchochea tatizo.

✅ Tumia KIRUTUBISHO CHA ALOEVERA GEL katika kurekebisha mfumo wa taka, kusafisha mmeng'enyo wa chakula na kurekebisha uzalishaji wa kutoka kwenye ya adrenal.

KWA MSAADA AMA USHAURI WASILIANA NA MIMI NIKUSAIDIE 🤝

KUWA HODARI WA TENDO LA NDOA Wakati wa kushiriki tendo Mwanamke anahitaji Wastani wa dakika 15-20 ili kufika katika kile...
18/07/2023

KUWA HODARI WA TENDO LA NDOA

Wakati wa kushiriki tendo Mwanamke anahitaji Wastani wa dakika 15-20 ili kufika katika kilele chake

Wakati huo Mwanaume Ambaye Ana tatizo la kuwahi kufika kileleni ana tumia wastani wa sekunde 30- dakika 2

hii inaonesha kuwa ni vigumu kumfikisha mwanamke kileleni katika hali hii

JINSI YA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO HII

Formula zinazo fanya kazi kwa watu wengi kwa kuwaondoa katika kuwa dhaifu mpaka kuws Rijali

Unacho hitaji ni kuzingatia maelekezo na kuwa tayari kulinda afya yako

Ukiwa una changamoto ya Nguvu za kiume tuma Ujumbe WhatsApp kwa kuandika neno AFYA BORA Kwenda namba 0613748076

HII INAKOSESHA RAHA SANA  👇 Kwa jinsi Maisha yalivyo nguvu za kiume hazina tofauti na pesa Kwa Maana Mwenye nguvu za kiu...
17/07/2023

HII INAKOSESHA RAHA SANA 👇

Kwa jinsi Maisha yalivyo nguvu za kiume hazina tofauti na pesa
Kwa Maana Mwenye nguvu za kiume ndio anafaidi zaidi kuliko ambaye hana kwa lugha nyingi wewe ambaye huna nguvu za kiume ni Masikini wa kutupwa

Hivi utajisikiaje siku Mwenza wako anakuacha Ama unagundua kuwa anakusaliti kwasababu tu Huna nguvu za kiume

Anahitaji kufurahia tendo na kuridhika K**a huwezi kumiridhisha maana yake wewe ni Masikini wa nguvu za kiume

Unapitia hali ngumu pengine bado hujajua namna gani utaondoka na hali hiyo

Habari nzuri ni kwamba huna haja ya kuhangaika na wala huhitaji masharti kupata nguvu za kiume unacho hitaji ni kuweka utaratibu bora wa maisha na kutunza Afya yako

Kwa msaada zaidi Tuma ujumbe kwa WhatsApp kwa kuandika neno AFYA BORA Kwenda namba 0613748076

Unahitaji suluhisho la tatizo lako wakati ni sasa💪

UNAFURAHIA NINI KWENYE TENDO Wakati wa kushiriki tendo la ndoa kuna raha nyingi sana za kihisia ambazo huwezi kuzipata p...
08/07/2023

UNAFURAHIA NINI KWENYE TENDO

Wakati wa kushiriki tendo la ndoa kuna raha nyingi sana za kihisia ambazo huwezi kuzipata pahala popote duniani. Ni Raha za kipekee sana.

Ndizo raha ambazo zinamfanya mwananaume ajisikie K**a mwanaume Wa kweli pindi anapo shiriki tendo na mwenza wake.

kuna vitu k**a romance hii ni pale unapo muandaa Mwenza wako ina raha sana hii
kuna sauti ya mwenza wako ambayo ndio inakupa nguvu zaidi ya kushiriki
Kuna namna mwenza wako anapokupagawisha kwa staili zake na namna anavyo zungusha 😋

Asikuambie mtu hii kitu ina raha sana

Lakini hii ni Kwa Mwanaume Mwenye sifa zifuatazo

👉Anatumia muda mrefu kushiriki bila kuwahi kileleni
👉Uume Umesimama Imara
👉anarudi kwenye tendo kwa wakati na uwezo wa kurudia tendo zaidi na kadri anavyo penda

K**A HUNA SIFA HIZI HUWEZI KUFAIDI RAHA YA TENDO

👉Unawahi kufika kileleni
👉Uume unasimama kwa ulegevu
👉Unakosa hamu ya tendo na una chelewa kurudia tendo
👉Wewe ni komoja chaliii

HAPA HAKUNA UTAKACHO AMBULIA ZAIDI YA AIBU NA FEDHEHA

Ikiwa changamoto yako ni sugu

WhatsApp +255613748076/0613748076

Tuma ujumbe kwa kuandika neno AFYA BORA Kupata msaada wa Elimu ya BURE na Tiba suluhisho la tatizo lako.

JE ? UNARIDHIKA NA  KIMOJA CHALI ?? Katika vitu ambavyo havifurahishi  na vina ongeza hofu kwa mwanaume ni kuwa mtu wa k...
05/07/2023

JE ? UNARIDHIKA NA KIMOJA CHALI ??

Katika vitu ambavyo havifurahishi na vina ongeza hofu kwa mwanaume ni kuwa mtu wa kimoja kila wakati

kila mtu anajua kuwa sifa ya mwanaume ni kwenda Raund zaidi ya mbili hapo tunaita wewe ni rijali

Lakini K**a wewe unaishia kimoja kila wakati ni aibu kubwa kwako na unapungukiwa na sifa ya kuitwa mwanaume

CHA KUFANYA

kula chakula chenye kujenga afya yako zaidi

Kula matunda kwa wingi

fanya mazoezi na pata muda wa kupumzika

ikiwa changamoto yako ni ya muda mrefu (Miezi 6- mwaka )

Tafadhali wasiliana na Mimi kwa kutuma ujumbe WhatsApp kwa kuandika neno AFYA BORA kwenda namba 0613748076

Natoa elimu kwanza BURE kisha nitakupatia suluhisho la tatizo lako

USIKUBALI KUDHARALAULIWA KILA SIKU

KUSHINDWA KURUDIA TENDO Je ? Ulishawahi kushiriki tendo na Mwenza wako kwa raund moja Lakini ulipo jaribu kurudia ikashi...
04/07/2023

KUSHINDWA KURUDIA TENDO

Je ? Ulishawahi kushiriki tendo na Mwenza wako kwa raund moja Lakini ulipo jaribu kurudia ikashindikana ??

Hii ni changamoto inayo onesha kuwa una TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

Kushindwa kurudia tendo ni pale mwanaume anafika kileleni kwa raund ya kwanza na kushindwa kuendelea na raund nyingine

DALILI ZA CHANGAMOTO HII

Dalili zinaweza kujionesha K**a ifuatavyo

Kukosa hamu ya tendo Kwa kipindi kirefu

Kuwahi kufika kileleni

Uume kusimama kwa ulegevu

SABABU ZA KUSHINDWA KURUDIA TENDO
Sababu hizi ni za upungufu wa nguvu za kiume kwa ujumla k**a vile

Kujichua

Kuathirika na dawa za kuongeza nguvu za kiume

maradhi ya muda mrefu na msongo wa mawazo

NAMNA YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO HII
Unaweza kufanya mambo yafuatayo kuepuka hali hii

Fanya mazoezi Mara kwa mara (Angalau mara tatu kwa wiki dakika 30 kwa siku )

kula chakula bora (Chakula cheye virutubisho vingi mwili k**a Mboga za majani,samaki,nyama bila kusahau matunda)

kunywa maji ya kutosha kwa siku (2.5-3lita)

Pata Muda wa kupumzika ili kuondoa Msongo wa Mawazo

Ikiwa changamoto yako ni sugu Ama ni ya Muda mrefu sana Unahitaji suluhisho Mapema zaidi Kabla ya kusababisha madhara zaidi

Tuma ujumbe WhatsApp Kwa kuandika neno AFYA BORA Kwenda namba 0613748076

Utapatiwa elimu BURE pamoja na maelekezo kuhusu Suluhisho la Tatizo lako Usikubali kubaki na changamoto ni hatari kwa afya yako

UMUHIMU WA KUTATUA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME K**a wewe una changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume na bado inakusumb...
03/07/2023

UMUHIMU WA KUTATUA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME

K**a wewe una changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume na bado inakusumbua jua kuwa kuna madhara unayapata na ni hatari kwa afya yako

kuna umuhimu gani wa kutatua changamoto hii ??

KUEPUKA MADHARA YA KWENYE TENDO LA NDOA

Kuna madhara Mengi mwanaume anayapata wakati wa tendo na huwa ni aibu na wakati Mwingine yanasababisha msongo wa mawazo Mfano;-

Kuwahi kufika kileleni Badala yake utakuwa unatumia Muda sahihi kufika kileleni

Kushindwa kurudia tendo Badala yake utaweza kurudia kadri upendavyo

Uume kuwa legevu Badala yake Uume utasimama Imara na kupeleka Moto😂

Mbegu kuwa chache na zinakuwa nyepesi Badala yake mbegu zinakuwa nyingi zenye rutuba ya kutosha zinazoruka kwa nguvu na kuwa na uhakika wa kusababisha Mimba🫃

KUEPUKA MSONGO WA MAWAZO Kwa Mwanaume yeyote ambaye ana changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume kupata msongo wa mawazo ni lazima kwasababu ya kuto ridhishwa na kiwango chake cha ushiriki wa tendo na ubaya ni kwamba changamoto haiwezi kuondoka bila tiba. Hivyo utakapo tatua changamoto yako utajiepusha na msongo wa mawazo

KUJIAMINI
Sifa ya Mwanaume ni kujiamini Ukiwa umetatua changamoto yako huwezi kuogopa kushiriki tendo kwasababu wewe ni Rijali Tayari hata k**a itokee katika mazingira ya ghafla huwezi kuogopa ni mwendo wa show show 🤫

SIFA KUU YA MWANAUME NI KUWA NA NGUVU ZA KIUME Hii ni faida kuu ya kutatua changamoto yako Mapema

Usikubali kubaki na changamoto yako kwani sio sifa nzuri kuwa mwanaume ambaye huna nguvu za kiume pia unazidi kujidharilisha kwa Mwenza wako
Ukiendelea kubaki na changamoto yako huwezi kujiamini na huwezi kuwa na nguvu ya kuanzisha mahusiano na mwenza mwingine

NI MUHIMU KUTATUA CHANGAMOTO YAKO MAPEMA

UUME KUSINYAA KABLA YA TENDO KUMALIZIKA K**a ulishawahi kushiriki tendo ghafla ukaona uume unaisha nguvu kwa maana unaru...
03/07/2023

UUME KUSINYAA KABLA YA TENDO KUMALIZIKA

K**a ulishawahi kushiriki tendo ghafla ukaona uume unaisha nguvu kwa maana unarudi kuwa mdogo na hamu inakata hapohapo basi jua hilo ni Tatizo

Tatizo hili linatokea pale ambapo uume unakosa nguvu ya kusimama Vizuri Ikiwa bado Mwanaume hajafika kileleni

DALILI ZAKE

Dalili zinaweza kujionesha kabla ya kushiriki tendo na mwenza wako
kwa kawaida Mara nyingi Mwanaume anakuwa na uwezo wa kusimamisha uume kila ifikapo Asubuhi na ukiona mara nyingi unaamka bila uume kusimama jua hapo linakuanza taratibu na ni vema kuchukua tahadhari

Unapokuwa kwenye Tendo Baada ya Kumaliza Raundi ya kwanza unatamani kuendelea unapata hamu lakini Usimamaji wa Uume ndio kikwazo hii pia ni dalili zinazo onesha kuwa una Changamoto kwenye Kusimamisha Uume

Dalili Kuu ni Pale unaposhiriki tendo lakini uume Hauna nguvu kabisa yaani unashiriki lakini uume upo lagevu mno na hali hii inaweza kukukosesha raha kabisa na kufanya ukakosa hisia ama hamu ya kuendelea na kitendo cha wewe kukosa Raha ndio kina fanya Uume kukosa nguvu kabisa kwasababu ya wewe kukosa hisia

SABABU ZA UUME KUPUNGUA NGUVU WAKATI WA TENDO
Mara nyingi Mwanaume anapo pata changamoto k**a hii Anakuwa analabiliwa na Mambo yafuatayo ;-

Kujichua (punyeto)

Msongo wa mawazo

Ugonjwa wa bawasiri ( Hii ina athiri pelvic muscle )

Kuingiliwa kinyume na Maumbile

Magonjwa k**a Presha,kisukari ama stroke

Tatizo la Umri kwa maana ya kuzeheka

Hizi ni baadhi ya Sababu Ambazo zinamfanya Mwanaume anakuwa na Uume legevu wakati wa kushiriki tendo

JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO
Fanya uchunguzi juu ya chanzo cha changamoto yako ili ujue imesababishwa na nini Mfanno;- K**a Changamoto yako Imesababishwa na Kujichua basi ni vema haraka sana kuacha kujichua
Ikiwa imesababishwa na ugonjwa ni vema kutibu ugonjwa kwanza

Badili mfumo wa maisha kwa kula chakula chenye faida mwilini pamoja na matunda Na kuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi
Pata Muda wa kupumzika ili kuondokana na msongo wa mawazo

Ikiwa changamoto yako ni Ya muda mrefu (Mwaka ama miaka)

Tuma ujumbe Kupitia WhatsApp namba 0613748076 Kwa kuandika neno AFYA BORA

Nitakupatia elimu BURE na kukupatia Namna Salama ya kutatua changamoto yako

FAIDA YA ZOEZI  LA KEGEL EXERCISE Zoezi hili ni moja ya Mazoezi Maalum kwa Mwanaume katika kuboresha mfumo wa uzazi FAID...
02/07/2023

FAIDA YA ZOEZI LA KEGEL EXERCISE

Zoezi hili ni moja ya Mazoezi Maalum kwa Mwanaume katika kuboresha mfumo wa uzazi

FAIDA ZAKE
Linasaidia Kuimarisha Nyonga

Kuimarisha Misuli ya Uume

Kuongeza size ya uume

Kuimarisha Misuli ya Mwili na Mzunguko mzuri wa damu kwenye Uume

kuongeza hamu ya tendo la ndoa

Kukuepusha na Tatizo la kuwahi kufika kileleni

JE ULISHAWAHI KUFANYA KEGEL EXERCISE

Ni zoezi ambalo halihitaji vifaa vya kutumia
Halitumii nguvu nyingi Wala kukuchosha

Halimalizi Muda mrefu na linaongeza raha na kuondoa msongo wa mawazo wakati wa kulifanya halihitaji eneo kubwa sana

K**A UNAHITAJI VIDEO AMBAYO INAONESHA STEP BY STEP YA KEGEL EXERCISE TUMA UJUMBE KUPITIA WhatsApp Namba 0613748076 Kwa kuandika neno ZOEZI

FULL VIDEO NI BURE NA Nitakupatia elimu kuhusu afya ya uzazi kwa mwanaume BURE KABISA

SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO Kukosa Hamu ya tendo maana yake hisia  za kimapenzi zipo chini sana Hivyo kusababisha Mwa...
02/07/2023

SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO

Kukosa Hamu ya tendo maana yake hisia za kimapenzi zipo chini sana Hivyo kusababisha Mwanaume kupungua kwa uwezo wa kushiriki tendo

DALILI ZA KUKOSA HAMU YA TENDO

Dalili za kukosa hamu ya Tendo huwa hazijioneshi wakati wa tendo bali huanza kujionesha taratibu kwa idadi ya kushiriki tendo kwa kipindi fulani mfano ;-

K**a ulikuwa na uwezo wa kushiriki tendo Mara 15 Kwa Mwezi
Ikitokea Ndani ya Mwezi mmoja umeshiriki tendo Mara 7 Hapa tunasema Umeanza kupata Changamoto ya kukosa hamu ya tendo.

Dalili zinazidi kujionesha hata wakati wa kushiriki tendo Mfano;-

K**a ulikuwa na uwezo wa kushiriki tendo Kwa Raund 3 ikitokea Unaishia Raund 2 Hapo Hapo ni dalili inajionesha kuwa unazidi kukosa Hamu ya tendo

Dalili Nyingine Ni kwenye Uwezo wa Kurudia tendo K**a Ulikuwa na Uwezo wa Kuunganisha Raund ya kwanza na ya Pili, Ikitokea Umeanza Kutumia Muda Mrefu Kusubiri Raund nyingine Ujue Hapo Una Tatizo la Kukosa Hamu ya Tendo

SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO

Katika Hali ya kawaida Mwanaume Akikosa hamu ya tendo ni Wazi kuwa anakabiliwa na Mambo yafuatayo

👉MSONGO WA MAWAZO

👉TATIZO LA UMRI (uzee)

👉KUATHIRIKA NA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

👉KUATHIRIKA NA KUJICHUA

👉KUUGUA KWA KIPINDI KIREFU
hizi ni Baadhi ya sababu ambazo zinamfanya Mwanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa

MADHARA YA KUKOSA HAMU YA TENDO
Kuna changamoto ambazo zitajitokeza endapo Mwanaume atakosa hamu ya tendo

KUSHINDWA KUHIMILI TENDO KIKAMILIFU yaani kushindwa kumridhisha Mwenza wako

KUKUONGEZEA MSONGO WA MAWAZO ZAIDI

KUKOSA KUJIAMINI WAKATI WA TENDO kuwa na mashaka na hofu ya kushiriki tendo


JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO HII
Fanya Mambo yafuatayo ili Kukabiliana na changamoto hii ;-

kula chakula kwa kuzingatia mfumo wa mlo kamili ama kula chakula chenye manufaa zaidi kiafya bila kusahau matunda

Fanya mazoezi kwa muendelezo Jenga tabia ya kuwa mtu wa mazoezi usifanye kwa kujaribu fanya k**a sehemu ya maisha yako

kunywa maji na pata Muda wa kupumnzisha Mwili na Akili hii itakusaidia kukuondolea msongo wa mawazo

Upuka ama punguza matumizi ya pombe kali,sigara ama vunywaji vyenye kemikali nyingi ama vyakula vya mafuta Mengi

Ikiwa unahitaji Muongozo wa kufanya yote haya Ama unafanya haya na bado changamoto ni sugu Tafadhali Wasiliana Na mimi Kwa Kutuma Ujumbe WhatsApp 0613748076 Kwa kuandika Neno AFYA BORA

NB;- MUONGOZO WA CHAKULA MATUNDA NA MAZOEZI MAALUM NI BURE

EPUKA KUWAHI KILELENI KWA KUFANYA MAMBO HAYA Je? Ni kweli kuwa unasumbuliwa sana na changamoto ya kuwahi mapema wakati w...
02/07/2023

EPUKA KUWAHI KILELENI KWA KUFANYA MAMBO HAYA

Je? Ni kweli kuwa unasumbuliwa sana na changamoto ya kuwahi mapema wakati wa tendo ?

Kuwahi kileleni maana yake ni kupiga mshindo kabla ya Muda stahiki wa mwanaume Rijali

Kwa kawaida Mwanaume Anatakiwa kupiga mshindo ndani ya Dakika 7-18+ Kwa round Moja

Ikitokea Mwanaume Amepiga mshindo dakika ya tatu ama ya pili hilo ndio linaitwa TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI

MSHINDO (kutoa mbegu za kiume)

Je ? ni zipi sababu za kuwahi kileleni ?
Kwa ufupi sababu za kuwahi kileleni ni K**a ifuatavyo ;

👉KUJICHUA (Punyeto)
👉MSONGO WA MAWAZO

👉KUUGUA KWA MUDA MREFU

👉 UNENE ULIO PITILIZA

👉 TATIZO LA UMRI

Je ? Nini kifanyike ili kuepuka Changamoto hii

Usiwaze sana na wala usiwe na hofu Kwa Maana Changamoto hii ni Rahisi sana kuitatua ikiwa utaamini na Kuzingatia tu.

Nimekuandalia program Mbili Ambazo NI MAZOEZI NA CHAKULA&MATUNDA

Hizi ni program ambazo nitakuelekeza Aina ya vyakula,matunda pamoja na Mazoezi ambayo itakusaidia sana kuepuka changamoto hii Lakini itakusaidia sana Kubadili ufumo wa Maisha

Elimu hii Inatolewa BURE KABISA Inatolewa Kwa njia ya WhatsApp Kwa Maana Ukiwa popote unaweza pata elimu Na kuifanyia kazi na kutatua Changamoto yako

Mawasilianao Tuma ujumbe WhatsApp Kwa Kuandika Neno AFYA BORA kwenda Namba 0613748076

NB:Elimu hii ni BURE kabisa Muhimu kwako ni kuzingatia na utakuwa na Afya Bora Zaidi

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanaume na uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mwanaume na uzazi:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram