Afya ya Moyo, Kisukari, Uzito Na kiharusi

Afya ya Moyo, Kisukari, Uzito Na kiharusi Tibalishe ya kisukari, presha, kiharusi, magonjwa ya moyo, uzito mkubwa na kitambi. ushauri na mtindo mzuri wa maisha.

Chembe ya moyo inatokana na moyo kukosa damu ya kutosha yenye oxygen. Na hii ni baada mishipa ya damu kuathiriwa na chol...
10/01/2020

Chembe ya moyo inatokana na moyo kukosa damu ya kutosha yenye oxygen. Na hii ni baada mishipa ya damu kuathiriwa na cholesterol. Suluhisho tunalo. Piga hizi namba kupata ushauri 0788952031

2020 no diabetes, no hypertension, no heart disease, no stroke no overweight. Happy New Year.
01/01/2020

2020 no diabetes, no hypertension, no heart disease, no stroke no overweight. Happy New Year.

31/12/2019

2020 ni Mwaka wa kuweka malengo, kuamini na kutenda, thanks

Tiba ya maradhi sugu yasiyoambukiza ipo kwenye lishe zetu.
30/12/2019

Tiba ya maradhi sugu yasiyoambukiza ipo kwenye lishe zetu.

K**a sukari yako haileweki saa nyingine inapanda sana, saa nyingine inashuka kidogo na umejaribu kunywa dawa nyingi bila...
30/12/2019

K**a sukari yako haileweki saa nyingine inapanda sana, saa nyingine inashuka kidogo na umejaribu kunywa dawa nyingi bila kustablise wasiliana nasi upate Tibalishe ambazo zinaponya kabisa. Call 0767881000 au wasap 0788952031

Angina ni maumivu makali sana ya kifua upande wa kushoto kwenye moyo ambayo yanawasambaa hadi begani mkono wa kushoto. K...
28/12/2019

Angina ni maumivu makali sana ya kifua upande wa kushoto kwenye moyo ambayo yanawasambaa hadi begani mkono wa kushoto. K**a unasumbuliwa na Angina tupigie tukupe dawa 0767881000 au wasap 0788952031

Cholesterol ikiziba mshipa mdogo kwenye ubongo husababisha ubongo kukosa damu yenye oxygen na virutubisho na mwishowe un...
28/12/2019

Cholesterol ikiziba mshipa mdogo kwenye ubongo husababisha ubongo kukosa damu yenye oxygen na virutubisho na mwishowe unapata kiharusi au stroke. Wakati mwingine mshipa unaweza kupasuka na kusababisha damu kuchanganyika na ubongo. Oxidation of cholesterol into plaque is very dangerous.

Unaweza ukawa umefanya kipimo cha lipid profile na ukaambiwa huna cholesterol nyingi kwenye damu lakini presha yako koi ...
23/12/2019

Unaweza ukawa umefanya kipimo cha lipid profile na ukaambiwa huna cholesterol nyingi kwenye damu lakini presha yako koi juu sana au una chembe ya moyo au unapata shambulio la moyo kwasababu kuna cholesterol ambazo huwa zinaziba mishipa ya damu na,kusababisha damu kutozunguka vizuri. Mara nyingi hakuna vipimo vya kutambua cholesterol zilizoganda kwenye mishipa ya damu. Habari njema ni kwamba tuna tiba ya kubalance kiwango cha cholesterol na kuondoa mafuta yanayoganda kwenye mishipa ya damu.

Inashauriwa mtu ale samaki mara tatu kwa wiki kwasababu samaki wana mafuta ya Omega 3 ambayo husaidia kubalance mafuta y...
16/12/2019

Inashauriwa mtu ale samaki mara tatu kwa wiki kwasababu samaki wana mafuta ya Omega 3 ambayo husaidia kubalance mafuta ya Omega 6 mwilini ambayo huganda kwa urahisi.

One of my client ambaye alikuwa na cholesterolnyingi kwenye damu. Baada ya kutumia tibazetu record zake za cholesterol z...
15/12/2019

One of my client ambaye alikuwa na cholesterolnyingi kwenye damu. Baada ya kutumia tibazetu record zake za cholesterol ziko vizuri sana.

Usikubali kisukari kikutese ndugu tiba ipo.
15/12/2019

Usikubali kisukari kikutese ndugu tiba ipo.

Je wewe ni muhanga wa kisukari nanachoka sana,  Nguvu za kiume zimepungua sana, macho yako hayaoni vizuri, unapata ganzi...
15/12/2019

Je wewe ni muhanga wa kisukari nanachoka sana, Nguvu za kiume zimepungua sana, macho yako hayaoni vizuri, unapata ganzi na vichomi mara kwa mara? Tupigie simu tukupe siri ya kukabiliana na kisukari kwa tibalishe. Call 0767881000 au WhatsApp no 0788952031

P.I.D ,Pelvic Inflamatory diseases is a chronic disease kwasasa due to lifestyle. Tunaweza kukusaidia k**a una hii chang...
15/12/2019

P.I.D ,Pelvic Inflamatory diseases is a chronic disease kwasasa due to lifestyle. Tunaweza kukusaidia k**a una hii changamoto na ukipona ni rahisi kushika ujauzito. Hongera mama kijacho kwa matokeo uliyopata. Call us or whatsApp 0788952031.

K**a hauoendi tumbo lako au mwili wako na unahitaji suluhisho piga 0767881000
15/12/2019

K**a hauoendi tumbo lako au mwili wako na unahitaji suluhisho piga 0767881000

Kinachosababisha ni mwili wako unakuwa unahifadhi zaidi mafuta kuliko kuchoma mafuta kwasababu ya vyakula vya wanga, suk...
15/12/2019

Kinachosababisha ni mwili wako unakuwa unahifadhi zaidi mafuta kuliko kuchoma mafuta kwasababu ya vyakula vya wanga, sukari na mafuta. Piga simu leo utapata ushauri 0767881000 au 0788952031

K**a una cholesterol nyingi kwenye damu  na unatafuta suluhisho tupigie simu leo tunapokea simu zote 0767881000 au 07889...
15/12/2019

K**a una cholesterol nyingi kwenye damu na unatafuta suluhisho tupigie simu leo tunapokea simu zote 0767881000 au 0788952031

K**a umejifungua na tumbo lako halijarudi katika hali yake ya kawaida na limetepeta au linaning'inia anza program ya daw...
13/12/2019

K**a umejifungua na tumbo lako halijarudi katika hali yake ya kawaida na limetepeta au linaning'inia anza program ya dawalishe ambayo inaondoa mafuta tumboni na kukaza misuli ya tumbo iliyolegea. Pia inaondoa manyamauzembe na michirizi tumboni. WhatsApp 0788952031

Sugar is Poison
13/12/2019

Sugar is Poison


Address

Victoria Street
Dar Es Salaam
150000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya Moyo, Kisukari, Uzito Na kiharusi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya Moyo, Kisukari, Uzito Na kiharusi:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram