
13/06/2022
YAJUE MADHARA YA KUJICHUA (PUNYETO)
Inaaminika kuwa watu wengi wanaojichua ni wale ambao hawana wenza (mahusiano ya kimapenzi) na watumia njia hii ili kujiridhisha kihisia kwa maana wanapo patwaa na hamu ya kushiriki tendo wanatumia punyeto k**a plan B
Matokeo baada ya punyeto ni:-
i) UUME KUWA LEGELEGE
Kwasababu unapojichua unatumia mkono na ni mgumu sana na uume ni mlaini kwa maana umeshikiliwa na mishipa midogo midogo hivyo unapo jichua kwa muda mrefu unadhoofisha utendaji kazi wake na kukosa nguvu hivyo uume utasimama kwa taabu sana
ii) KUWAHI KUFIKA KILELENI
Hii ni kwasababu wakati wa kujichua unatumia muda mfupi sana kwa kawaida mwili una tabia ya kujijengea mazoea na (kujicondition) na wakati wa tendo utakuuwa unatumia muda ule ule wakati ulipo jichua
iii) KUKOSA NGUVU
Waathirika wengi wa punyeto wanakuwa dhaifu sana hasa maeneo ya viungo k**a magoti, mikono na mwili Kwa ujumla
iv) KUKOSA HAMU YA TENDO
Kujichua kunachangia kuvurugika kwa hormones lakini kudhoofika kwa utoaji wa taarifa kutoka kwenye ubongo kwenda kwenye mfumo wa uzazi hali hii inaweza kukufaanya ukashindwa kurudia tendo kabisa ama kuchukua mda mrefu kuweza kuanza tena na mara nyingi mtu anaweza kushiriki tendo bila yeye kujisilia ladha yoyote
v) Maumivu ya nyonga,kiuno na viungo kwa ujumla.
vi) Uwezekano wa kupungua kwa mbegu za kiume na uwezekano wa kupata mtoto ni kutokana na upungufu wa madini katika mfumo wa uzazi hii husababisha mbegu kutoka chache na nyepesi mno
K**a na wewe ni muathirika wa punyeto ni vema zaidi kupata msaada waa haraka kuondokana na madhaifu yake kwa maana mtu alie athirika na punyeto atashindwa kushiriki tendo kwa ufasaha na kupata aibu
Tuma ujumbe WhatsApp kwa kuandika neno
WhatsApp
+25546489976