Afya Fit2022

Afya Fit2022 Nawasaidia Wanaume katika kuondokana na changamoto ya uzazi

NAJARIBU KILA SIKU KUGUSIA UPANDE WA VYAKULA KWA SABABU TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UIMARA KATIKA TENDO,,, H...
14/05/2023

NAJARIBU KILA SIKU KUGUSIA UPANDE WA VYAKULA KWA SABABU TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UIMARA KATIKA TENDO,,, HUTIBIWA NA VIRUTUBISHO, VYAKULA VYA ASILI, (matunda, mbogamboga, na mimea ya asili) NA HAUWEZI KUTIBU TATIZO HILO KWA DAWA K**A WENGI MNAVYO DHANI

k**a ukizingatia vyakula mbali mbali nnavyo kufahamisha kila siku tatizo lako litapona moja kwa moja na utaimarika ipasavyo katika tendo,,, ila we k**a huamin elimu za vyakula endelea na dawa zako za hospitali ila ujue huwezi pona changamoto yako,MBEGU za maboga zimekuwa kimbilio namba moja kwa baadhi ya watu, wakiwamo kina baba wanaozichangamkia kwa nia ya kujiongezea nguvu za kiume, sawa na ilivyo kwa samaki pweza na supu yake.

Madaktari na wataalamu wa lishe wanathibitisha kuwa mbegu za maboga zina kiwango kikubwa cha virutubishi vya vitamin na madini na hivyo kusaidia katika kuupa mwili nguvu na kuukinga dhidi ya maradhi mbalimbali yakiwamo ya baadhi ya aina za saratani, kisukari, moyo na ini.

Imeelezwa na wataalamu kuwa k**a ilivyo kwa sifa ya mnofu wa pweza, mbegu za maboga pia zina sifa ya kuwa sawa na kifurushi cha madini yanayomfaidisha mlaji kwa wakati mmoja, baadhi yakiwa ni ya chuma, manganizi, maginizia, zinki na shaba. Walaji wa mnofu wa pweza hunufaika pia kwa wingi wa virutubishi k**a protini, mafuta (fats) vitamin B12, selenium, madini ya chuma, shaba na vitamin B6.

Imebainika zaidi kuwa kufahamika zaidi kwa ukweli kuwa viini lishe vilivyomo ndani ya mbegu za maboga vina faida kubwa ikiwamo ya kuimarisha afya za uzazi ndiko kunakoongeza matumizi yake kiasi cha kutishia umaarufu wa supu ya pwezaMaboga na mbegu zake vina faida nyingi mwilini na kwamba, kufahamika zaidi kwa taarifa zake katika siku za hivi karibuni kunaweza kuwa chanzo cha kuongezeka kwa watumiaji wake kila uchao.

Baadhi ya faida za mbegu na pia maboga yenyewe kwa walaji ni pamoja na kuwaepusha na uzito wa mwili kupita kiasi, kuwaongezea uoni wa macho kutokana na kuwa na viini viitwavyo ‘beta-carotene’ vinavyobadilishwa mwilini kuwa vitamin A; kuongeza mfumo wa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa na pia kuwafanya walaji waonekane vijana zaidi.Faida nyingine ni kwa walaji kujipunguzia uwezekano wa kupata magonjwa ya kansa. Tafiti zinaonyesha kuwa watu wanaokula vyakula vyenye wingi wa virutubisho vya beta-carotene (vilivyomo kwenye maboga) huwa na uwezekano mdogo wa kupata baadhi ya aina za kansa, ikiwamo ya tezi dume na kansa ya mapafu.

Maboga husaidia pia kukabili kisukari kwa kuimarisha kiwango cha sukari mwilini; kuongeza utulivu wa mwili pia kutokana na kuwapo kwa kiwango cha virutubisho viitwavyo ‘tryptophan’ vinavyowasaidia watu wenye matatizo ya kukosa usingizi (insomnia).

Faida za mbegu za maboga zina kiwango kikubwa cha madini k**a ya Zinc ambayo yana faida nyingi mwilini. Mbali na faida hizo maboga huimarisha uwezo wa walaji katika kuonja na kunusa, ukuaji wa seli mbalimbali za mwili na pia kuwa na viinilishe vyenye kuongeza nguvu ya tendo la ndoa kwa wanaumeMbegu za maboga zina vitamini E ingawa siyo kwa kiwango kikubwa lakini hiyo husaidia afya ya ngozi. Zina protini ambayo husaidia mwili kukabili maradhi k**a kisukari, tezi dume na aina nyingine za saratani.

Ni vizuri kwa walaji kutumia zaidi mbegu za maboga zilizo mbichi kwa sababu ndizo zenye madini zaidi kulinganisha na zile zilizokaushwa na pia wawe makini ili kuepuka kula mbegu zilizokaa kwa muda mrefu na kushambuliwa na fangasi. Wanaozikaanga wahakikishe kuwa haziwi kwenye kikaangio kwa zaidi ya dakika 15. Hii itasaidia kutozipotezea ubora wake.

Ukweli ni kwamba wengi na baadhi huzijumuisha katika vyakula maalumu vya lishe ya watoto. Wapo kina mama huzikausha na kuzisaga pamoja na chakula cha watoto. Hii ni lishe nzuri kwa sababu ina virutubisho vingi muhimu na vyote hupatikana kwa pamoja kwa walaji.HIZO NDO FAIDA ZA MBEGU ZA MABOGA NA ZINAHUSIANA VIPI KATIKA NGUVU ZA KIUME NA MATATIZO MENGINEYO YA KIAFYA MWILINI

baadhi yetu uko mikoani maboga na mbegu zake tumekula sana😅 ila saiv watu wamefika mijini na maisha yamebadilika maboga yapo masokoni ila watu hawataki kuyanunua kutokana na maisha ya kishua ya siku izi🤓 aya basi mbegu za maboga zipo kila kona zinauzwa na leo nimesha kufahamisha siri yake, ubaki wewe tu kulifanyia kazi
Kwa maelezo zaidi tupigie/sms&whatsap +255789701665

04/05/2023

Nawasaidia Wanaume katika kuondokana na changamoto ya uzazi

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Fit2022 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram