Yusuph health and care

Yusuph health and care almasi clinic

Matokeo Huja pale unapoamua kufanya maamuzi sahihi...Anza leo Program ya matibabu na .msigwa04 +255624824796
17/01/2024

Matokeo Huja pale unapoamua kufanya maamuzi sahihi...

Anza leo Program ya matibabu na .msigwa04
+255624824796

.msigwa04 +255624824796
17/01/2024

.msigwa04
+255624824796

Pona Bawasiri bila kufanyiwa Upasuaji+255624824796
17/01/2024

Pona Bawasiri bila kufanyiwa Upasuaji

+255624824796

Mazoezi ni moja kati ya vitu muhimu vya kufanya kwa mwanadumu kwani tunaelezwa leo licha ya faida hiyo lanipi pia udsais...
07/01/2024

Mazoezi ni moja kati ya vitu muhimu vya kufanya kwa mwanadumu kwani tunaelezwa leo licha ya faida hiyo lanipi pia udsaisia kuongeza nguvu za kiumme.

Kuchuchumaa na Kusimama

Alisema kuchuchumaa na kusimama ni zoezi gumu kulifanya lakini mtu akilizoea na kulifanya mara kwa mara basi hatachelewa kuona faida zake.

“Hili ni zoezi linalotengeneza na kuimarisha misuli katika eneo lako lote la chini ya mwili kuanzia misuli ya tumbo (sixpacks), mgongoni mpaka misuli ya kwenye visigino miguuni.
Kufanya mazoezi ya viungo

Alisema k**a mwanaume anahitaji nguvu za kiume na uume wenye afya, anahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume.

Aidha alisema kupungukiwa nguvu za kiume kunaweza pia kuwa kumetokana na mambo ya kihisia, kwa kiingereza ‘emotional causes’.

Anaongeza kusema vitu vingine vinavyoweza kusababisha kupungua kwa nguvu za kiume ni pamoja na magonjwa k**a vile ugonjwa wa Kisukari na Shinikizo la juu la damu.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA 👇🏽👇🏽👇🏽

𝐂𝐀𝐋𝐋/ 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 +255624824796.

Hakikisha unafanya mazoezi haya kila siku asubuhi, itakusaidia Kuboresha uwezo wako wa tendo la ndoa.
07/01/2024

Hakikisha unafanya mazoezi haya kila siku asubuhi, itakusaidia Kuboresha uwezo wako wa tendo la ndoa.

Moja ya research zilizofanyika inaonyesha sio ugumu wa maisha pekee unafanya ndoa/mahusiano kuvunjika bali pia ufanisi m...
07/01/2024

Moja ya research zilizofanyika inaonyesha sio ugumu wa maisha pekee unafanya ndoa/mahusiano kuvunjika bali pia ufanisi mdogo katika tendo la ndoa huchangia hata katika jamii yetu ipo wazi

Mara nyingi huanza na tabia k**a hizi,Kama humridhishi mke wako atatafuta mtu wa kumridhisha na hii ni chanzo kikubwa kinachohatarisha sana ndoa

✍️Kazi yangu kubwa nikuhakikisha wewe unarudisha uimara
wako katika afya na uwezo wa kumudu tendo na unapata matokeo mazuri, makubwa na endelevu

Furaha yangu ni wewe kuwa imara hata kwa kushtukizwa upo tayari na ndio sifa yetu wanaume💪

Vitu ninavyosisitiza ni MAZOEZI, vyakula, VIRUTUBISHO, kunywa maji kuendana na uzito, na KUPATA MUDA WA KUPUMNZIKA hakuna uchawi mabadiliko utayapata👊

Tuwasiliane kwa kupiga au tuma sms whatsApp +255 624824796.

Mwanaume mkeo sio Malaika, Simtumi akachepuke, ila dunia ni hii hii.Kuna siku ataacha kulalamikia hilo, na atakua na tab...
05/01/2024

Mwanaume mkeo sio Malaika, Simtumi akachepuke, ila dunia ni hii hii.

Kuna siku ataacha kulalamikia hilo, na atakua na tabasamu ukidhani bado anakukubali kwa pesa zako

Amua kuimarika leo, hujachelewa!

Halafu unataka akuvumilie,  Eti mke mwema atavumilia shida za Mumewe, Yaani shida yako aumie mwingine na hutaki kutibiwa...
05/01/2024

Halafu unataka akuvumilie, Eti mke mwema atavumilia shida za Mumewe, Yaani shida yako aumie mwingine na hutaki kutibiwa? THIS NOT FAIR.

Lakini ukweli kuna wanaume mnazingua!
Mnazingua, Wanawake wanateseka, Wameolewa lakini hisia zinawatesa k**a wapo single vile.🥺 Hii sio sawa!

Mwanaume hutaki kutatua changamoto yako ya upungufu wa nguvu za Kiume, Unataka nani ampe haki ya ndoa Mkeo? Mkeo akaridh...
05/01/2024

Mwanaume hutaki kutatua changamoto yako ya upungufu wa nguvu za Kiume, Unataka nani ampe haki ya ndoa Mkeo? Mkeo akaridhishwe na nani???

Akikuambia kuwa una mtesa, haridhiki, Unamuacha na hihisia😌 unamfokea

Eti ni malaya sijuh unachepuka nje, Nani asiyejua hapa nimerudhika hapa hapana?

Wewe unajuaje hujashiba chakula ?
Unazingua☹️

Mwanamke anakuhangaikia upate tiba nazo hutaki tetena🙄
Yaani ni mbinafsi sana
Unajiangalia wewe tu.

Dear Gentlemena) Ukishindwa kusex vizuri vya kutosha kumridhisha mwenza wako usifadhaike sana Tuliza akili.b) Mkeo akiwe...
02/01/2024

Dear Gentlemen

a) Ukishindwa kusex vizuri vya kutosha kumridhisha mwenza wako usifadhaike sana Tuliza akili.

b) Mkeo akiweka wazi kuwa una mapungufu wakati wa tendo, msikilize sana na mpende sana, bado anakuhitaji!

c) Kujua ni mdhaifu kitandani haitoshi, tafuta suluhisho upone!💪

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yusuph health and care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Yusuph health and care:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram