AfyaBora Nutrition organization

  • Home
  • AfyaBora Nutrition organization

AfyaBora Nutrition organization Elimu ya afya na lishe

Karume memorial day
07/04/2025

Karume memorial day

WIKI YA UNYONYESHAJI Agosti 1-7Kauli Mbiu: "Tatua Changamoto: Saidia Unyonyeshaji kwa Wote".Je, unajuwa wajibu wako kati...
01/08/2024

WIKI YA UNYONYESHAJI Agosti 1-7

Kauli Mbiu: "Tatua Changamoto: Saidia Unyonyeshaji kwa Wote".

Je, unajuwa wajibu wako katika kuendeleza unyonyeshaji wa watoto hadi wanapofika miaka miwili kwenye jamii?

Tuambie, tujifunze.



.j.joseph

.mindfuleating

Kuelekea siku ya Ulinzi wa unyonyeshaji Duniani Afyabora Nutrition Organization kwa kushirikiana na JJBO tumeandaa mkuta...
19/05/2024

Kuelekea siku ya Ulinzi wa unyonyeshaji Duniani Afyabora Nutrition Organization kwa kushirikiana na JJBO tumeandaa mkutano ambao utafanyika mtandaoni kupitia Google meeting ambao utafanyika siku ya tarehe 21/05/2024.

Mada: Athari za mazingira ya chakula mtandaoni katika Unyonyeshaji na ulaji wa watoto chini ya miaka 5.

Jisajili sasa kujiunga nasi siku hiyo
Link👇🏾👇🏾👇🏾

https://afyaboranutritionorg.blogspot.com/2024/05/world-breastfeeding-protection-day-live.html?m=1

On Saturday, we engaged in a productive session at MOSHI FM online focusing on nutrition and non-communicable diseases (...
12/05/2024

On Saturday, we engaged in a productive session at MOSHI FM online focusing on nutrition and non-communicable diseases (NCDs), where we had the privilege of meeting a distinguished presenter from the leading radio station in the Northern Zone. Keep listening to 90.7 for more insightful content.

"Exciting collaboration in the works! Our Executive Secretary, Mr. Khelef Khalfan, had a fruitful meeting with MyBirthda...
15/01/2024

"Exciting collaboration in the works! Our Executive Secretary, Mr. Khelef Khalfan, had a fruitful meeting with MyBirthday tree Tz today to explore ways to link climate and nutrition. 🌳🍏 Stay tuned for the positive impact we can create together!

On Every 12 January Tanzania 🇹🇿 celebrates Zanzibar revolution day.The government   led by Hon Abeid Karume in 1964. Thi...
12/01/2024

On Every 12 January Tanzania 🇹🇿 celebrates Zanzibar revolution day.
The government led by Hon Abeid Karume in 1964. This revolution was to overthrow the government that was led by Oman's Sultan.
Hon Abeid Karume became the first president of Zanzibar, the president of people. Since then Zanzibar have noticed improvements in all sectors Including the currently highly growing sector of the core foundation of and

Happy Zanzibar Revolution Day everyone, let's keep promoting and .





.mindfuleating

Wishing you a joyous Christmas filled with warmth, laughter, and the company of those you hold dear. May the spirit of t...
25/12/2023

Wishing you a joyous Christmas filled with warmth, laughter, and the company of those you hold dear. May the spirit of the season bring you moments of peace and reflection, and may the new year ahead be adorned with opportunities for growth, success, and boundless happiness. Merry Christmas from AFYABORA Nutrition Organization to you and your loved ones! Ho ho ho 🎄🎅

Happy Independence Day Tanzania!  Wizara ya Afya Tanzania Maendeleo ya JamiiTFNC TanzaniaWiLDAFUSAID Tanzania
09/12/2023

Happy Independence Day Tanzania!




Wizara ya Afya Tanzania
Maendeleo ya Jamii
TFNC Tanzania
WiLDAF
USAID Tanzania

Unga mkono uongozi wa jamii kwenye Siku ya Ukimwi, Simama pamoja, wezesha wenzako, na chochea mabadiliko. Kupitia maarif...
01/12/2023

Unga mkono uongozi wa jamii kwenye Siku ya Ukimwi, Simama pamoja, wezesha wenzako, na chochea mabadiliko. Kupitia maarifa na ushirikiano, tunajenga njia kuelekea jamii isio na unyanyapaji na ubaguzi. Kila sauti ina umuhimu, kila hatua inahesabu.

Jiunge nasi kumaliza Ukimwi Tanzania. Pamoja, sisi ni chachu ya mabadiliko chanya.


28/11/2023

Wanawake ulimwenguni kote wanaotumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wako katika hatari ya unyanyasaji wa kijinsia unaofanywa kwa njia mbalimbali hasa mitandao ya kijamii.

Jamii inapaswa kupinga matumizi mabaya ya Teknolojia (Mitandao ya Kijamii) yenye lengo la Kumshambulia au kumdhalilisha Mwanamke ili kupunguza Madhara na kulinda Usalama, Afya na Haki za Wanawake na Wasichana.






Maendeleo ya Jamii
TGNP
WiLDAF
TFNC Tanzania
Cloudsmediatz

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfyaBora Nutrition organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AfyaBora Nutrition organization:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share