Afyafuraha

Afyafuraha Elimu na shauri kuhusu afya ya Uzazi

11/02/2025

JE, UNAELEWA NINI KUHUSU TEZI DUME?

12/07/2023

HUU NDIO MMEA WA AJABU....

MAMBO YAKE NI ZAIDI YA MUONEKANO WAKE.....

Karibu ujifunze zaidi, hakika utakuja kunishukuru....

KUMBUKA ni bure.... hakuna malipo yoyote....

whtspp 0657608674

12/07/2023
12/07/2023
12/07/2023
12/07/2023
12/07/2023

*PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)*
-Ni maambukizi kwenye via vya uzazi vya mwanamke yaani uterus, Fallopian tube, o***y na parametrium.

*💥 HUSABABISHWA NA WADUDU WAJULIKANAO K**A:*
🖍️Gonococci
🖍️Chlamydia
Hawa wawili ndo visababishi vikubwa vya PID, na vinginevyo K**a vile:
🖍️ Staphylococcus
🖍️ Streptococcus
🖍️ Coliforms
🖍️ Mycoplasma
🖍️Colistridium perfringens

🔷Kwa Asilimia Kubwa huenezwa Kwa njia ya tendo la ndoa.
🔷Njia zingine ni k**a:
👉 Wakati wa ukuwekewa kitanzi cha uzazi wa mpango
👉 Wakati wa kutoa mimba
👉 Wakati wa kujifungua
👉 Wakati wa Upasuaji wa endometrium
*💥 DALILI ZA PID💥*
🖍️Kutoka uchafu usio wa kawaida ukeni, wenye rangi ya maziwa mtindi yaani mweupe
🖍️ Muwasho ukeni
🖍️ Maumivu makali ya Tumbo, chini ya kitovu
🖍️ Harufu mbaya ukeni
🖍️ Hedhi isiyoeleweka yaani Mara mbili ndani ya mwezi mmoja
🖍️ Maumivu makali wakati wa hedhi
🖍️ Maumivu wakati wa kufanya mapenzi
🖍️Kutoka damu baada ya tendo
🖍️ Kichefuchefu
🖍️Kukosa hamu ya kula
🖍️ Kuchokachoka
🖍️ Maumivu ya kiuno Wasiliana nami https://wa.me/+255657608674

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afyafuraha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afyafuraha:

Share