Haji health care

  • Home
  • Haji health care

Haji health care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Haji health care, Medical and health, .

*UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU??  👇👇* Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zif...
10/02/2023

*UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU?? 👇👇*
Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifuatazo;

1.Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya

4.Vidonda au kuwa na michubuko ukeni

5.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

6.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

7.Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.

8.Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

Je una dalili hizi tunayo tiba inaitwa FEMICARE kwa ajili ya wanawake ambayo itakusaidia kutibu fangasi sugu eneo la siri.

Kwa msaada wa hitaji lako kuhusu tiba hii tupigiee,, namba 0682313300

"AFYA YAKO NI MTAJI WAKO, ELIMIKA NA CHUKUA HATUA

19/05/2021

*Hello! Habar ukiwa k**a mpenda maendeleo mwenzangu, Napenda kukualika kwenye semina kubwa ya afya na kipato kutoka BF SUMA kutoka marekani 🇺🇸 semina hii itakayofanyika jmosi hii Trh.22/05/2021 maeneo ya MLIMANI TOWER kuanzia saa 08:00 mchana, njoo ujifunze afya bure pia ujue namna ya kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo, pia zawadi mbalimbali zitatolewa kwa wageni wote watakao hudhuria. Hakuna kiingilio kuja kwenye semina hii ni bureeeeee..replay ujumbe huu kuthibitisha uwepo wako au piga: 0785404782 kuweka nafasi yako.*
*Wote mnakaribishwa, hakika semina hii itakusaidia*🤝

*Ukipata ujumbe huu alika na wengine alafu niamby mtakuwa wangap ili niandae zawadi zenu*. *BF SUMA 🇺🇸 🗽we share*

12/05/2021
WANAUME   💪💪💪0785404782        NGUVU ZA KIUMEWahanga wa  **kukosa hamu ya Tendo landoa**kukosa nguvu ya kufanya Tendo la...
06/05/2021

WANAUME 💪💪💪
0785404782
NGUVU ZA KIUME
Wahanga wa
**kukosa hamu ya Tendo landoa
**kukosa nguvu ya kufanya Tendo la ndoa
**Upungufu wa mbegu za kiume
**kufika kileleni kwa haraka isivyo kawaoda
**kutokurudia tendo la ndoa

Expower Man Coffee

HII NI BIDHAA BORA KABISA KWA AJILI TA KUBORESA NA KUIMARISHA MFUMO WA UZAZI WA WANAUME bila kuusababishia Mwili Madhara Yeyote yale
...BIDHAA HII IMETENGENEZWA KWA;
1. Fresh maca
2. Ginseng powder
3. Tongkat ali
4. Epimedium
Viambata hivi vimetoka nchi za
KOREA,USA,INDIA,PERU

# MUHIMU UTAKAYOPATA TOKA KWENYE BUDHAA HII

1. Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

2. Kuupa mwili Nguvu zaidi

3. Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

5. Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

6. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

7. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume/kuzuia Tezidume

8. Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari

9. Kusafisha mishipa ya damu

10. Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi
11. Haina kemikali ni ya asili kabida 100%

HAINA CAFFEIN WALA NICOTEEN,INAFAA KWA MATUMIZI KWA MWANAUME YEYOTE YULE ALIYE NA TATIZO NA ASIYE NA TATIZO PIA KWANU HUONDOSHA SUMU MBALI MBALI ZINAZOSHAMBULIA cell KATIKA ORGANS MBALI MBALI KWENYE MFUMO WA UZAZI WA MWANAUME.Sumu hizo hutokana na KEMIKALI tuzitumiazo tika Kwenye VYAKULA&VINYWAJI MBALI MBALI tutumiavyo haswa vinavyotengenezwa VIWANDANI na VYAKULA vitokanavyo na Matumizi ya MBOLEA Mashambani

MAWASILIANO
0785404782

Kwa ELIMU ZAIDI

27/04/2021

*NINI HUSABABISHA UGUMBA?*

Kuna sababu mbalimbali ambazo hupelekea ugumba kutokea kwa mwanaume au mwanamke.

WANAUME

Ugumba kwa wanaume hutokana na tatizo katika mbegu za kiume, manii kuwa kidogo, manii kushindwa kutembea, manii kuwa na umbo lisislo la kawaida au kuziba kwa mijira ya mbegu za kiume.

Tatizo kwenye mbegu za kiume linaweza kutokana na;

- Uvutaji wa sigara
- Dawa za kulevya k**a matumizi ya bangi kwa wingi,
- Mionzi (radiations)
- Unywaji wa pombe
- Kemikali k**a DDT, risasi (lead)
- Kufanya kazi mazingira yenye joto kali k**a viwanda vya chuma.
- Kuziba kwa mirija ya mbegu za kiume kutokana na magonjwa ya zinaa

WANAWAKE

Tatizo la ugumba husababishwa na sababu kuu mbili:

- Kuziba kwa mijrija ya kupitisha mayai
- Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi au kutoa mayai isiokuwa na nguvu (lazy egg).

Mirija ya kupitisha mayai inaweza kuziba kutokana na;

- Ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) ambao unatokana na magonjwa ya zinaa yasiyotibiwa k**a kisonono na klamidia.
- Mirija ya mayai kujaa maji
- Utoaji mimba usio salama (unsafe abortions)
- Upasuaji maeneo ya kiunoni
- Ugonjwa wa endometriosis

Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi inaweza kutokana na;

- Umri mkubwa wa mwanamke, hasa miaka 35 – 40 na kuendelea.
- Uvutaji wa sigara
- Saratani ya Ovari
- Mionzi (radiations)
- Ugonjwa wa Polycystic ovarian disease (Ovarian Cyst)

Sababu nyingine za ugumba kwa mwanamke zinaweza kuwa;

- Makovu katika mji wa uzazi kutokana na kutoa mimba.
- Mabonge ya kizazi (uterine fibroids)
- Kuziba kwa shingo ya uzazi
- Kulegea shingo ya uzazi
- Kisukari
- Matatizo ya tezi ya shingo (hyperthyroidism)
- Kufanya mazoezi ya kupitiliza (excessive exercising

Kwa tiba asili ya kutatua changamoto hiyo piga 0785404782

05/04/2021

VIDONDA VYA TUMBO:
Kunaweza kusiwe na DALILI za moja kwa moja za UGONJWA wa VIDONDA vya TUMBO lakini Mara nyingi ishara zifuatazo zimekuwa zikijitokeza ,hivyo ni vema kumuona MTAALAM wa masuala ya AFYA ikiwa ni pamoja na kufanyiwa VIPIMO ili kubaini TATIZO - Maumivu makali nyakati hujapata chakula - Kutapika Mara kwa Mara
- Uchovu wa mwili
- Kukosa hamu ya chakula
- Kupungua uzito
- Mwili kukosa nguvu
- Tumbo kujaa gesi
- Kutapika damu
- Magonjwa ya Ngozi
- Chronic Constipation

MADHARA YAKE
- Kufanyika kwa upasuaji mkubwa wa tumbo ili kuondoa eneo lote lililoathirika - Kushindwa Tendo la ndoa kwa jinsia zote hususani kwa wnaume kupungua kwa uwezo wa kufanya kazi . - Kulika kwa utumbo na hii hupelekea kuvuja damu kwa ndani - Kuharibu uti wa mgongo - Msongo wa mawazo .
- Kukosa au kupata choo kikubwa kigumu na kidogo,kidogo mithiri ya mavi ya Mbuzi.
- Bila kuchukua hatua thabiti,Kifo hutokea
TIBA
Tiba ya vidonda vya tumbo ipo inatibu na kukukinga piga simu no 0785404782

04/04/2021

DALILI ZA UPUNGUFU NA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME
1-kuwahi kufika kileleni
2-Kuchelewa sana kufika au kutofika kileleleni
3- Kutoa mbegu zisizo na mikia au uwezo wa kulifikia yai la mwanamke(mbegu kupingua spidi ya kusafiri)
4-wanaofika kileleni lakini hawawezi kurudia
5-kupata uchungi wakati wa kukojoa aina zote
6- uume kupungua ukubwa wake
7- kukojoa mkojo bila kuisha vizuri na kuwasha
8- shida ya tezi dume, ngiri, mabusha nakadhalika
SABABU ZINAZOPELEKEA SHIDA HIZO
1- aina ya vyakula tunavyokula na vinyaji
2-kusimamisha mda mrefu bila kupata huduma mara kwa mara
3-kujichua
4-kuangalia veideo au picha za uchi na kutamani tamani ovyo kila mwanamke unayemuona
5- Uti na matatizo mengineyo ya ngono k**a kichocho. kaswende, kisonono nk
Na sababu zingine nyingi

Kwa ushauri na huduma ili urudi katika hali ya kawaida piga 0..mlimani city....nipo kwa ajili ya kusaidia jamii usisite kunitafuta k**a wewe ni miungoni mwa wanao teseka
Tuwasiliane kwa no 0785404782

  KUHUSU UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/SEHEMU ZA SIRI  Haya ni maradhi ambayo kitaalamu huitwa VAGINAL THRUSH  Ugonjwa wa ...
31/03/2021

KUHUSU UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/SEHEMU ZA SIRI
Haya ni maradhi ambayo kitaalamu huitwa VAGINAL THRUSH

Ugonjwa wa fangasi za ukeni;Ni ugonjwa unao wapata WANAWAKE endapo fangasi watakuwa wengi zaidi ya bacteria wazuri waliopo UKENI.

LACTOBACILLUS BACTERIA;Hawa ni bacteria waliopo ndani ya uke ambao hutoa ACID ambazo huzuia fangasi kukua au Kuwa wengi zaidi kwenye uke.

FANGASI ZA UKENI mara nyingi husababishwa na fangasi waitwao CANDIDA ALBICANS

NI SABABU ZA UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI(VAGINAL THRUSH)
1.Matatizo ya homoni;Ubadilikaji wa homoni Kuwa nyingi au kushuka sana hii huweza kupelekea matatizo ya fangasi za ukeni.

2.Ulaji wa vyakula vyenye sukari kwa wingi;SUKARI ni chakula cha fangasi hivyo utumiaji kwa wingi ni kuwafanya fangasi waweza kuzaliana zaidi.

3.Kukosa usingizi na Kuwa na msongo wa mawazo.

4.Kushuka kwa kinga ya mwili;hii huweza kusababishwa na magonjwa mbali mbali k**a vile UKIMWI,KISUKARI,Upungufu wa madini,Vitamins na na virutubisho mbali mbali vya mwili.

ZA FANGASI ZA UKENI
(SYMPTOMS OF VAGINAL TRUSH)
1.Miwasho sehemu za SIRI

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Vidonda au michubuko ukeni

4.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

5.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

YA KUJIKINGA NA FANGASI ZA UKENI
(HOW TO PREVENT VAGINAL THRUSH)
1.Kuepuka kusafisha uke kwa kutumia vitu vyenye kemikali k**a vile sabuni
2.Kuepuka na kuacha kutumia marashi ukeni pamoja na kuingiza vitu k**a vile vidole,asali nk.
3.Kuepuka kutawadha uwendapo haja kubwa au ndogo kwa kujisafisha kutokea nyuma kwenda mbele.
4.Vyema kusafisha uke kwa kujifuta kwa kitambaa safi ili kuuaçha uke Kuwa mkavu.
5.Vyema kuvaa nguo za ndani zenye asili ya pamba na hariri.
6.Vyema Kuepuka ulajia wa vyakula vyenye sukari kwa wingi
7.Vyema kutumia peds zisizo na kemikali na zenye vitu vya kulinda na mambukizi husika
8.VYEMA KUTIBIWA MAPEMA NA HARAKA ZAIDI KWANI MARADHI HAYA KUWEZA KULETA TATIZO LA UGUMBA KWA BAADAE TUWASILIANE 0785404782

DR COW SMART GUMMIESNi kirutubisho kilichotengenezwa katika mfumo wa p**i ndani yake kina mafuta ya SAMAKI, MAZIWA, MATU...
30/03/2021

DR COW SMART GUMMIES

Ni kirutubisho kilichotengenezwa katika mfumo wa p**i ndani yake kina mafuta ya SAMAKI, MAZIWA, MATUNDA YENYE MCHANGANYIKO WA VITAMINI C, kwa matumizi ya watoto na watuwazima.

KAZI ZAKE:
1. INAONGEZA HAMU YA KULA.
2. INASAIDIA KATIKA UKUAJI WA MIFUPA NA UBONGO.
3. INASAIDIA WATU WENYE MATATIZO YA MACHO KUTOKANA NA VITAMIN C KWA WINGI ILIYO NDANI YAKE.
4.INAONGEZA MADINI YA CHUMA.
5.INASAIDIA UKUAJI WA MIFUPA NA KUONDOA CHANGAMOTO ZA ULEMAVU KWA MTOTO.
6. INAMSAIDIA MAMA MJAMZITO KUKUZA VIZURI KIUMBE TUMBONI KUTOKANA NA WINGI WA MADINI YA CHUMA.
7.INASAIDIA KUSHIKIRIA MJI WA MIMBA MAMA ASIWEZE KUJIFUNGUA KABLA YA WAKATI( MISCARRIAGE)

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Haji health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Haji health care:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram