Jifunze elim ya tiba na Anko K

  • Home
  • Jifunze elim ya tiba na Anko K

Jifunze elim ya tiba na Anko K Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jifunze elim ya tiba na Anko K, Therapist, .

FUATILIA KISA hiki chaajabu Binti aliekuwa sababu ya wachawi kugombana kwaajili ya urembo wake
16/12/2023

FUATILIA KISA hiki chaajabu Binti aliekuwa sababu ya wachawi kugombana kwaajili ya urembo wake

13/08/2023

Mtoto mwenye kipaji Cha kuomba Dua anakualika kwenye Dua zake

03/06/2023

Sheikh Alia Kwa uchungu katika mawaidha maa shaa allah

K**a mtakua na kumbukumbu nyie wahenga miongoni mwa wazee waliopigania uhuru wa Tanganyika alikuepo Mzee Mmoja akitokea ...
16/03/2023

K**a mtakua na kumbukumbu nyie wahenga miongoni mwa wazee waliopigania uhuru wa Tanganyika alikuepo Mzee Mmoja akitokea upareni akiitwa Mzee Amos kisenge.

Mzee huyu alishirikiana na Mzee Nyerere na kufunga safari ya kwenda Tanga kwaa ajili ya kuonana na viongozi wa tanu kina Mzee khamisi kheri sheikh Abdallah Rashid sembe mwalim kihere pamoja na viongozi wengine

Ili kuweka udhibiti wa upinzani wa kura tatu ndani ya chama upinzani huu ilikua ukiongozwa na sheikh Suleiman taqdir pamoja na mwenyekiti wa baradha la wazee wa tanu pamoja na katibu wake mkuu Zuberi mtemvu

Sasa huyu Mzee Amos kisenge aliekua na Nyerere nae kakumbukwa Kwa kupewa heshima ya barabara iitwayo barabara ya kisenge hivyo msiitafsiri vibaya barabara hii Bali ni bara bara nzuri tu ya mtu aliepambana kwaajili ya nchi yetu

Bado babu yangu Mzee kundya maana nae alifanya makubwa katika uhuru nilisikia nae anatazamiwa kupewa barabara Sasa siku mkiona barabara ya kundya tu mjue naanza kukusanya ushuru😅😅maana mtajua hamjui

Naaam  NDUGU zangu ebu tupate faida hii chache k**a una kesi au mashauri ya vikaoNa huenda kikao kinakuhusu Wewe Kwa TAT...
12/02/2023

Naaam NDUGU zangu ebu tupate faida hii chache k**a una kesi au mashauri ya vikao
Na huenda kikao kinakuhusu Wewe Kwa TATIZO ulilofanya nawe umeonea ili kuziba midomo ya vihere here basi andika hii NA majina ya hao vihere here kisha vaa kofia au kilemda basi funga pamoja na icho kilemba kwa upande wa mbele tia nia nenda basi utasalimika kwa msaada wake mola mlezi wa viumbe shukran

 . NAAM NAJUWA NDUGUYANGU USIKU WA KUAMKIA LEO UMEOTA NDOTO KILA UKIIFIKILIA AUPATI JIBU ELEZEA NDOTO YAKO KWENYE COMENT...
10/02/2023

. NAAM NAJUWA NDUGUYANGU USIKU WA KUAMKIA LEO UMEOTA NDOTO KILA UKIIFIKILIA AUPATI JIBU ELEZEA NDOTO YAKO KWENYE COMENT KISHA UTAMALIZIA JINA LAKO HALISI NA LA BABAAKO NITAKUJIBU🤝.
🙏

Weka no Yako hapa tukuingize kwenye group la whats app group la kujifunza elim ya Tiba pamoja na dawa mbali mbali au njo...
16/12/2022

Weka no Yako hapa tukuingize kwenye group la whats app group la kujifunza elim ya Tiba pamoja na dawa mbali mbali au njoo what's app Kwa 0713521944

Kwa mara ya kwanza tumeanza kutoa products zetu hapa Tanzania baada ya mda mrefu kuwa dawa zetu tulikua tukizipeleka nje...
05/12/2022

Kwa mara ya kwanza tumeanza kutoa products zetu hapa Tanzania baada ya mda mrefu kuwa dawa zetu tulikua tukizipeleka nje ya nchi tu.

Sasa wewe mkazi wa tz na hata nje ya tz unaruhusiwa kununua dawa hii inayotibu jino au meno Kwa siku Moja tu dawa utaitumia mara mbili yaani asubuhi na jioni tu

Dawa hii imetolewa Kwa ihsani ya taasisi ya almunawwara taasisi ambayo IPO chini ya Anko K

Pia tunaruhusu mawakala kutoka mikoani na hata hapa dar es salaam

Dawa hii inapatikana Kwa gharama ya sh. 5000 Elfu Tano ya kitanzania ndugu zangu wakenya mnielewe vizuri nakusudia elfu Tano Tanzania shilings

Dawa hii utaipata gongo la mboto stendi njia ya kuingilia sokoni duka lililoandikwa teacher yaani tukiwa na maana duka la mwalimu wa kufundisha elim ya tiba wilaya ya ilala

Jirani ya duka Hilo kulia kunauzwa mabegi na kushoto kunauzwa mchele katikati ndo lipo Hilo duka

Ukifika hapo utakutana na kijana wa kipemba mwenye kujipenda na kuipenda biashara yake aitwae Ahmad mwambie nataka dawa inayoitwa MENO IMARA

Namba za simu za dukani ni 0629554461

pia unaweza kununua na dawa zetu zingine nyingi zilizopo hapo na ukitaka ushauri wowote hapo bas utamkuta Mzee Mmoja mweupe mrefu Mzee wa kinyaturu Mzee sumbwa gwiji la singida atakushauri ipasavyo Mzee huyu ni khatari waganga woote wa dar ukiwauliza wanamtambua

Ok ahsanteni sana Kwa kunisikiliza ndugu zangu

MUME ANAYEKUPENDA 📌1. Hukwambia kuwa anakupenda kila siku. Wakati mwingine atakwambia anakupenda mara kadhaa ndani ya si...
05/12/2022

MUME ANAYEKUPENDA 📌

1. Hukwambia kuwa anakupenda kila siku. Wakati mwingine atakwambia anakupenda mara kadhaa ndani ya siku moja.

2. Ni muungwana na huishi na wewe k**a malkia. Hukushika mkono mnapotembea na kuvuka barabara.

3. Mume akupendaye atakupeleka matembezini angalau mara moja kwa wiki. Anajua umuhimu wa kukaa pamoja wewe tu bila watoto.

4. Mara zote hukuombea mema kwa Mwenyezi Mungu.

5. Mume anayekupenda kila siku anakuhamasisha kuendeleza vipawa na vipaji vyako. Na huwa anajivunia vipawa vyako.

6. Hachoki kukwambia anakupenda na unavutia hata zile nyakati ambazo unajihisi kuwa huna mvuto.

7. Akienda kwenye ibada hupenda uongozane naye.

8. Hasiti kukusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani k**a kufanya maandalizi ya kitanda nk.

9. Hukuamini kwenye matumizi ya fedha na amekuwa hivyo siku zote.

10. Daima amekuwa mwaminifu kwako. Kamwe hajawahi kutetereka katika kushik**ana na ndoa yenu, licha ya majukumu yake nje ya nyumbani.

11. Hupenda chakula upikacho na hajawahi kulalamikia mapishi yako, zaidi atakwambia uongeze juhudi.

12. Hasiti kukununulia zawadi yoyote hata k**a iwe ndogo kiasi gani, atakuletea.

13. Hatochoka kukusaidia kazi za nyumbani kipindi ambacho unaujauzito au unaumwa.

Mniombee Dua Niendelee kua hivihivi maana Tabia hii nilijifunza na kuiga Kwa kakaangu alhaji dokta suley nilivyosafiri nae baadhi ya mikoa kikazi nae akiwa na wake zake wawili mwanzo nilidhani anaekt mbele yetu ila siku zilivyozidi kwenda na kuishi zaidi ya miezi mitatu kikazi mikoa mbalimbali ndipo nikajua kua huyu ni mtu wa ajabu nikaiba hiyo tabia mpaka Leo mbali na kwamba anamapungufu yake lakini katika maisha ya ndoa nilijifunza makubwa mno

USIACHE FURSA YOYOTE ITOKEAPO MBELE YAKO MAISHA TULIONAYO NI MTIHANI *"Mwanangu sikwambii uache kusoma au uache kazi lak...
04/12/2022

USIACHE FURSA YOYOTE ITOKEAPO MBELE YAKO MAISHA TULIONAYO NI MTIHANI

*"Mwanangu sikwambii uache kusoma au uache kazi lakini ukikutana na Fursa nzuri usiiache kamwe."* *"Mwanangu utamaliza Chuo baada ya Miaka 25..."* Jumla ya ada yako tangu unaanza shule mpaka unamaliza ni *Milion 16,800,000/= Tshs*. Tanzania itakupa Mshahara wa *Laki 7 (Tshs 700,000/=)* kila mwezi kwa degree yako TU.

Ila.,
Toa asilimia *10% NSSF* (70,000/=) Toa *Kodi asilimia 9%* (63,000/=) Toa *Helsb asilimia 15%* (105,000/=) Toa *NHIF asilimia 3%* (21,000/=) Utabakiwa na *Tshs. 441,000/=* Toa *Nauli kwa mwezi* Tsh 90,000/= Toa *Chakula cha Mchana* Tsh.90,000/= Toa *Pango* Tsh.100,000/= Toa *Chakula cha nyumbani* Tsh.90,000/= Toa *Gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi* Tshs. 30,000/= Utabakiwa na *Tshs 41,000/=* Toa *bill ya Maji* 10,000/= na *Bill ya umeme* 20,000
Utabaki na *Tshs 11,000/=* Weka na *Chupa ya Maji ya kunywa* ya 600/= ya bakheresa.
Hapo naona mwanangu k**a utakuwa unadaiwa kila mwezi.
Basi komaa tu hivyo hivyo siku ziende.

Ukitaka kupiga simu tuma *Tafadhali Nipigie* maana huna budget ya vocha na pesa imekwisha.
Lakini pia usisahau *kutoa zaka na sadaka*. Na pia *usiruhusu wageni kuja kukutembelea nyumbani kwako*, maana hutokuwa na pesa ya kuwanunulia hata soda.

Haya jitahidi Mwanangu siku njema angalia usigongwe na Bodaboda kwa mawazo ya maisha.

04/12/2022

HII NDIO FAIDA YA KUTUMIA KOKWA LA EMBE K**A TIBA

MAJANI YA MTI WA MWEMBE:Majani machanga ya mti wa mwembe yakichemshwa huwa na faida zifuatazo;i. Hutibu pumuii. Hutibu k...
02/12/2022

MAJANI YA MTI WA MWEMBE:

Majani machanga ya mti wa mwembe yakichemshwa huwa na faida zifuatazo;

i. Hutibu pumu

ii. Hutibu kifua kikavu

iii. Hutumika katika kuoshea vidonda vitokanavyo na majeraha mbalimbali(Majani ya maembe yamethibitika kuwa na uwezo mkubwa wa kukausha majeraha ya vidonda)

iv. Unga wa majani ya mwembe hutumika katika kutunza meno ambapo mtu mwenye matatizo ya meno atatakiwa kusukutua kwa kutumia unga unaotokana na majani ya mwembe.

01/12/2022

HII NDIO TIBA SAHIHI YA TATIZO LA KUTOA HARUFU MBAYA MDOMONI

01/12/2022

HII NDIO TIBA NZURI YA MACHUNUSI NA NGOZI

30/11/2022

HII NDIO TIBA SAHIHI YA MENO ISIKILIZE UPATE FAIDA

29/11/2022

Hii ndio tiba SAHIHI ya mtu ambae nywele zake zinanyonyoka baadhi ya sehemu au kichwa kuzima na baadhi ya nywele kukosa afya Bora SIKILIZA video hii ujifunze kitu hapo

29/11/2022

JITIBU matatizo ya maumivu kwenye mwili wako Kwa kutumia Abdallasini na asali

SIKILIZA vizuri video hii ili upate faida

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jifunze elim ya tiba na Anko K posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Jifunze elim ya tiba na Anko K:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share