24/10/2023
TEZI DUME NI NINI ?
➡️ Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.
Ipo wapi?
Inapatikani katikati ya kibofu cha mkojo na uume huuzunguka mrija wa mkojo.
Kadri umri unavyoenda kuanzia umri wa miaka 40 na kuendelea hutanuka na hapa ndipo tatizo huanza maana hupelekea kupata maumivu wakati wa kukojoa na kuleta shida katika mfumo wa mkojo kwasababu hubana mrija wa mkojo.
DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZIDUME
▶️ Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
▶️Kwenda kukojoa mara kwa mara.
▶️Kushindwa kukojoa.
▶️Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
▶️Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
▶️Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.
KUIFUNZA ZAIDI KUHUSU TEZIDUME BONYEZA LINK HAPA CHINI
https://wa.me/message/DI73Q7ECQS6KA1
PIGA NAMBA 0768 759 982 KWA USHAURI WA KIAFYA NA TIBA YAKE