AFYA JAMII polyclinic

AFYA JAMII polyclinic TIBA YA TEZIDUME ,BAWASILI, VIUNGO NA MIFUPA KUSAGANA, UZAZI, N.K 0752050364

14/09/2022

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME NA TIBA YAKE.
( +255624905063 )
Dalili za kupanuka kwa tezi dume

Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya 40+ , Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.
Dalili za kutanuka kwa tezidume ni k**a zifuatazo:

Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.

kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka, Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa

Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.

Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.

Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.

Kibofu hakiishi mkojo.

Matatizo ya tezi dume iliyotanuka

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

Mkojo kukosa kutoka kabisa

Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.

Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.
Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.

Maambukizi na mawe
Kwa sababu kibofu hakimimini mkojo wote kuna hatari kubwa ya maambukizi kwenye njia ya mkojo nakuwa na mawe kwenye kibofu.
Kumbuka
Kutanuka kwa tezi dume hakusababishi ugonjwa wa saratani.

Utambuzi wa kupanuka kwa tezi dume
Historia na dalili zikiashiria uwepo wa hali hii, basi uchunguzi ufuatao hufanywe.
Uchunguzi wa ukubwa wa tezi

Uchunguzi huu hufanywa kwa kuingiza kidole chenye glavu nyuma hadi kwenye tezi dume. Daktari huweza kujua ukubwa na hali yake. Iwapo mtu ana ugonjwa huu tezi dume ni kubwa kuliko kawaida, laini na gumu yote pamoja. Iwapo tezi lina vifundo basi inaweza kuwa na kansa (saratani)au inaweza kuwa na

Dalili za tezi kilichopanuka na saratani hufanana.Lazima uchunguzi wa kina ufanywe ili kujua ni ugonjwa upi.

PIGA. (+255624905063) KWA USHAURI ZAIDI

26/08/2022

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME NA TIBA YAKE.
( +255789732751 )

PIGA. (+255789732751) KWA USHAURI ZAIDI

Hivyo damu ya mgonjwa itachukuliwa na kupekwa maabala kuchunguza km ni nyingi kupita kiasi kwenye damu. K**a hii protein...
24/08/2022

Hivyo damu ya mgonjwa itachukuliwa na kupekwa maabala kuchunguza km ni nyingi kupita kiasi kwenye damu. K**a hii protein ipo kawaida basi uvimbe huo sio kansa ni BPH. Lakini km kiwango ni kingi uvimbe huo ni KANSA. Hivyo uchunguzi zaidi unahitajika k**a kuchukua sample ya kinyama kutoka katika tezi na kupeleka maabala.

. Kipimo kingine kinaitwa RE**AL UTRASOUND hiki ni kipimo cha kupiga picha kupitia njia ya haja kubwa (re**al) na kutoa ...
24/08/2022

. Kipimo kingine kinaitwa RE**AL UTRASOUND hiki ni kipimo cha kupiga picha kupitia njia ya haja kubwa (re**al) na kutoa picha kwenye jarida gumu kumsaidia daktari kusoma.

. Hiki ni kipimo cha kupiga picha kibofu cha mkojo kinaitwa CYTOSCOPE. Kumbuka kipimo hiki una ingiziwa waya flani wenye...
24/08/2022

. Hiki ni kipimo cha kupiga picha kibofu cha mkojo kinaitwa CYTOSCOPE. Kumbuka kipimo hiki una ingiziwa waya flani wenye tochi mbele kwenye njia ya mkojo huku huo waya umeunga nishwa kwenye screen. Hivyo chochote huo waya utakacho murika kitaonekana kwenye screen. Ubaya wa hiki kipimo ni kwamba kinaweza kuumiza kuta za njia ya mkojo na baada ya wiki km mbili njia inaweza kuziba mbili jeraha linapo pona. Ila ni kipimo kizuri sana.

. Uchunguzi wa kawaida kwa kutumia kidole kupitia njia ya haja kubwa kuangalia k**a tezi ina tatizo. Kipimo hiki huitwa ...
24/08/2022

. Uchunguzi wa kawaida kwa kutumia kidole kupitia njia ya haja kubwa kuangalia k**a tezi ina tatizo. Kipimo hiki huitwa DIGITAL RE**AL EXAMINATION. Baada ya kipimo hicho daktari huandika alicho kigusa k**a ni ugonjwa au iko kawaida

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI1. Kukojoa mara kwa mara2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu3. Kukujoa sana usiku4. Maumivu wakati ...
24/08/2022

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI
1. Kukojoa mara kwa mara
2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu
3. Kukujoa sana usiku
4. Maumivu wakati wa kukojoa
5.Kupungukiwa nguvu za kiume
6. UTI ya mara kwa mara
7. Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikano wa mkojo.
8. Figo kujaa maji. Hii sababu mkojo huo unarudi nyuma kuelekea figo(hydronephrosis)
9. Kupoteza fahamu(uremia)

. CENTRAL ZONE(SEHEMU YA KATI)~Hii sehemu iko mbele ya transitional zone hivyo uvimbe katika sehemu hii ni vigumu kubain...
24/08/2022

. CENTRAL ZONE(SEHEMU YA KATI)
~Hii sehemu iko mbele ya transitional zone hivyo uvimbe katika sehemu hii ni vigumu kubaini kipitia kipimo hiki cha haraka cha kutumia kidole hivyo tunatumia vipomo vya picha kinaitwa CYTOSCOPY. Hiki ni kipimo cha picha kinacho angalia kipofu cha mkojo na njia ya mkojo na kutoa majibu katika mfumo ya picha au video.

KUKUA KWA TEZI YA KIUME
~Kukua kwa tezi ya kiume kitalamu tunaita BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH). Hili tatizo mara nyingi huanza baada ya miaka 40 hivi na dalili huja kujionesha uzeeni. Hivyo tezi inaweza ikawa kubwa sana lakini haina dalili hii ni kutokana na sehemu gani ya tezi iliyovimba au kuongezeka. Tezi inapoonesha dalili jua tatizo hilo ni sugu na liko ktk hali mbaya

Call / WhatsApp 0752050364

2. TRANSITIONAL ZONE(SEHEMU YA KATI)~ Hii ni sehemu ya tezi ambayo ikikua yani ikiongezeka ukubwa tunasema KUVIMBA KWA T...
24/08/2022

2. TRANSITIONAL ZONE(SEHEMU YA KATI)
~ Hii ni sehemu ya tezi ambayo ikikua yani ikiongezeka ukubwa tunasema KUVIMBA KWA TEZI TUME kitalamu BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH) kuna uwezekano mkubwa wa tezi dume iliyovimba kuzuia njia ya mkojo kupita. Kwani ndio sehemu ya tezi iliyo karibu kabisa na njia ya mkojo. Mara nyingi hii sehemu ikikua ndio inayo sababisha matatizo ya kukojoa(obstructive symptoms). Tezi hii pia daktari anaweza kuibaini kwa kutumia kidole kipomo hiki huitwa DIGITAL RE**AL EXAMINATION(DRE)
hii ni kwa sababu ikikua inasukuma ile sehemu ya pembezoni yani peripheral zone kuelekea njia ya haja kubwa. Hivyo dakatri anaweza kubaini km tezi imekua au laa.
Call / WhatsApp 0752050364

1.PERIPHERAL ZONE(SEHEMU YA NJE)~Hii ni sehemu ya nje ya tezi ambayo madakari wengi hutumia hii tezi kubaini k**a kuna t...
24/08/2022

1.PERIPHERAL ZONE(SEHEMU YA NJE)
~Hii ni sehemu ya nje ya tezi ambayo madakari wengi hutumia hii tezi kubaini k**a kuna tatizo kwenye tezi kwani ni virahisi kiugusa km daktari akiingiza index fingure(kidole cha kusontea) kwenye njia ya haja kubwa. Kukua kwa sehemu hii hakuwezi kuathiri utokaji wa mkojo.
Call /WhatsApp 0752050364

PROSTATE GLAND (TEZI DUME) TATIZO SUGU KWA WANAUME-Hii ni tezi ya wanaume yenye sifa zifuatazo.~Ina umbo km yai(oval sha...
24/08/2022

PROSTATE GLAND (TEZI DUME) TATIZO SUGU KWA WANAUME

-Hii ni tezi ya wanaume yenye sifa zifuatazo.
~Ina umbo km yai(oval shape)
~Ina ukubwa wenye vipimo hivi, upana 4cm na unene 3cm ingawaje hivi vipimo vinatofautiana kwa kila mwanaume.
~Tezi hii ipo inazunguka shingo ya kibofu cha mkojo na kuzunguka mrija unaopeleka mkojo nje(urethra)
~Tezi hii hua yenye ukubwa wa kawaida lakini huongezeka ukubwa kadri ya umri.
~Tezi hii hutengeneza majimaji yenye rutuba ya mbegu za kiume(shahawa)

TUPO TAYARI KUKUHUDUMIA Call / WhatsApp 0752050364
23/08/2022

TUPO TAYARI KUKUHUDUMIA
Call / WhatsApp 0752050364

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Telephone

+255629025271

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA JAMII polyclinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram