30/12/2025
Acid reflux ni hali ambapo asidi inakuwa nyingi na hutoka tumboni inapanda juu hadi kwenye mrija wa chakula (esophagus). Hali hii husababisha maumivu au hali ya kuchoma kifuani, inayojulikana pia k**a heartburn.
Chanzo cha Acid Reflux
Chanzo kikuu ni kulegea kwa valvu inayotenganisha tumbo na mrija wa chakula (inayojulikana k**a lower esophageal sphincter). Valvu hii inapolegea au kufunguka pasipo wakati sahihi, asidi ya tumbo hupenya juu kwenda kwenye mrija wa chakula.
Sababu au vichocheo vya acid reflux ni pamoja na:
Kula chakula kingi sana au kula haraka
Kula chakula chenye mafuta mengi, pilipili, au viungo vikali
Uzito kupita kiasi (obesity)
Kunywa pombe, kahawa, au soda
Kuvuta sigara
Mimba (kwa wanawake)
Kulala mara baada ya kula
Dalili za Acid Reflux
Kuhisi kuchoma kifuani (heartburn), hasa baada ya kula au unapolala chini
Kuona ladha chungu au chachu mdomoni
Kukohoa mara kwa mara bila sababu ya wazi
Kupiga hewa (belching) au kujaa gesi
Ugumu wa kumeza
Maumivu ya koo au sauti kuwa ya kukwaruza
Ikiwa dalili hizi hujirudia mara kwa mara (zaidi ya mara mbili kwa wiki), hali hii hujulikana k**a GERD (Gastroesophageal Reflux Disease) na huhitaji matibabu zaidi.
Changamoto ya Acid Reflux inatibika endapo ukaamua kujitibia leo na Utapona Moja kwa moja .
N;B ; Popote ulipo utapata huduma zetu
N;B; K**A CHANGAMOTO YAKO YA ACID REFLUX
๐ Miaka 1โ2 โ Kopo 2 = Sh 170,000
๐ Miaka 3โ10 โ Kopo 3 = Sh 255,000
N;B : Our Whatsap group link on bio ๐
Whatsap / Call
+255 685 585 508