22/01/2026
VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME ANAYETAFUTA MTOTO π€°π½
Wanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa uchunguzi kamiliβ¦
Au mume hajafanyiwa hata kipimo kimoja.
Hapo unateseka miaka β bila kujua chanzo halisi π
πHivi ndivyo vipimo vya msingi unapopaswa kufanya, FANYA KUSAVE KABISA post Hii Ili kujikumbushia Kwa Baadae Ukisahau:
1οΈβ£ ULTRASOUND ya via vya uzazi
Inatuonesha kizazi, mfuko wa mayai, uvimbe, mirija, na hali ya jumla ya mfumo wa uzazi.
2οΈβ£ Vipimo vya kuonesha MAYAI KUPATWA / KUPEVUKA
Progesterone siku 7 kabla ya hedhi inayofuata, au OPK nyumbani.
3οΈβ£ Vipimo vya AKIBA YA MAYAI
AMH + FSH kutathmini uwezo wa mayai na kiwango cha kushuka kwake kadri muda unavyosonga.
4οΈβ£ Uchunguzi wa MIRIJIA (HSG)
Hapa tunajua k**a mirija imeziba au iko wazi.
5οΈβ£ Vipimo vya HOMONI
Kwa wanawake wenye mzunguko usioeleweka, kukosa hedhi, kutoa maziwa, uke mkavu, au kupoteza hamu ya tendo; tunapima Estrogen, Progesterone, LH, FSH, Prolactin, n.k.
6οΈβ£ Vipimo vya MBEGU ZA KIUME
Safari ya ujauzito ni ya WAWILI.
Mpenzi/mume naye apime s***m count, morphology na motility.
Usiibebe peke yako Mateso/ lawama zote za Kukosa Ujauzito βπ½
---Vipimo hivi utapima Kwa Ofa ya
Tsh 20,000/= kwakua watu wengi wanasumbuliwa na changamoto za uzazi wai mapema.
KOSA KUBWA WANAWAKE WENGI HUFANYA:
Kupima peke yao bila mume⦠au kufanya vipimo visivyo sahihi halafu wanahangaika miaka bila mafanikio.
---
π Sasa hapa ndipo siri ya mafanikio inapoanziaβ¦
Kwa wanawake na wanandoa waliopitia matibabu mengi bila kufanikiwa, waliochoka kuambiwa βSUBIRI TUβ, waliozunguka bila majibuβ
GCAT ETERNAL HERBAL CLINIC imekuwa ni tumaini na msahada Kwa wenye changamoto zote za uzazi.
Ni tiba inayoshambulia chanzo cha tatizo:
βοΈ Humaliza fangasi/maambukizi yanayorudiarudia
βοΈ Hurekebisha homoni
βοΈ Hufungua na Kubalance mzunguko Wa Hedhi
βοΈ Huongeza idadi & ubora wa mayai
βοΈ Huandaa mwili kupokea na kutunza mimba ndani ya 30β90 days kulingana na hatua ya tatizo
Matokeo yake?
Wanawake waliokuwa wanaitwa βMGUMBAβ leo ni mama wa mtoto.
Wanandoa waliokuwa na maumivuβ¦ sasa wanashukuru Mungu ππΎ
Dozi utegemea ukubwa wa changamoto yako.
baada ya kupata majibu ya vipimo.
Tunapatikana dar es salaam, visiwani na mikoa yote Tanzania
Kwa mawasiliano O759246564