Dr Moses-tiba ya afya yako

  • Home
  • Dr Moses-tiba ya afya yako

Dr Moses-tiba ya afya yako Karibu tukutibu magonjwa mbali mbali kama vile sukari bawasiri pressure ,vidonda vya tumbo na mengineyo
0673834827

13/07/2025

Umekuwa ukiteseka na Changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume 😭😭😭 tumkuletea suluhisho la kudumu. Bila kutumia busta na mbinu hii itkusaidia kutokomeza tatizo moja kwa moja 👇👇👇👇👇👇soma zaidi kujua chanzo cha tatizo Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamilifu au kushindwa kusimamisha uume vizuri. Shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, hisia na mishipa ya damu, misuli ya uume. Tafiti zinaonesha kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao ana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.Tatizo hili huwanyima sana watu raha na kupelekea kuwa na mawazo, migogoro katika mahusiano. Watu wenye changamoto hii mara zote wanahitaji dawa zisizo na madhara (virutubisho lishe) vilivyotokana na mimea na matunda na kubadilisha mitindo yao ya kimaisha (lifestyle changes) ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo.Dalili Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume:Zifuatazo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume;1) Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo La Ndoa.Tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume ni mojawapo ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume na linaweza kusababishwa na sababu nyingi sana. Sababu hizo zinaweza kuwa za kimaumbile au kisaikolojia au za mchanganyiko wa sababu za kimaumbile na sababu za kisaikolojia. Baadhi ya sababu za tatizo hili ni pamoja na;a) Msongo Wa Mawazo (Depression).Msongo wa mawazo ni ugonjwa wa kisaikolojia unaohusisha hali ya kuwa na mawazo makali kwa muda mrefu yanapelekea kukosa raha kutokana na kujihisi si mtu wa thamani au kukosa starehe katika vitu ulivyozoea kuvifanya na kukufurahisha hapo awali. Mawazo ya namna hii huathiri mwenendo wako wa maisha yako ikiwa ni pamoja na kukosa matamanio ya kimapenzi.b) Matumizi Ya Madawa Na Pombe.Matumizi ya baadhi ya madawa na unywaji wa pombe wa kupindukia vinaweza kupelekea tatizo hili la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Madawa yanayochangia tatizo hili ni pamoja na; Madawa ya presha ya kupanda (Anti hypertensive drugs), madawa ya kuondoa msongo wa mawazo, madawa yote yanayozuia ufanyaji kazi au uzalishaji wa testosterone kwa mfano cimetidine, finasteride na cyproterone n.kc) Mawazo Mengi Na Uchovu.Matatizo ya kikazi na hadhi yako kazini vinaweza kuchangia kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.K**a unabezwa sana kazini na kujiona hutimizi kazi yako ipasavyo au k**a unachoka sana kazini pia vinaweza kupelekea kukosa hamu ya kufanya mapenzi pindi urudipo nyumbani kwani mahusiano ya kimapenzi yanahitaji yatengewe muda wa kutosha.d) Kuwa Na Umri Mkubwa.Kiwango cha homoni ya testosterone inayohusika na hisia za kimapenzi kwa mwanaume hupungua kwa asilimia 1-2 kila mwaka kadri mwanaume anavyozidi kuwa na umri mkubwa. Kiwango cha testosterone kikishuka katika mwili wa mwanaume humfanya asiwe na nguvu, ashindwe kutuliza mawazo kwenye jambo alifanyalo na apoteze hamu ya kufanya mapenzi.e) Mahusiano Yaliyopo Baina Ya Mwanaume Na Mwanamke.Matatizo ya kimahusiano kati ya mwanaume na mwanamke yana mchango mkubwa sana katika kusababisha tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa, mfano uwepo wa migogoro kati ya mume na mke, ukosefu wa amani na furaha katika mahusiano huchangia sana mwanaume kukosa hamu ya kufanya mapenzi.K**a mahusiano yako na mpenzi wako yamekuwa ya miaka mingi sana, unaweza kuwa umemzoea mno mkeo kiasi kwamba ukaanza kukosa hamu ya kufanya naye tendo la ndoa. Hili nalo hutokea mara nyingi.f) Matatizo Ya Kiafya.Matatizo ya kiafya ya muda mrefu (chronic diseases) husababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa mfano tatizo la kisukari, tatizo la presha, tatizo la moyo, tatizo la kansa ya muda mrefu, na hali ya kuwa na unene uliozidi kiwango (obesity) n.k2) Kutokuwa Na Uwezo Wa Kurudia Tendo La Ndoa Zaidi Ya Mara Moja.Mwanaume mwenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakua hana uwezo tena wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwepo na mshukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume.3) Kutokuwa Na Uwezo Wa Kusimamisha Uume Kabisa.Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali) unaposimama, hutakiwa kuwa imara k**a msumari, lakini kwa mwanaume mwenye changamoto ya upungufu za nguvu za kiume uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na unaweza kusinyaa wakati wowote.Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume ambayo ndio huufanya uume usimame barabara.4) Kuwahi Kufika Kileleni.Kuwahi kufika kileleni ni hali ambayo inampata mwanaume mwenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume ambapo hutoa shahawa kabla ya kuanza tendo la ndoa au muda mfupi tu baada ya kuanza tendo la ndoa, bila yeye mwenyewe kukusudia. Kwa kawaida mtu mwenye tatizo la kuwahi kufika kileleni hutoa mbegu zake za kiume hata baada ya maandalizi kidogo sana.5) Kuchoka Sana Baada Ya Tendo La Ndoa Na Hata Kukinai Kabisa/Hata Kusikia Kichechefu.Hii ni moja wapo ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume. Hali hii huwapata wanaume wenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume ambayo wakati mwingine huambatana na usingizi mzito (Kulala fofofo).6) Kuhisi Maumivu Wakati Wa Tendo La Ndoa/Baada Ya Tendo La Ndoa.Hii pia ni moja wapo ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume, hali hii huweza kuchangiwa na kauthirika kwa tishu za uume ambazo hutokana na upigaji wa punyeto kupita kiasi.7) Kuchelewa Sana Kufika Kileleni/Kushindwa Kufika Kileleni Kabisa.Ni ile hali ya mwanaume kuchukua muda mrefu kutoa manii wakati wa kushiriki tendo la ndoa.Kwa kawaida mwanaume anatakiwa afike kileleni/kutoa manii kwa muda usiozidi dakika 30 wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Kwa hiyo mwanaume anaposhiriki tendo la ndoa na kuchukua muda mrefu bila kufika kileleni anahitaji uchunguzi ili kubaini chanzo cha tatizo.Soma pia hii makala: Fahamu aina 7 za vyakula vinavyo ongeza kiwango cha mbegu za kiume.Sababu Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume:Zifuatazo ni baadhi ya sababu za tatizo la upungufu wa nguvu za kiume;-Uzito kupita kiasi na unene uliozidi.-Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi.-Uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe.-Kuwa na mawazo na wasi wasi.-Kuwa na tatizo la kibofu cha mkojo.-Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibu -magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, -kisukari, presha, magonjwa ya moyo nk.-Tabia za kujichua kwa muda mrefu.

13/07/2025
Fahamu zaidi kuhusu tatizo la maumivu ya magoti (Osteoarthritis)Nimamua kuandika mada hii kwani nafikiri yaweza kuwa na ...
05/07/2025

Fahamu zaidi kuhusu tatizo la maumivu ya magoti (Osteoarthritis)

Nimamua kuandika mada hii kwani nafikiri yaweza kuwa na manufaa kwa watu wengi. Maumivu ya magoti ni (Osteoarthritis) matatizo makubwa kwa watu wengi hasa wazee, wanawake na watu watu wanene. Magonjwa haya husababisha uchumi wa mtu binafisi kuwa mgumu kutokana na kushindwa kufanya kazi kawaida k**a ipaswavyo.

Osteoarthritis ina maana magonjwa ya viungo vya mwili kiujumla, lakini hasa hushambulia magoti na kiuno. Ni ugonjwa wa muda mrefu na kusababisha uharibifu wa cartilage articular (minofu migumu mieupe katka magoti). Ugonjwa huu umekuwa wa kawaida katika watu wengi, lakini katika nchi yetu ni vigumu kusema ni kiasi gani watu wanaathirika, kwani wengi huugua bila dalili na inapofikia hali kuwa ngumu ndo huenda mahospitalini, mabapo pia wataalm ni wachache au vitendea kazi havipo au ni duni hivyo inagua vigumu kungundulika.

Lakini njia rahisi ya kuugundua ni kupiga X-ray. Sababu kubwa za ugonjwa huu bado hazijulikani, ila ina semakana kuwa ni uzee, wanawake, magonjwa ya kurithi, matokeo ya majeraha ya zamani katika magoti, mabadiliko ya hormoni za estrojen ,unene, uzaifu wa misuli na uchovu uliokithiri hasa kwa wanamichezo, kazi ngumu, hasa za kusimama au kunyanyua vitu vizito.nk. Michezo ya kawaida, kwa kulinganisha, hakuna hatari, ni nzuri sana kwa ajili ya viungo.

Dalili na uchunguzi
Utambuzi wa ugonjwa huu hufanywa kwa kuangalia dalili na uchunguzi. Wengi hupenda angalia dalili kwani matokeo ya X-ray hayatosherezi kinaganaga, Maumivu makali yatokanayo na kuzidiwa kwa uzito katika magoti (mafano wakati wa kuismama au kutembea), ndo huwa dalili za mwanzo.

Hii hutokana na kupungua kwa misuli mieupo iliyopo katika goti, na kufanya nafasi au mwanya kati ya goti kupungua au hata kuwa inasuguana hivyo kusababisha maumivu makali .

Ukarabati:
Kwa sasa hakuna tiba kwa ajili ya osteoarthritis, lakini njia kadhaa za kupunguza dalili na kuchelewesha mchakato wa kuendela kukua kwa ugonjwa huu zaweza tumika. Hapo awali watu walitumia madawa ya kupunguza maumivu, lakini leo hii tiba ya msingi ya kufanya mazoezi, na kupunguza uzito.

Hii ni kwa kuwa imeonekana kufanya kazi vizuri zaidi ya kutumia vidonge vya kupunguza maumivu, ambayo wengi huwaletema matatizo ya tumbo k**a vile vidonda vya tumbo n.k. Mazoezi hunapunguza maumivu, huboresha kazi na kuongeza ubora wa maisha katika osteoarthritis, na uchunguzi umeonyesha hakuna athari juu ya mazoezi.

Mazoezi hayapaswi kuchanganywa na aina yoyote ya shughuli za kimwili, isipokuwa ma zoezi ni vizuri yawe ya kulenga uimara wa viungo vya mwili hasa katika magoti.

Na vizuri yasiwe ya nguvu kiasi cha kukufanya ukaumia zaidi. Na mara nyingi inachukua muda wa wiki 6-8 wa mazoezi kwa uboreshaji kukuwezesha kuanza kujisikia vizuri. Maumivu yasiwe kikwazo cha kukufanya uache mazoezi bali iwe kichochezi.

Kumbumbuka mazoezi yasiwe ya nguvu kiasi cha kukufanya ushindwe tembea . mazoezi mazuri ni kuogelea, kuendesha baiskeli, au kukaa ukawa unanyonga miguu k**a vile mwendesha baiskeli.

TATIZO LA MAUMIVU YA GOTI AU MAGOTI,CHANZO,DALILI NA TIBATatizo hili la maumivu ya goti au magoti hutokea kwa watu wengi...
05/07/2025

TATIZO LA MAUMIVU YA GOTI AU MAGOTI,CHANZO,DALILI NA TIBA

Tatizo hili la maumivu ya goti au magoti hutokea kwa watu wengi wa umri wowote,huku baadhi ya sababu kuhusishwa k**a vile kuumia,Umri mkubwa,matatizo k**a Arthritis,gout au maambukizi ya magonjwa mengine.

DALILI ZA TATIZO HILI LA MAUMIVU YA MAGOTI NI PAMOJA NA;

1. Kuvimba sehemu ya goti pamoja na kukak**aa sana

2. Ngozi ya goti kubadilika rangi na kuwa nyekundu kuliko kawaida

3. Mtu kuhisi hali ya joto zaidi endapo eneo hilo likiguswa

4. Miguu kukosa nguvu au kukosa balance

5. Kusikika kwa sauti hasa wakati wa kukunja goti yaani “popping or Crunching noises”

6. Mtu kushindwa kabsa kunyoosha goti n.k

CHANZO CHA TATIZO LA MAUMIVU YA GOTI

– Kuumia na kupata majeraha eneo la goti au magoti, hali ambayo huathiri ligaments,Tendons, au Fluid filled Sacs kuzunguka eneo la goti,

Pia mfupa kuvunjika hasa kwenye eneo la Patella au Knee Cap,huweza kuwa chanzo cha maumivu makali ya goti au magoti

– Tatizo la Patellofemoral pain syndrome ambapo kwa asilimia kubwa huhusisha maumivu ya goti au magoti kwa Wazee au watu wenye umri mkubwa zaidi,

Hii hutokea kutokana na kuzeeka kwa Ligaments,tendons,misuli, pamoja na Knee Cap au Patella kushindwa kufiti vizuri kwenye eneo lake yaani groove.

– Tatizo la Arthritis,ambapo hapa huhisisha aina mbali mbali k**a vile;

• Osteoarthritis

• Rheumatoid arthritis

• Gout

• Pseudogout

• Septic arthritis n.k

VITU HATARISHI AMBAVYO HUWEZA KUCHANGIA UWEPO WA TATIZO HILI LA MAUMIVU YA GOTI AU MAGOTI

– Mtu kuwa na shida ya uzito kupita kiasi

– Mtu kuwa na shida ya misuli kukosa nguvu au kukak**aa

– Baadhi ya michezo k**a vile ya kuruka kamba,Basketball n.k

– Baadhi ya kazi k**a vile za ujenzi au ukulima

– Mtu kuwa na historia ya Kuumia hapo nyuma eneo la goti au magoti

VIPIMO AMBAVYO HUWEZA KUFANYIKA NI PAMOJA NA;

1. Lab tests,vipimo vya damu(Blood tests) n.k

2. Kipimo cha X-ray

3. Kipimo cha CT Scan

4. Kipimo cha MRI n.k

MATIBABU YA TATIZO HILI LA MAUMIVU MAKALI YA GOTI

– Matumizi ya dawa k**a Pain relievers n.k,kulingana na chanzo husika hakumalizi tatizo.

💊TUMIA LEO VIRUTUBISHO KUONDOKANA NA CHANGAMOTO ZA MIFUPA.

☎️☎️TUPIGIE 0673834827

Je, napaswa kumwona daktari lini?Muone daktari wako mara moja ikiwa una maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo na mojawapo...
04/07/2025

Je, napaswa kumwona daktari lini?
Muone daktari wako mara moja ikiwa una maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo na mojawapo ya ishara hizi za tahadhari:

—Kufa Ganzi
—Udhaifu katika mguu mmoja au yote miwili
—-Matatizo ya kukojoa au kwenda haja kubwa (kinyesi)
—Homa
—Wepesi wa kichwa au kuzirai
Maumivu makali popote kwenye tumbo lako
—Muone daktari wako ndani ya siku moja ikiwa una maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo na mojawapo ya ishara hizi za onyo:

—Historia ya saratani
—Kupungua uzani
Maumivu makali usiku
Una umri wa miaka 55 au zaidi na hakuna sababu dhahiri, k**a vile jeraha linalosababisha maumivu yako
—Uko kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi kwa sababu ya dawa unazotumia, upasuaji au jeraha la hivi majuzi, matumizi ya dawa za kulevya au kwa sababu una HIV au UKIMWI
Ikiwa maumivu yako si makali na huna dalili za tahadhari, unaweza kusubiri siku kadhaa kabla ya kuona daktari.

—-Je, maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo husababishwa na nini?
Madaktari huenda wasiweze kujua kila mara kile kinachosababisha maumivu yako ya sehemu ya chini ya mgongo. Chanzo cha kawaida cha maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo ni:

—Mkazo wa misuli au kano (kano ni vifundo vya tishu ngumu vifupi ambavyo vinashikilia mifupa yako pamoja kwenye kiungo)
Hii inaweza kutokea kwa upande mmoja au pande zote mbili za mgongo wako. Maumivu yako yanazidi kuwa makali unapotembea na ahueni unapopumzika.

Sababu nyingine za kawaida ni pamoja na:

👇👇👇👇👇👇
Mkazo wa neva (wakati kitu kinakandamiza neva), jambo ambalo linaweza kutokea kwa hali k**a vile ugonjwa wa kudhoofika kwa viungo (osteoarthritis) au hali ya kutoka kwa diski kwenye mifupa ya uti wa mgongo
Kupungua kwa mfereji wa uti wa mgongo katika sehemu ya chini ya mgongo wako—mfereji wa uti wa mgongo, njia ya uti wa mgongo ambayo uti wa mgongo hupitia, inakuwa ndogo sana
Spondylolisthesis, ambapo mfupa wa mgongo (vertebra) huteleza mbele juu ya ule ulio chini yake
Maumivu ya mwili mzima (k**a vile yanayotokea katika fibromyalgia) yanaweza pia kuathiri sehemu ya chini ya mgongo
Diski ni tishu zenye sponji kati ya mifupa ya mgongo (vertebrae) ambazo huruhusu mgongo wako kuinama. Diski inapochanwa au kubanwa, nyenzo zinazofanana na jeli zinaweza kuvimba (kuumuka) na zinaweza kuweka shinikizo kwenye neva. Kukohoa au kupiga chafya kunaweza kufanya maumivu ya mkazo wa neva kuwa mabaya zaidi.

—Kupungua kwa mfereji wa uti wa mgongo katika sehemu ya chini ya mgongo wako ni sababu ya kawaida ya maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo.

—Maumivu yako yanaweza kuwa mabaya zaidi ikiwa:

—Utainua kitu kizito kwa njia isiyofaa
—Una unene kupita kiasi
—Umechoka sana
—Una mkao mbaya (husimami wima)
—Huna nguvu nzuri ya misuli kwenye mgongo wako, tumbo, na misuli ya nyonga (misuli kuu)

TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO, FAHAMU VYANZO, DALILI NA TIBA YA GANZI MIGUUNI, MIKONONI AU VIDOLENI.Matatizo ya viungo,mig...
03/07/2025

TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO, FAHAMU VYANZO, DALILI NA TIBA YA GANZI MIGUUNI, MIKONONI AU VIDOLENI.

Matatizo ya viungo,miguu kuwaka moto,maumivu ya kiuno na mgongo, yamekua yakiwasumbua watu wengi hasa wenye:

1- uzito mkubwa,
2-pia kutofanya mazoezi
3- na wazee wenye umri kuanzia 55+

Matatizo ambayo yamekuwa yakionekana ni ya kawaida katika jamii nyingi. Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono.

Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.

CHANZO CHA TATIZO

Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:-

1. Kupungua kwa virutubisho mwilini, hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2. Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi.

3.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu MAUMIVU (pain killer)

4. Uzito mkubwa wa mwili.

5. Ugonjwa wa kisukari(diabetic neuropathy).

6. Shinikizo la damu.(blood Presure)

7. Unywaji wa pombe kupita kiasi.

8. Magonjwa ya figo.

DALILI ZA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO

Ugonjwa huu unadalili nyingi zikiwemo;-

1. Kuhisi ganzi.

2. Kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni.

3. kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani.

4. Joto Kali miguuni,kuhisi k**a unaungua miguuni.

5. kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.

6. Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi

MATIBABU

1.Fanya mazoezi

2.kula vyakula vyenye virutubisho na kula mboga mboga na matunda KWA WINGI.

3. Tumia kirutubisho lishe ambazo huenda zikaamsha neva za fahamu zilizoshindwa kufanya kazi vizur.

Dawa zetu husaidia mzunguko wa damu kuzunguka vizuri kuanzia kwenye moyo mpaka kwenye vishipa vidogo vya damu hivyo kwa mtu mwenye changamoto ya ganzi, miguu na mikono kuwaka moto au maumivu makali atapona.

WATU WENGI SANA HUKAA NA TATIZO HILI WAKIJUA HALITIBIKI


Kwa anaye hangaika na matatizo haya Kwa mda mrefu asikate tamaa Kwani tunazo Dawa ambazo zimeandaliwa vizuri na zinatibu na kuondoa kabisa ugonjwa huu miguu kuwaka moto ganzi miguuni mikononi na vidoleni

Wasiliana nasi
0673834827

01/07/2025

...." [Mbinu Rahisi Za Mpangilio wa Lishe na.. KUPONA Kabisa Changamoto Ya Maumivu Ya VIUNGO Na MIFUPA Haraka ]"....
.Hii Mbinu nikiboko Sana imewasaidia Watu Wengi Mnoo Mimi nikiwa mmoja Wapo...

Siwezi KUSAHAU Nakumbuka Miaka Saba(7)/ au Mitano (5) Iliyopita..
Nilikua Nasumbuliwa Sana Na Changamoto Ya Maumivu Ya Viungo Na Mifupa ...
Na Hakuna Kitu Ambacho Kilikua Kina Ni Nyima Raha Sana ....

K**a Ile Hali Ya Kupata Maumivu Makali Hasa Kwenye Maungio Pamoja Na Kiuno Na Mgongo ....

Ambayo ilikua Inaambatana na Kuhisi Ganzi Mara Kwa Mara .....
Sio Hilo Tu Ilifikia Wakati Ambao Miguu Yangu Ilikua Inawaka Moto Sana Na Kushika Ganzi ....
Na Nikisimama au Kukaa Viungo Vyangu Vilikua Vinatoa Sauti K**a Inavunjika .....

Inawezekana Umesha Tumia Dawa Mbalimbali Bila Mafanikio K**a Ilivyokua Kwangu......
Kwani Nilitumia Dawa Tofaut Tofauti Kwa Zaidi Ya Miaka 5 Lakini Sikuweza Kupata Nafuu Yotote ......
Miezi 8 iliyopita Nilibahatika Kugundua Njia Ya Asili Ya Kukabiliana na Changamoto Ya Maumivu Ya Viungo Na Mifupa. ....

Ambavyo Vilinisaidia Kumaliza Maumivu Makali Ya Viungo .......
... Njia Hii Imeshasaidia Wengi ...

Inaweza Kukusaidia Hata Wewe Pia ...
... Ili Kufahamu Jinsi Ya Kupona Maumivu Ya Viungo Na Mifupa Haraka .....
Basi Wasiliana Nasi Kwa Whatsapp Kwa Kugusa Link Hapa Chini....

Au Unaweza kunipigia Moja Kwa Moja Kwa Namba....

*Dr moses

📞+255 673834827

PS: Ujumbe Huu Unaweza Usiwepo Hewani Muda Wowote Hivyoo Wasiliana Nasi Mapema Kabla Hujachelewa

01/07/2025

𝗜𝗝𝗨𝗘 𝗣𝗨𝗥𝗘 𝗔𝗡𝗗 𝗕𝗥𝗢𝗞𝗘𝗡 𝗚𝗔𝗡𝗢𝗗𝗘𝗥𝗠𝗔 𝗦𝗣𝗢𝗥𝗘𝗦 (𝗞𝗜𝗕𝗢𝗞𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗦𝗨𝗚𝗨) 𝗡𝗔 𝗙𝗔𝗜𝗗𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 👇
⏺ Huongeza Kinga mwilini
⏺ Ni nzuri kwa walio ugua mda mrefu
⏺ Ni nzuri kwa waliokuwa na shida ya kutanuka kwa Moyo
⏺ Nzuri kwa wenye shida ya shinikizo la damu
⏺ Nzuri kwa wenye shida ya Kisukari
⏺ Huondoa Sumu mwilini
⏺ Huondoa uvimbe mwilini
⏺ Huondoa goita ikitumika na Zaminocal plus
⏺ Huondoa Maumivu makali ya viungo mwilini
⏺ Huongeza uwezo wa mwili kutengezeneza damu
⏺ Huimarisha seli za ubongo hivyo hudhibiti hali ya kusahau
⏺ Huimarisha macho
⏺ Huongeza nguvu za kiume
⏺ Huondoa vimelea vya Saratani
⏺ Huimarisha ngozi yako
⏺ Hutibu magonjwa katika mfumo wa upumuaji
⏺ Huondoa Hernia Aina zote ikiwa na Yunzhi pamoja na ( novel au Prostatrelax capsules) kulingana na eneo ilipo na kwa jinsia husika
⏺ Hujenga Kinga ya mwili dhidi ya magojwa mbalimbali.

28/06/2025

KUKAA NA CHANGAMOTO MDA MREFU INAKUFANYA UTUMIE GHARAMA KUBWA KUJITIBU FANYA MAAMZI MAPEMA UPONE
0673834827

21/06/2025

*ONDOA SUMU MWILINI KWA KUTUMIA TIBA LISHE*

*VYANZO VYA SUMU*

*Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;*
*◻Matumizi ya dawa mara kwa mara*
*◻️ Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara*
*◻️ Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia*
*◻️ Ukosekanaji wa lishe na mlo kamili.*
*◻️ ya madawa makali.*
*◻️ Uzito mkubwa*
*◻️Mitindo ya maisha*
*◻️Njia za uzazi wa mpango za kisasa*



*DALILI ZA KUWA SUMU NYINGI MWILINI*
*▫️Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.*
*K**a mfumo wa mwili utaelemewa na sumu basi ngozi itafanya kazi ya ziada*
*kuziondoa hivyo waweza kuhisi hali mbalimbali ktk ngozi yako(skin conditions&rushes)*
*▫️Kuwa na uzito wa kupindukia*
*▫️KUKUA KWA TUMBO LA CHINI (Belly)*
*Sumu hukusanyika ktk tumbo la chini na kufanya linenepe na njia pekee ya kuliondoa ni kusafisha sumu tu.*
*▫️Kutopata choo au kupata choo kigumu*
*▫️Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza*
*▫MAUMIVU SUGU YA KICHWA*
*Mara nyingi maumivu yasiyokoma ya kichwa ni kiashiria kuwa mwili umeelemewa sumu hasa mlundikano wa taka na vimiminika sumu ktk mfumo wa kati wa neva.*
*▫️ ULIMI KUWA WA NJANO AU MWEUPE*
*Rangi hizi ktk ulimi huashiria hali fulani mwilini na mara nyingi huonesha kiwango cha juu cha sumu mwilini hasa mabaki sumu ya chakula na utek**asi unaohusika na chakula hivyo huashiria kuwa mwili unapambana kuziondoa.*
*▫️JASHO- kutoa jasho jingi lenye harufu*
*▫️ KUKOSA USINGIZI (Insomnia)*
*▫️Kupata miwasho*
*▫️Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti, nyonga*
*▫️ na hasira mara kwa mara.*
*▫️Tumbo kujaa gesi nk*


*MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU*
*◽Kukosa hamu ya tendo la ndoa*
*◽Kupata maambukizi ya figo*
*◽ Kupata maambukizi ya ini*
*◽Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)*
*◽ Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.*
*◽ Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)*
*◽ Mvurugiko wa homoni (Hormone imbalance) na kupelekea hedhi kuvurugika,*
*◽ maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.*
*◽ Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.(uvimbe kwenye kizazi,saratani ya kizazi

*MATIBABU*
*✅Tumia tiba special ambayo itaondoa sumu mwilini. Kwa mawasiliano zaidi 06.. Kisha tuma ujumbe WhatsApp/Normal (Sumu mwilini)*

21/06/2025

MADHARA YA UGONJWA WA P.I.D DALILI NA TIBA YAKE

PID( Pelvic Inflammatory Disease)
Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)

Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC

WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D

1.Kupitia ngono zembe

2.Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja

3.Kufanya mapenzi bila kutumia kinga

4.Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono

5.Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara

6.Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba

7.Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako

8.Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)

9.Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu

DALILI ZA P.I.D

1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa

2.Uke kutoa harufu mbaya

3.Kuwashwa sehemu za siri

4.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

5.Uke kuwa mlaini sana

6.Maumivu wakati wa tendo la ndoa

7.Kuvurugika kwa hedhi

8.Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi

9.Maumivu wakati wa kukojoa

10.Homa, uchovu na kizunguzungu

MADHARA YA UGONJWA WA P.I.D

1 Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi

2.Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba

3.Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi

4.Ugumba kwa mwanamke

5.kupata kansa ya shingo ya uzazi

JINSI YA KUEPUKANA NA P.I.D

Japo kuwepo na tiba za kujitibu lakini unashauriwa kinga ni bora kuliko tiba hivyo zingatia yafuatayo;-

1.Epuka kufanya ngono zembe

2.Usifanye mapenzi baada ya kujifungua au mimba kutoka

3.Weka tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara

4.Kuwa msafi na nguo zako za ndani

MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE. Kutokana na sababu mbalimbali, wanawake wengi hupatwa na tatizo la maumiv...
21/06/2025

MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE.

Kutokana na sababu mbalimbali, wanawake wengi hupatwa na tatizo la maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa nyakati tofauti.

- Maumivu haya mara nyingi hutokea katika kibofu cha mkojo au katika via vya uzazi vya mwanamke.

- Mara nyingi ni ngumu kujua sababu hasa ya maumivu , lakini kwa kuzingatia dalili na maelezo ya mgonjwa ,daktari anaweza kujua chanzo cha tatizo.

DALILI NA SABABU ZA MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE.

√ Dalili kuu ni maumivu ,ambayo yanaweza kuwa chini ya kitovu katikati, kulia na kushoto. Kuna yale ya upande mmoja yanayosambaa.

√ Kuna maumivu mengine chini ya kitovu huwapata wanawake wanaposhiriki tendo la ndoa kwa ndani ya uke au chini ya kitovu.

√ Pia yapo ambayo huwapata wanawake wakati wameinama, wakati wa kunyanyua vitu vizito, wakati wa kucheka au kuimba, na wngine wakiwa wamelala kifudifudi.

SABABU

1. Mirija ya uzazi kujaa maji mazito na machafu ambayo huzuia yai kutembea kwenye mirija ya uzazi.
Mwanamke ambaye amewahi kuambiwa na daktari kwamba anatakiwa asafishwe kizazi chake/mirija ya uzazi na wakati huo huo anasikia maumivu chini ya kitovu kushoto na kulia au upande mmoja kuna uwezekano akawa na tatizo la mirija ya uzazi kuziba kutokana na kujaa maji machafu.

2. Kutokukomaa kwa mayai ya uzazi.
Hii husababisha vifuko vya mayai ya uzazi kuvimba(ovaritis) na kumletea mwanamke maumivu chini ya kitovu mithili ya kichomi. Mwanamke ambaye anamaumivu chini ya kitovu na wakati huo huo ana matatizo ya hedhi mfano hedhi kukoma au kutokuwa na mpangilio maalum kunauwezekano mkubwa akawa na tatizo la vifuko vyake vya mayai ya uzazi kutokomaza mayai na hivyo mayai kutotoka kwenye vifuko hivyo na kusababisha kuvimba na hatimaye kumsababishia mwanamke maumivu makali mithili ya kichomi.

3. Kuvimba kwa kuta za mji wa mimba na kuta za mirija ya uzazi (PID/Pelvic Inflamatory Disease).
Mwanamke anayesikia maumivu chini ya kitovu katikati na pembeni kwa wakati mmoja na wakati huo huo akawa anatokwa na uchafu mzito mithili ya maziwa mtindi kunauwezekano akawa na PID hasa hasa k**a amewahi kukumbwa na tatizo la kuharibika kwa mimba kabla haijafikisha miezi mitano.

4. Afya mbovu ya kibofu cha mkojo ikiambatana na matatizo ya maambukizi kwenye mfumo mzima wa mkojo (UTI). Maumivu chini ya kitovu yanayohusisha afya mbovu ya kibofu cha mkojo huambatana na mgonjwa kutoa haja ndogo kidogo sana ila mara kwa mara.

•TIBA.
√ matatizo haya yanatibika, hivyo ni vizuri kwenda hospitali ili ufanyiwe uchunguzi na kupewa tiba sahilili kutokana na chanzo cha tatizo lako.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Moses-tiba ya afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Moses-tiba ya afya yako:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share