Mikanda ya Tumbo original

Mikanda ya Tumbo original Belt and bodyshapers dealer

SAUNA DOUBLE COMPRESSION BELT🔥Belt imara yenye materials halisi ya latex yenye kuzalisha joto uvaapo (kuharakisha uchoma...
25/02/2026

SAUNA DOUBLE COMPRESSION BELT🔥
Belt imara yenye materials halisi ya latex yenye kuzalisha joto uvaapo (kuharakisha uchomaji wa mafuta na kupunguza tumbo na nyama za mgongo na kiuno)
✅SIZE: S M L XL XXL ###L

✅PRICE: 95,000/= (Long lasting belt)

=> kwanini utumie belt hii??🤔
📌Inabana mara mbili zaidi yaani ina hooks (njia tatu) ndani na kubana kwa zip imara juu hivyo kukupa uhakika wa kupungua kwa tumbo na nyama zembe

📌Ina material imara yasiojikunja wala kuumiza, material yenye joto linalo saidia ufanyaji kazi wa mkanda na kumaliza changamoto ya tumbo na nyama za kiuno

📌Inasaidia kupunguza maumivu ya mgongo na ni rahisi kufanyia mazoezi mepesi na mazito, kushinda nao nyumbani au kazini😍

📌belt hii mbali na kupunguza tumbo inakupa shape nzuri ya kiuno, lakini pia unaweza valia nguo yoyote na usijichore kwenye nguo

📌Ina materials imara (unfolding material) ina steel bones nyingi zinazosaidia mkanda usijikunje wala kuumiza

Umepata idea kidogo? Eeh🤔

Lastly: ni long lasting belt yaani uimara wa materials zipp hooks 100% ✅ ☺️☺️ weka order mapema mwaya🥰🥰

☎️0768 820 275 Call or WhatsApp us

✅DELIVERY: 3,000 (normal)

✅FAST DELIVERY: Boda depending na eneo ulilopo

✅MIKOANI: 5,000 au 10,000

NB: ZINGATIA QUALITY❤️

TAITI BANA TUMBO YENYE HOOKS IMARA 👌💕💕❤️❤️ Mzigo mpya wa taiti bana tumbo yenye mkanda juu unaobana vizuri na kukufanya ...
25/02/2026

TAITI BANA TUMBO YENYE HOOKS IMARA 👌💕💕
❤️❤️ Mzigo mpya wa taiti bana tumbo yenye mkanda juu unaobana vizuri na kukufanya kuwa huru, ina hooks imara na materials mazuri yenye uhakika wa kubana tumbo

PRICE: 35,000/=

SIZE: M/L XL/XXL 3XL

DELIVERY: 3,000 (normal)✅

FAST DELIVERY: Boda itategemea na eneo ✅

DETAILS👇👇

🎯Inabana vizuri zaidi
🎯Inashape vizuri
🎯Inabana nyama za kiuno
🎯Inasaidia kubana tumbo
🎯Ina materials mazito
🎯Ina size zote M L XL XXL

📌📌ZINGATIA QUALITY🤏🤏

☎️0768820275 Call/WhatsApp

📍📍MSIMBAZI POLICE/OPPOSITE DAVID SPORTSWEAR

TUPO WAZI HADI SAA 1:00 JIONII🗣🗣🗣🗣💥💥💥

KARIBU DUKANI MTEJA WETU ☺️☺️❤️❤️❤️

NIKUPE SIRI??🤔🤔JE,? UNAIJUA SIRI YA KUPUNGUA TUMBO KWA UHAKIKA BILA KUTUMIA NGUVU?? BASI NAKUPA SIRI YA VITU VINNE (4)  ...
01/02/2026

NIKUPE SIRI??🤔🤔JE,? UNAIJUA SIRI YA KUPUNGUA TUMBO KWA UHAKIKA BILA KUTUMIA NGUVU?? BASI NAKUPA SIRI YA VITU VINNE (4) VYA KUZINGATIA UNAPODHAMIRIA KUPUNGUA TUMBO😌😌

PRICE: 75,000/= strong and durable belt ever✅

SIZE: S M L XL XXL ###L

DETAILS:👇👇

📌Zingatia quality sahihi ya materials ya mkanda unaonunua
📌Hakikisha thickness (unene) wa material ya mkanda isiwe chini ya 4.00mm na weight (uzito) wa mkanda usiwe chini ya kiwango hitajika
📌Kisha hakikisha umepata size sahihi kulingana na tumbo na mwili wako
📌Hakikisha umevaa mkanda wako sio chini ya masaa 8 kwa siku (12 hrs ukiweza)
📌Mwisho hakikisha mkanda unaonunua unashika na kubana vizuri sehem zote 3 za tumbo (chini,kati na juu)

Umepata kitu eeh??😅😅 Oky tumalizie hapa sasa tuna hii belt ya tripple compression belt ambayo ina sifa zote tajwa hapo juu😊😊 karibu tukupe belt sahihi kulingana na uhitaji wako 👇👇👇

TRIPPLE COMPRESSION BELT🗣🗣🗣✨✨✨✨ (MKANDA WA KUFUNGA MARA TATU) Kiboko ya matumbo aina yote👌👌 iwe tumbo la uzazi au la kawaida (litokanalo na vyakula + vinywaji) tripple compresion belt inabana na kumaliza tumbo la chini kati na juu kwa uhakika na ubora wa mkanda wetu

DELIVERY: elfu 3,000/= (Normal)✅

FAST DELIVERY: Boda itategemea na eneo✅

MIKOANI: 5,000/= au 10,000/= ✅

‘’ZINGATIA QUALITY’’

☎️0768820275 Call/WhatsApp

📍📍MSIMBAZI POLICE OPPOSITE DAVID SPORTSWEAR JIRANI YA MSIKITI WA IDRISA 👍

TUPO WAZI HADI SAA 1:00 JIONII 🗣🗣🗣🗣💥💥

KARIBU DUKANI MTEJA WETU😊😊😊❤️❤️

FLAT TUMMY TEA & SLIMMING TEA🗣🗣🔥🔥Hii ni detox maalum iliyotengenezwa kwa mfumo wa majani ya chai yenye uhakika wa kupung...
21/12/2025

FLAT TUMMY TEA & SLIMMING TEA🗣🗣🔥🔥
Hii ni detox maalum iliyotengenezwa kwa mfumo wa majani ya chai yenye uhakika wa kupunguza tumbo kwa uharaka na njia asilia bila madhara yoyote kiafya!!
……………………………………………………………………………………………………..

NB: Flat tummy tea itakusaidia kupunguza tumbo kwa uhakika ndani ya siku 28’ ukitumia pakti moja kila siku👍

Slimming tea yenyewe ni special kwa kupunguza mwili mzima, na matumizi yake utatumia pakti moja kila siku kwa siku 28’ na kupata matokeo mazuri👍

Price: 35,000 fixed

Delivery: 3,000 normal

Fast delivery boda: inategemea na eneo ulipo

Mikoani: 5,000 au 10,000 🚚🚚✈️

☎️0768820275 Call/WhatsApp

📍📍TUPO MSIMBAZI POLICE KARIAKOO

TAITI YA KUONGEZA TAKO NA HIPS👌👌Hii inakusaidia kuongeza tako na hips na inabana tumbo kwa wakati mmoja 😍😍😍😍 yaani unapa...
21/12/2025

TAITI YA KUONGEZA TAKO NA HIPS👌👌
Hii inakusaidia kuongeza tako na hips na inabana tumbo kwa wakati mmoja 😍😍😍😍 yaani unapata vitu vitatu kwa taiti moja kwanza inakubana tumbo vizuriii👌👌👌 kisha inakutengenezea tako 😊😊😊😊 halafu haitoshii inakupa na hips 👌😍

Yaan huna haja ya kuikosa una kigauni chako, sketi yako au surualii yako😍 unavaa na kudamshiii vizurii sana yaani pambee👌👌 watoto wa mjini hawaikosiii hii 😂😂😂👌em weka order my wangu

Bei: 35,000/= Tu.

📌📌ZINGATIA QUALITY🤏🤏

Delivery: 3,000 mikoani 5,000 au 10,000 inategemea na mkoa

FAST DELIVERY: BODA inategemea na eneo ulipo

☎️0768820275 Call/WhatsApp. Tunapatikana msimbazi police kariakoo

TUPO WAZI HADI SAA 1:00 JIONIIII 🗣🗣💥💥💥💥

KARIBU DUKANI MTEJA WETU ☺️☺️☺️❤️❤️

Address

Msimbazi Police Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255768820275

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mikanda ya Tumbo original posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mikanda ya Tumbo original:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram