27/03/2025
*KUNA VIGEZO VITATU (3) MUHIMU VYA MWANAUME ALIE IMARA KWENYE TENDO👇🏾👇🏾*
Mwanaume unapokutana na mazingira kushiriki tendo unatakiwa uweze kuwa na mambo matatu ya kukupa uwezo wa kuperform vizuri.
1. *Mfumo wa Mzunguko wa damu*.... Unapopata hisia na kuhitaji tendo ni lazima mfumo wa Mzunguko wa damu uwe active, damu itiririke kwa wakati sahihi toka Moyoni kwenda kwenye tissue za uume na kuujaza uwe ngangali tayari kwa tendo. Unapokuwa na mfumo mbovu wa Mzunguko wa damu kwenye uume, au mishipa ya damu kuwa michafu, dhaifu, yenye mafuta machafu basi uume utashindwa kupokea damu na mwisho uume utakataa kusimama au kusimama kwa unyonge na kusinyaa mapema,
2.*Sexual stamina (duration)*..Hapa Mwanaume lazima work rate yako iwe na stamina sahihi ya kumudu tendo la ndoa na mwanamke uliye naye, kila mwanamke anamahitaji yake kihisia, mwingine dk 4 Amefika kileleni na mwingine dk 16-20 ndipo anafika Mwanaume unatakiwa kuwa na duration nzuri ya kuperfom tendo, aidha dk 3-7 kwa round ya kwanza, dk 10-24 kwa round ya 2, dk 20-40 kwa round ya 3. Au dk 20+ kwa round ya kwanza, dk 35+ kwa round ya pili, hapo ni tofauti kati ya mwanaume na mwanaume kulingana na factors za afya, saikolojia, hormones nk. Inapofika mahali hauna stamina, dk kiduchu umeshamaliza, unakosa hamu ya kurudia au unashindwa kabisa kuendelea hiyo ni shida na unapoteza sifa ya mwanaume rijali.
3.*Ejaculation (Kufika kileleni)*...Mwanaume yeyote anayekuwa rijali ni lazima amalize kwa kumwaga manii (sperms) ishara ya kufija kileleni, Mwanamke aliyekamilika anahitaji sana kufikiwa na bao kamili ukeni mwake. Bao la mwanaume lina uzani wake, uwingi wa mbegu na modality yake. K**a ni bao kidogo, au haumwagi kabisa, au unamwaga mbegu majimaji na si mnato, au nyingi ila chafu basi unapoteza sifa ya mwanaume rijali. Hakikisha unapata bao zuri, lenye ujazo, lenye afya na harufu safi.
*KARIBU SANA NDUGU INBOX KWA USHAURI NA MSAADA WA SULUHISHO ZAIDI*
PIGA 0757 156 356
WhatsApp 0757 156 356