
23/05/2023
k**a mama wa nyumbani unawezaje kutumia kitunguu saumu kuondoa harufu mbaya ukeni..
Zingatia hatua zifuatazo zitakusaidia sana
✓ Chukuwa punje ya kitunguu saumu yenye ukubwa na imenye ili kuondoa maganda yake
✓ Ichomechome hiyo punje matundu unaweza kutumia uma au ncha ya kisu na uiache kwa dakika 5 ( itatoa majimaji na kuiruhusu itoe kiwango kingine cha allicin)
✓ Baada ya kuandaa punje yako ichome kwenye mafuta ya mzeituni (hii husaidia kuondoa muwasho wa kitunguu saumu unapokiweka ukeni)
✓ Baada ya kukichovya kwenye mafuta kitoe na kifunganishe kwenye kitambaa safi na kukiweka ukeni na kukitoa baada ya masaa walau 6 hadi 12
NB:muda mzuri wa kukiweka ni usiku na kuitoa asubuhi.
Kuna njia njia nyingi za kiasili ila hii mojawapo karibu kwenye group link kwenye bio baada ya kufanya hivyo utanipa feedback