Afya Natural.

Afya Natural. KARIBU "AFYA NATURAL" UPATE TIBA LISHE.

31/12/2022

TIBA YA LISHE YA MIFUPA NA VIUNGO
0764555195
Hizi ni dawa asilia kutoka Marekani zilizotengenezwa kutokana na mimea, miti, matunda, uyoga na virutubisho mbalimbali.
Dawa hizi hutatua changamoto k**a vile:
1. Matatizo ya Magoti
2. Matatizo ya nyonga
3. Matatizo ya kiuno
4. Tatizo la mifupa kusagana na kulika
5. Tatizo ktk pingili za mgongo
6. Matatizo ktk maungio ya mifupa
7. Maumivu yote katika maungio na mifupa
8. Tatizo la ganzi na miguu kuwaka moto
# Dawa hizi hufanya kazi kubwa ya kuzalisha uteute katika maungio ya mifupa na kusaidia mijongeo na unyumbulifu wa VIUNGO vya mwili.
# Dawa hizi pia hujenga gegedu (Cartilage). Tabaka laini linalopatikana ktk maungio ya mifupa na hutenganisha mfupa na mfupa. Gegedu ikiharibika mifupa husagana na kulika.
# Hizi dawa hujumuisha madini ya calcium ambayo ni muhimu Sana ktk ujenzi na uimara wa mifupa

Wasiliana nasi
0764555195

14/09/2022

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME NA TIBA YAKE
0759420192
Dalili za kupanuka kwa tezi dume

Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.Dalili hizi ni k**a zifuatazo:

Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.
Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.
Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.
Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.
Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.
Kibofu hakiishi mkojo.
Matatizo ya tezi dume iliyotanuka

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

Mkojo kukosa kutoka kabisa
Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.
Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.
Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.
Ugonjwa wa tezi dume husababisha mkojo kutiririka polepole na mtu kukojoa mara nyingi hasa usiku.
Maambukizi na mawe
Kwa sababu kibofu hakimimini mkojo wote kuna hatari kubwa ya maambukizi kwenye njia ya mkojo nakuwa na mawe kwenye kibofu.
Kumbuka
Kutanuka kwa tezi dumehakusababishi ugonjwa wa saratani.

Utambuzi wa kupanuka kwa tezi dume
Historia na dalili zikiashiria uwepo wa hali hii, basi uchunguzi ufuatao hufanywe.
Uchunguzi wa ukubwa wa tezi

Uchunguzi huu hufanywa kwa kuingiza kidole chenye glavu nyuma hadi kwenye tezi dume. Daktari huweza kujua ukubwa na hali yake. Iwapo mtu ana ugonjwa huu tezi dume ni kubwa kuliko kawaida, laini na gumu yote pamoja. Iwapo tezi lina vifundo basi inaweza kuwa na kansa (saratani)au inaweza kuwa na

Dalili za tezi kilichopanuka na saratani hufanana.Lazima uchunguzi wa kina ufanywe ili kujua ni ugonjwa upi.

PIGA 0759420192.

KWA NAMBA HIYO

17/08/2022

PIGA 0759420192
KWA NAMBA HIYO

26/07/2022

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME NA TIBA YAKE
0759420192.

PIGA 0759420192. KWA NAMBA HIYOTEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME NA TIBA YAKE

23/07/2022

17/07/2022

13/07/2022

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME NA TIBA YAKE
0767258876

PIGA 0767258876
KWA NAMBA HIYO

28/06/2022

21/06/2022

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME NA TIBA YAKE
0624086070

PIGA 0624086070
KWA NAMBA HIYO.

14/06/2022

TIBA YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA. (0657482720)

ARTHROEXTRA + ZAMINOCAL (TIBA YA MIFUPA KUSAGANA KATIKA MAUNGIO,, NA TIBA YA MAUMIVU YA VIUNGO )mfano
mgongo,nyonga,magoti nk

KWANZA, TUJIELIMISHE KIDOGO.🖐
KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?
=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT)

MTU ANAPOFIKISHA MIAKA 30 CARTILAGE HUANZA KULIKA NA KUSABABISHA MIFUPA KUGUSANA NA KUSAGANA KWENYE VIUNGO HADI ULE UTE KUPOTEA,

HII HUSABABISHA MAUMIVU MAKALI KWENYE VIUNGO, HADI KUPELEKEA MTU KUSHINDWA KUJONGEA IPASAVYO,
TATIZO HUONGEZEKA UMRI UNAPOZIDI KUWA MKUBWA NA UZITO UNAPOONGEZEKA,
ARTHROEXTRA NA ZAMINOCAL PLUS NI ZA ASILI HAZINA KEMIKALI, IMETHIBITISHWA NA TFDA,kupata huduma piga (0657482720)

07/06/2022

03/06/2022

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME NA TIBA YAKE
0764555195.
Dalili za kupanuka kwa tezi dume

Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.Dalili hizi ni k**a zifuatazo:

Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.
Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.
Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.
Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.
Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.
Kibofu hakiishi mkojo.
Matatizo ya tezi dume iliyotanuka

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

Mkojo kukosa kutoka kabisa
Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.
Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.
Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.
Ugonjwa wa tezi dume husababisha mkojo kutiririka polepole na mtu kukojoa mara nyingi hasa usiku.
Maambukizi na mawe
Kwa sababu kibofu hakimimini mkojo wote kuna hatari kubwa ya maambukizi kwenye njia ya mkojo nakuwa na mawe kwenye kibofu.
Kumbuka
Kutanuka kwa tezi dumehakusababishi ugonjwa wa saratani.

Utambuzi wa kupanuka kwa tezi dume
Historia na dalili zikiashiria uwepo wa hali hii, basi uchunguzi ufuatao hufanywe.
Uchunguzi wa ukubwa wa tezi

Uchunguzi huu hufanywa kwa kuingiza kidole chenye glavu nyuma hadi kwenye tezi dume. Daktari huweza kujua ukubwa na hali yake. Iwapo mtu ana ugonjwa huu tezi dume ni kubwa kuliko kawaida, laini na gumu yote pamoja. Iwapo tezi lina vifundo basi inaweza kuwa na kansa (saratani)au inaweza kuwa na

Dalili za tezi kilichopanuka na saratani hufanana.Lazima uchunguzi wa kina ufanywe ili kujua ni ugonjwa upi.

PIG KWA NAMBA
0764555195.

Address

Bagamoyo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Natural. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Natural.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram