Muro The Health Luminary

Muro The Health Luminary Tiba ya vidonge lishe isiyo na kemikali
0683753064

Kwa mda mrefu nimekuwa nikiwasadia wanawake mbali mbali ambao wameteseka kwa mda mrefu na PID sugu UTI sugu Fangasi sugu...
21/10/2023

Kwa mda mrefu nimekuwa nikiwasadia wanawake mbali mbali ambao wameteseka kwa mda mrefu na PID sugu UTI sugu Fangasi sugu na ambao wanakosa kabisa kupata ujauzito.
K**a nawe ni miongoni mwao nakusihi usikate tamaa matatizo yote hayo yanatibika kwa uhakika kabisa na ninatoa huduma mikoa yote nchini nitafute kupitia 0684669352 karibu sana!

Ikiwa unatokwa na uchafu mzito k**a mtindi wenye harufu mbaya hiyo ni P.I.D hiyo ni moja ya dalili ambayo inaonyesha dha...
11/10/2023

Ikiwa unatokwa na uchafu mzito k**a mtindi wenye harufu mbaya hiyo ni P.I.D

hiyo ni moja ya dalili ambayo inaonyesha dhahiri kabisa kwamba wewe una P.I.D japo kuna dalili zingine k**a

1. Kupata maumivu makali chini ya kitovu

2.Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

3.kupata kichefu chefu na homa

4.kutokwa na maji maji machafu yenye harufu mbaya k**a shombo la samaki

5.kupata miwasho mikali

6.kupata maumivu ya kiuno na mgongo

Ikiwa una hii changamoto na hujaitatua jua kabisa unaenda kupata madhara yafuatayo;

■Saratani ya shingo ya kizazi
■Uvimbe kwenye kizazi
■Homoni imbalance.
■Mirija ya uzazi kuziba
■Hupelekea ugumba

Habari njema ni kwamba Mim Dr Paul nina suluhisho la kudumu na nimeweza kuwasaidia wanawake wengi kurejesha furaha yao bila kusita nipigie muda huu au njoo Whatsapp kwa kugusa batan hapo chini ya picha

 mwanamke tumia Femicare na Anatic soap kujihakikishia kabisa kupona yafuatayo;●U.T.I sugu ●Fangasi Sugu●Miwasho na haru...
04/10/2023



mwanamke tumia Femicare na Anatic soap kujihakikishia kabisa kupona yafuatayo;

●U.T.I sugu
●Fangasi Sugu
●Miwasho na harufu mbaya
●Kukosa ute wa uzazi
●Uke mkavu
●kupunguza uke mpana
●Kurudisha hamu ya tendo
●Kuondoa maumivu wakati wa tendo
●Kuondoa maumivuwakati wa hedhi

Mwanamke Femicare na anatic soap utazipata kwa ofa ya 38,000 zote kwa pamoja na hii ni ofa ya siku tatu tu.!
Nipigie ili uweze kuipata haijalishi uko wapi nipigie sasa hivi-0684669352 au njoo whatsap moja kwa moja

Mwanamke k**a bado hujatumia FEMICARE NA ANATIC SOAP bado hujatibu yafuatayo👇1.U.T.I sugu 2.Fangasi sugu3.Maumivu chini ...
27/09/2023

Mwanamke k**a bado hujatumia FEMICARE NA ANATIC SOAP bado hujatibu yafuatayo👇

1.U.T.I sugu

2.Fangasi sugu

3.Maumivu chini ya kitomvu

4.Maumivu wakati wa tendo la ndoa na wakati wa hedhi

5.Uchafu wenye harufu mbaya k**a shombo la samaki

6.Ukavu ukeni

7.Kubana kuta za uke (kwa wenye uke mpana na mlegevu)

8.Kurejesha ute ute wa uzazi unaoboresha zoezi la tendo la ndoa.

9.Kuongeza ulinzi kwenye uke na kuzia kupata maambukizi mara kwa mara.

Femicare na anatic soap original inapatikana kwangu tu.
Zote kwapamoja utazipata kwa 37500 ..
Ni ofa ya siku tatu.

Gusa batani ya WhatsApp hapo chini kutuma oda au nipigie kupitia
0684669352

Tiba Ya U.T.I sugu Na Fangasi sugu kwa wakati mmoja0684669352Yawezekana ni wewe ambaye umekuwa ukiteswa na U.T.I SUGU na...
13/09/2023

Tiba Ya U.T.I sugu Na Fangasi sugu kwa wakati mmoja

0684669352

Yawezekana ni wewe ambaye umekuwa ukiteswa na U.T.I SUGU na FANGASI SUGU na umekuwa ukisumbuliwa na changamoto hizi kwa mda mrefu na umetumia dawa nyingi bila kupata matokeo

Na umekuwa ukipitia dalili k**a

1. Kupata miwasho sugu ukeni

2. Maumivu ya kiuno na mgongo

3.maumivu chini ya kitovu

4. Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

5.uke mkavu

6.kutokwa na maji maji machafu yenye harufu kali k**a shombo la samaki

7.kutokwa na uchafu mzito k**a mtindi wenye harufu mbaya

Nikupe pole kwa shida hiz unazopitia kwa mda mrefu lakini nikupe tumaini jipya la kupona kabisa kwani nina dawa ambayo itakusaidia kutibu kabisa shida ya U.T.I na fangasi kwa wakati mmoja na haitakaa ijirudie tena

Kwani dawa hiyo inaenda kuua bacteria wabaya na kuongeza bacteria walinzi ili uweze kupona kabisa.
Nipigie kupitia namba zangu hapo chini au gusa batan ya whatsap hapo chini

0684669352

*DAWA YA KUNG'ARISHA MENO, KUTIBU MATATIZO YOTE YA KINYWA NA MENO.*Bei_Ya_Punguzo_la 35% ni *Tsh.19,500/=* badala_ya *Ts...
10/09/2023

*DAWA YA KUNG'ARISHA MENO, KUTIBU MATATIZO YOTE YA KINYWA NA MENO.*

Bei_Ya_Punguzo_la 35% ni *Tsh.19,500/=* badala_ya *Tsh.30,000/=*
Call/watsup +255683753064

Hii ni Dawa Ya Meno (ya kupigia mswaki) Yenye Uwezo mkubwa wa kung'arisha meno (kuwa meupe) Kutokana Na teknolojia ya *BLUE_CLEANING_FACTOR.*
Imetokana na mchanganyiko wa vitu Asilia Na Viambata Visivyo na Madhara kwa mtumiaji.

Whatsap 👉 wa.me/255683753064
●Inang'arisha Meno Yanakua Meupe,
•Huua vijidudu katika kinywa
•Huondoa harufu mbaya mdomoni
•Inasafisha taka zote Kinywani na kuongeza ladha ya chakula

Bofya hapa👉 wa.me/255683753064
●Inatibu fizi zinazotoa damu au zinazouma
•Huondoa ganzi ya meno
•Huondoa maumivu makali ya meno
•Inazuia Meno kuoza au kuharibika

●Inaondoa fangasi kwenye ulimi, koo na sehemu zingine.
•Kukausha majeraha ya kuungua au kujikata
•Ni salama zaidi kwani haina madini ya fluoride badala yake kuna vitu vya mimea mchanganyiko•

●Imethibitishwa na mamlaka ya vyakula, dawa na vifaa tiba Tanzania *TMDA*
•Haipatikani katika Maduka Ya Yawaida
•Ina Ujazo Wa (130g)
Inaweza kutumika hadi miezi miwili (2) matokeo ni ndani ya wiki moja ya kwanza.
Inatumiwa na umri wowote kuanzia mwaka mmoja na kuendelea maana ni ya asili haina madhara yoyote kwa mtumiaji.

Kwa_Sasa_Utaipata_Kwa_ Bei Ya_Punguzo la 35% *Tsh.19,500/=* badala ya *Tsh.30,000/=*

Bawasiri ni ugonjwa hatari sana😭Ni ile hali ya kupata uvimbe kwenye njia ya haja kubwaHali hii inatokea kwasababu ya kup...
10/09/2023

Bawasiri ni ugonjwa hatari sana😭
Ni ile hali ya kupata uvimbe kwenye njia ya haja kubwa

Hali hii inatokea kwasababu ya kupata choo kigumu kwa mda mrefu japo zipo sababu zingine nyingi

Unaweza kufaham kwamba unachangamoto hii kwakuona dalili k**a;

■Kuota kinyama kwenye njia ya haja kubwa
■Kupata miwasho kwenye njia ya haja kubwa
■Kupata choo kigumu
■kupata choo chenye dam dam
■Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

Watu wengi wamekuwa wakitibia changamoto hii bila kuona matokeo ya kudumu hii ni kwasababu ya kutozingatia kutibu kuanzia kwenye chanzo cha tatizo...

Nimekuwa nikiwasaidia watu wengi sana kwa mda mrefu kutibia bawasiri bila upasuaji

Kwakuzingatia chanzo cha tatizo na tatizo lenyewe

Kwa mfumo huu kila aliyetumia dawa amepona kabisa na changamoto imepotea kabisa hairudi tena

Hivyo nawewe jenga imani na tumaini la kuondokana na hii changamoto

Nipigie; Dr Elia; 0683753064

Au njoo whatsap kwakubofya whatsap Batani

NI FURAHA ILIOJE KUPONA KISUKARI??Tiba ninayo mimi- 0766786673UGONJWA WA KISUKARI, CHANZO,  DALILI, MADHARA NA TIBA YAKE...
19/11/2021

NI FURAHA ILIOJE KUPONA KISUKARI??

Tiba ninayo mimi- 0766786673

UGONJWA WA KISUKARI, CHANZO, DALILI, MADHARA NA TIBA YAKE.

Kisukari ni nini, nini maana ya kisukari???dawa ya kisukari,dalili za ugonjwa wa kisukari.

KISUKARI (diabetes mellitus ) ni ugonjwa wa uwepo wa kiasi kingi cha sukari katika damu. Sababu yake kubwa ni uhaba wa homoni ya insulini mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili kuzalisha insulini ambayo husaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.

Kipi kinatokea mpaka mtu kupata ugonjwa wa sukari au kuongezeka kwa kiwango cha sukari mwilini???

Ugonjwa wa sukari hutokea baada ya ulaji wa wingi wa vyakula vyenye sukari (wanga), hasaa zaidi vyenye sukari rahisi.

Mfano wa vyakula vitoavyo sukari mwilini ni k**a:- Ugali, wali, viazi, ndizi, mkate, chapati n.k

Ulaji wa wingi wa vyakula vyenye sukari au vitoavyo sukari kwa wingi, kwa kutofuata taratibu za kitabibu k**a kula kiasi kingi cha chakula baada ya saa kumi na moja jioni, ulaji wa chakula kingi katika mlo mmoja na utumiaji wa vyakula vyenye mafuta mengi hupelekea mtu kupata tatizo hili(Type 2 diabetes).

Wakati mwingine tunaweza kupata tatizo la sukari kutokana na kurithi, historia ya sukari kwenye familia au kuzaliwa na upungufu wa uzalishaji wa kiwango cha insulini mwilini (Type 1 diabetes).

Sababu zingine zinazopelekea kupata tatizo hili ni Umri mkubwa, kuwa na uzito mkubwa, presha ya kupanda,historia ya sukari wakati wa ujauzito na magonjwa yanayoweza kupelekea kuharibika kwa ufanisi kazi wa insulini mwilini kiasi cha kushindwa kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.

Sababu zote kwa pamoja hupelekea watu kupata kisukari, mgonjwa wako anapopata tatizo hili hakikisha unachukua hatua za haraka kukabiliana na changamoto hii.

Ugonjwa huu unakadiriwa kuua karibu watu million 1.5 kila mwaka duniani kote (WHO, 2019).

⏹️DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI.

?Kushikwa na kiu cha mara kwa mara/kupatwa na kiu kikali.

? Kukojoa mara kwa mara.

? Kutokwa jasho jingi bila hata kufanya shughuli yeyote.

? Uchovu usiokwisha pamoja na kupungua uzito licha ya kula vizuri.

? Kupatwa na njaa ya mara kwa mara/njaa kali.

? Mkojo kuwa na ladha ya sukari.

?Kizunguzungu.

? Macho kupunguza uwezo wa kuona


? Kuwa na kidonda kisichopona haraka.



? Upungufu wa nguvu za kiume (mwanaume).

Tuelewe vipimo vya sukari.

Ikiwa vipimo vyako vya sukari vinaonyesha una sukari ina range kutoka 4-5.4mmol/L(72-99mg/dl) tafsiri yake hauna ugonjwa wa kisukari(Normal blood sugar) ikiwa umepima masaa 12 kabla ya kula.

Masaa mawili baada ya kula, tunategemea sukari yako isiwe juu ya 7.8mmol/L(140mg/dl).

Ukiwa na 7.8-11mmol/L, tafsiri yako uko hatarini kupata ugonjwa wa kisukari.

Ukipata zaidi ya 11mmol/L tafsiri yake una kisukari.

⏹ MATHARA YA UGONJWA WA KISUKARI.

Endapo ugonjwa wa kisukari utapuuzwa au kutotibiwa inavyostahili yako madhara mengi yanaweza kujitokeza, moja ya madhara hayo ni pamoja na;

?Magonjwa ya moyo.

?Kiharusi.

? kupungua kwa nguvu za kiume(uume kutokusimama).

? Figo kushindwa kufanya kazi

?Kupata upofu.

Epuka ugonjwa huu kwa kupunguza unene uliozidi, fuata taratibu za kitabibu katika kula na kunywa, epuka matumizi ya pombe, punguza msongo wa mawazo na uvutaji wa sigara.

Kunywa maji ya kutosha, fanya mazoezi na kula kiasi kingi cha mboga mboga na matunda, utaratibu huu utakusaidia kuimarisha afya yako na kupunguza hatari ya uongezekaji wa kiwango kingi cha sukari mwilini.

⏺️Kumbuka.

Mgonjwa wako anapaswa kupatiwa matibabu sahihi, huduma nzuri ya kufuatiliwa kimatibabu na elimu sahihi ya matumizi ya chakula kutokana na hali yake.

⏹️MATIBABU SAHIHI.
KILA MTU NI FURAHA YAKE KUPONA TATIZO SUGU LA KISUKARI, KARIBU KWA HUDUMA THABITI
TUNA BIDHAA NZURI ZA VIRUTUBISHO LISHE (FOOD SUPLIMENT) BIDHAA HIZO ZITAKUSAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO YAKO YA KISUKARI.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766786673

14/11/2021

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255683753064

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muro The Health Luminary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Muro The Health Luminary:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram