LIDA Herbal Treatment

LIDA Herbal Treatment Our goal is To provide health solution to the people in the society and make them reach their lives goals effectively

Jipatie Tiba Bora ya maumivu mbalimbali ya misuli pamoja na kung'atwa na wadudu .
06/10/2023

Jipatie Tiba Bora ya maumivu mbalimbali ya misuli pamoja na kung'atwa na wadudu .

SULUHISHO LA KUDUMU LA MATATIZO YA MIFUPA NA MAUNGIO. #0692380899
09/01/2023

SULUHISHO LA KUDUMU LA MATATIZO YA MIFUPA NA MAUNGIO.
#0692380899

TIBA KAMILI YA MIFUPA NA MAUMIVU KWENYE MAUNGIO(OSTEOARTHRITIS.)Hili ni tatizo linaloathiri viungo linalotokana na umri....
31/10/2022

TIBA KAMILI YA MIFUPA NA MAUMIVU KWENYE MAUNGIO(OSTEOARTHRITIS.)
Hili ni tatizo linaloathiri viungo linalotokana na umri.
RHEUMATIC ARTHRITIS.
Hili ni tatizo la linalotokana na kinga ya mwili kutafuna gegedu(Cartilage)
OSTERPOROSIS
Hili ni tatizo la mifupa kuvunjika kirahisi kutokana na upungufu wa Calcium.
KWANINI TATIZO HILI?
1:Kuathirika kwa viungo na mifupa.
2:Gegedu kulika kwenye viungo na uteute kuisha.
3:Kuathirika kwa pingili za uti wa mgongo,nyonga na magoti.
SABABU ZA KUTOKEA KWA OSTEOATHRITIS.
1:Mwili kushindwa kutengeneza virutubisho.
2:Ukosefu wa virutubisho vya kulinda gegedu kupungua.
3:Uzito uliopitiliza.
4:Historia ya familia.
5:Ajali.
6:Kutumikisha viungo kupita maelezo.
Changamoto
1:watu wengi hutumia dawa za kuchua na kupata nafuu adae tatizo linarudi.
2:wengine hufanyishwa mazoezi tatizo linaisha kisha linarudi tena.
DALILI ZA VIUNGO KUSAGANA.
1:Maumivu kwenye magoti.
2:Magoti kushindwa kujikunja.
Kushindwa kupanda ngazi kiurahisi.
3:Kusikia milio ya mifupa kugusana kwenye magoti.
4:Kudhindwa kuinama.
5:Maumivu kwenye mgongo.
6:Kusikia ganzi kwenye miguu au katika sehem za mapaja.
MATIBABU
Utapona na kukomesha matatizo yako kwa gharama nafuu zaidi.
Tutembelee kwa 0692380899/0674087389

Wasiliana nasi  #0692380899
31/10/2022

Wasiliana nasi #0692380899

Kulingana na maisha ya Sasa watu wengi wamekua wakisumbuliwa na tatizo la kisukari  Njoo kwetu tukusaidie kutibu tatizo ...
28/10/2022

Kulingana na maisha ya Sasa watu wengi wamekua wakisumbuliwa na tatizo la kisukari
Njoo kwetu tukusaidie kutibu tatizo hilo kwa kutumia virutubisha Bora na hutajuta .

TATIZO LA TUMBO KUJAA GESI NA KUUNGURUMA Watu wengi wanasumbuliwa na Hali hii zifuatazo ni sababu zinazopelekea changamo...
16/10/2022

TATIZO LA TUMBO KUJAA GESI NA KUUNGURUMA

Watu wengi wanasumbuliwa na Hali hii zifuatazo ni sababu zinazopelekea changamoto hii
1;Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali
2;Kuisha kwa bacteria walinzi tumboni .
3;Mabadiliko ya mara kwa Mara ya muda wa chakula .

Athari zake

1;Kutojisikia raha na kukosa amani

2; Husababisha vidonda vya tumbo .

Hata hivyo lipo tumaini maana tunazo tibarishe zitakazo kusaidia kuponesha kabisa tatizo hili.

JE UNATESEKA NA MARADHI YA VIUNGO au  MIFUPA  SASA SULUHISHO LIMEPATIKANA HATA K**A NIMZEE ANAZAID YA MIAKA 80, USIKATE ...
07/10/2022

JE UNATESEKA NA MARADHI YA VIUNGO au MIFUPA SASA SULUHISHO LIMEPATIKANA HATA K**A NIMZEE ANAZAID YA MIAKA 80, USIKATE TAMAA WEWE UNAETESEKA NA MARADHI HAYA??

1) MAUMIVU YA KIUNO,MGONGO,MIGUU NA VISIGINO
2) UCHOVU WA MWILI
3) MAGOTI KUUMA NA KUVIMBA
4) TATIZO LA PINGILI ZA KIUNO NA MGONGO
5) (GAUT) URIC ACID
6) UPUNGUFU WA UTE UTE KWENYE VIUNGO NA MIFUPA YA MWILI

7) INAONGEZA CULCIUM NA KUIMARISHA MIFUPA
8) INASAIDIA KUUNGA MIFUPA KWA HARAKA KWA ALIEVUNJIKA

09) MAUMIVU MAKALI YA MIFUPA INAYOSABABISHWA NA MIFUPA KUSAGANA.

TUNAPATIKANA MWENGE DAR ES SALAAM

WASILIANA NASI KWA 0692380899

06/10/2022
Suluhisho la maana hili hapa
09/09/2022

Suluhisho la maana hili hapa

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Telephone

+255692380899

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LIDA Herbal Treatment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to LIDA Herbal Treatment:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram