
09/05/2022
YAFAHAMU MADHARA YA MATUMIZI YA KISASA YA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO:
A)MADHARA YA SIINDANO
(1) Usumbufu wa hedhi
(2) Kuumwa kichwa mara kwa mara
(3) Kizunguzungu
(4) Kichefuchefu
(5) Kuongezeka uzito usiokuwa na faida
(6) Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
(7) Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi
B)MADHARA YA VIDONGE
(1) Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha ma uvimbe
(2) Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
(3) Kuumwa kichwa mara kwa mara
(4) Kupata kichefuchefu
(5) Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake
(6) Kubadilisha mwenendo wa damu
(7) Kuliathiri ini kidogo kidogo
(8) Kupata kisukari
(9) Kupata ugonjwa wa moyo
(10) Kupooza upande mmoja wa mwili.
(11) Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
C)MADHARA YA KITANZI
(1) Utokaji ovyo wa damu
(2)Kutoboka fuko la uzazi
(3) Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.
(4) Kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji
(5) Kuondoa hamu tendo la ndoa
D)MADHARA YA KIJITI
(1) Husababisha kansa
(2) Huchanganyikiwa (Akili huvurugika)
(3) Shinikizo la damu
(4) Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
(5) Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda
(6) Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa.
●Inawezekana ukawa mmoja ya waliotumia uzazi wa mpango na kupata changamoto tofauti tofauti.
🥦Suluhisho tunalo,
Karibu clinic yetu upate........
⏩vipimo vya mwili mzima kwa Tsh 20, 000 Tu
⏩Ushauri wa tatizo lako
⏩Matibabu ya tatizo.
🇹🇿TUNAPATIKANA🇹🇿
🤍Dar es salam
⏩Banana
🤍PWANI
⏩Kibaha
❤️MIKOANI
⏩Arusha
⏩Moshi
⏩Morogoro
⏩Mwanza
⏩Mbeya
⏩Kahama
⏩Tanga
⏩ Dodoma
⏩ Zanzibar
⏩Iringa
●Mawasiliano; Tumia namba 0753496363
◇Kwa Whatsapp gusa Link hapa chini 👇
https://wa.me/255753496363